Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Uko sahihi....mama akubebe 9month,hatari zote za mimba mpaka labour,(imagine chumba kunaitwa labour!ni kazi kwelikweli)halafu asitake ufanikiwe kweli?
Wapo wamama wa aina hiyo rafiki, dunia ina maajabu sana hii. Inashangaza kama kumuona mwanaume mchoyo kwa mtoto wake mwenyewe damu yake kabisa. Huwa inashangaza sana.
 
Mashangazi wengi Huwa ni wachawi
stak hata kuwaskia walimtenganisha baba yng na mama tukiwa wadogo ksha wakamuunganisha house girl ndo akawa mke wa baba wkt huo mama alienda kujfungua mdogo wng wa mwsho uko kwao, hiyo hawakutosheka wakaungana na uyo mama wa kambo wakanigombanisha na baba mpk leo hatuelewan nliomba msamaha kwa kosa nislolijua mbele yao kna shangaz na ndugu wengne mzee akasema hana shda na mimi bt nlipomfata private akanambia ameshani delete nliaga pale home sjakanyaga sasa n zaid ya miaka 5 na nimeshaamua iktokea mzee ametangulia stakanyaga msiban wasje wakanimaliza maana watahisi nmefata urithi npo naendelea na maisha yng ndugu wote hata hawajui npo wp na nafanya kaz gn. Mashangaz n wachawi ogopa ila MUNGU NI MWEMA IPO SKU ATANILIPIA TU.
 
Nimekuja kugundua kuna familia zina negative energy

Nimefatilia hili jambo nikimwambia mzee wangu jambo lolote lazima litiki.

Ila nikimwamwabia my mom kila kitu kinakwama kwa 100%

My mama anatoka familia masikini yenye kuamini uchawi na fitina

Nimekuwa nikimfundisha my mama kuwa we need to trust in GOD uchawi ,negativity its just illusion.

Wakuu ukitaka kuoa make sure unatafuta mwanamke kutoka katika familia bora. Ambazo zipo educated and civilized.
Ulianza vizuri ila mwisho umebugi. Hakuna Familia za hovyo na kishenzi ambazo hutakiwi kuowa kama hizo zinazojifanya zina wasomi. Huko hupati mke mwema utaowa mwanaharakati au mshindani wako.
 
Back
Top Bottom