Kweli ubaya ubwela,unadhani bila umalaya ungekuwepo basi?relaxMjinga mwingine huyu hapa
Hizi ni dalili za Kimalaya inaonyesha hata kwenye ndoa yako hakuna uaminifu na kuna watoto/mtoto wa nje jamaa analea
Pole kwa mwamba aliyekustili
Hey joannah really shit happen in life, nimewahi shuhudia mtoto anapelekwa mbali na mama yake ndo chanzo alafu mtoto darasani ni anakimbiza balaa , duniani mitihani ni mingiI can't buy that!
Mkuu labda haujawahi kuzingatia, ila haya mambo yapo sana kiongozi.Mi siamini kwenye hili.
Ninachoamini wanaweza kukuvunja moyo tu.
Haya masuala ni imani tu, hakuna proof.
Wapo wamama wa aina hiyo rafiki, dunia ina maajabu sana hii. Inashangaza kama kumuona mwanaume mchoyo kwa mtoto wake mwenyewe damu yake kabisa. Huwa inashangaza sana.Uko sahihi....mama akubebe 9month,hatari zote za mimba mpaka labour,(imagine chumba kunaitwa labour!ni kazi kwelikweli)halafu asitake ufanikiwe kweli?
Hii ni true story kabisa.Kwamba mama anaweza kuwa kizingiti kwa mtoto
Kwa mara ya kwanza bichwa komwe anacomment vitu vyenye akiliHii coment iwekewe LAMINATON kabisa! π
stak hata kuwaskia walimtenganisha baba yng na mama tukiwa wadogo ksha wakamuunganisha house girl ndo akawa mke wa baba wkt huo mama alienda kujfungua mdogo wng wa mwsho uko kwao, hiyo hawakutosheka wakaungana na uyo mama wa kambo wakanigombanisha na baba mpk leo hatuelewan nliomba msamaha kwa kosa nislolijua mbele yao kna shangaz na ndugu wengne mzee akasema hana shda na mimi bt nlipomfata private akanambia ameshani delete nliaga pale home sjakanyaga sasa n zaid ya miaka 5 na nimeshaamua iktokea mzee ametangulia stakanyaga msiban wasje wakanimaliza maana watahisi nmefata urithi npo naendelea na maisha yng ndugu wote hata hawajui npo wp na nafanya kaz gn. Mashangaz n wachawi ogopa ila MUNGU NI MWEMA IPO SKU ATANILIPIA TU.Mashangazi wengi Huwa ni wachawi
Word...Wakuu ukitaka kuoa make sure unatafuta mwanamke kutoka katika familia bora. Ambazo zipo educated and civilized.
Hata wajinga huzaa watoto.kwahy umeamua kumdhalirisha mama yako?
Ulianza vizuri ila mwisho umebugi. Hakuna Familia za hovyo na kishenzi ambazo hutakiwi kuowa kama hizo zinazojifanya zina wasomi. Huko hupati mke mwema utaowa mwanaharakati au mshindani wako.Nimekuja kugundua kuna familia zina negative energy
Nimefatilia hili jambo nikimwambia mzee wangu jambo lolote lazima litiki.
Ila nikimwamwabia my mom kila kitu kinakwama kwa 100%
My mama anatoka familia masikini yenye kuamini uchawi na fitina
Nimekuwa nikimfundisha my mama kuwa we need to trust in GOD uchawi ,negativity its just illusion.
Wakuu ukitaka kuoa make sure unatafuta mwanamke kutoka katika familia bora. Ambazo zipo educated and civilized.
sawa but try kuheshimu ujinga wakeHata wajinga huzaa watoto.
Na mtu kuwa "mzazi" si kigezo cha yeye kutokuwa mjinga.
Mjinga ni mjinga tu, Hata Awe mama yako au baba yako.
Duh! ccm tena!?Yaani yeye kila siku analalamika she is hating people
Na mbaya zaidi yupo ccm that is hell
While my daddy is very humble generous and visionary
Ataheshimiwa endapo na yeye pia atakuwa anajiheshimu na kukuheshimu wewe.sawa but try kuheshimu ujinga wake
Hahah umeniua mbavu eti na bahati mbaya yupo CCM πππ dah we jamaa wewe ππYaani yeye kila siku analalamika she is hating people
Na mbaya zaidi yupo ccm that is hell
While my daddy is very humble generous and visionary
Nyinyi ndio wale watu wa mzazi hakoseihakuna mama mbaya kamwe
Wapo tena wengi sana.hakuna mama mbaya kamwe