God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
- Thread starter
-
- #81
Kwanini wanakaa separate?
Fungeni MABAKU-RI.Unakuta mzazi sio mchawi ila ishu ni familia tu imejiwekeza katika hayo mambo
Yes my mom , she came from mediocre familyUnakuta mzazi sio mchawi ila ishu ni familia tu imejiwekeza katika hayo mambo
hakika mama ni mama ila ikifika pahala mama anakuwa kikwazo cha maendeleo yangu tena Kwa makusudi kabisa,, am not sure kama ntakuwa comfortable naye inakuwa ni mama tu lakini deep down ni adui yangu
Ndoa zina mambo, ukiona watu wamezeeka pamoja....wapigiwe mizinga 21Mzee wangu hapendi kelele
So tuliona ili tusimuue mapema tumfanyie hivyo na yeye anasema tulifanya sahihi Sana .
Yule mama ni MTU wa fujo Sana anapenda vita na watu amefanya haya mambo almost 30 yrs
Mzee wangu kipindi Ana pesa nyingi hela zake alikuwa anatumia kumtoa police.
Kamfungilia duka kaua
Kampa gari ya biashara kaua
Kampa mtaji Mara kibao anaua
As well my mom alikuwa anaendekeza starehe
Pombe
Viwanja
Ila mzee wangu
Hatumii pombe
Sio MTU wa club
Mpole and quite
Starehe yake kubwa ni meditation na Yanga. SC .
Lakini kila Leo mom anamsumbua anamtakia maeneno mabaya n.k
Ni bubu??My father ni mzungu very quite
Na muda mwingi ameutumia kufanya Kazi mikoani .
Ila kiasili mzee wangu huwa haongei anakaaga kimya muda wote
wanawapenda wazaz waoFungeni MABAKU-RI.
Ongeza na wajombaIla mkiambiwa kuna wazazi wanawaloga mnakataa.
Hivi mnawajua mashangazi?
ndiyo chaguo sahihi kabisa..muheshimu Katu usije mvunjia.heshima
Ni bubu??
Huwa haongei na mke wake??
yeye usimkwaze na yeye jiepushe kutopata makwazo kutoka kwakndiyo chaguo sahihi kabisa..
Hebu muulize mzee wako alimpendea nini kwenye ujana wake?Mzee wangu hapendi kelele
So tuliona ili tusimuue mapema tumfanyie hivyo na yeye anasema tulifanya sahihi Sana .
Yule mama ni MTU wa fujo Sana anapenda vita na watu amefanya haya mambo almost 30 yrs
Mzee wangu kipindi Ana pesa nyingi hela zake alikuwa anatumia kumtoa police.
Kamfungilia duka kaua
Kampa gari ya biashara kaua
Kampa mtaji Mara kibao anaua
As well my mom alikuwa anaendekeza starehe
Pombe
Viwanja
Ila mzee wangu
Hatumii pombe
Sio MTU wa club
Mpole and quite
Starehe yake kubwa ni meditation na Yanga. SC .
Lakini kila Leo mom anamsumbua anamtakia maeneno mabaya.
Ndoa zina mambo, ukiona watu wamezeeka pamoja....wapigiwe mizinga 21
Ni kweli kabisa ndo mana mi sitakagi kusema kabisa nachofanya maana wanaweza hata kuloga mashangazi yanguFungeni MABAKU-RI.
Wewe na mimi tupo hivi .....Yes my mom , she came from mediocre family
Ndugu zake wengi hawapo sawa upstairs unfortunately yeye ndo Dada yao wa kwanza.