Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #141
Mwanadamu hatabiriki, kumjua kiwango cha kusema unamjua mtu hilo suala halipo. Ndiposa waswahili wanasema hujafa hujaumbika. Kwamba mtu/watu hubadilika.
Ndiposa kwenye kuoa, ukipata mtu mmeelewana, mkakubaliana...ndoa ifungwe.
Mambo yakibadilika, ndoa ikawa ndoana, ukiweza vumilia, ukishindwa achana naye kisha anza upya. Maisha ni safari imejaa hekaheka
Lipi bora kujua au kutojua kabisa
Mimi binafasi huwa kspendelei kusema mengi sana kuhusu ndoa na wanawake..
Kipi kifanyike?Matokea ya 50 kwa 50 mkuu , tumempigania mtoto wa kike mpaka ikapitiliza tukamsahau mtoto wa kiume , sasa inakua ni ngumu mtoto huyo wa kiume kuishi ya mtoto huyo wa kike aliyepiganiwa kwa kila namna .
Rais wetu tu single Maza!
Sasa tunashangaa nini kuwa na utitiri wa ma single Maza au vijana wa kiume kukataa ndoa?!
Naunga mkono hojaMfalme sulemani alisema kadri unavyokua na maarifa ndio unakua na huzuni. Ukiyajua ya viongozi wa dini utaacha kwenda kusali
Kila mtu ashinde mechi zake😁😁Kipi kifanyike?
KabisaMatokea ya 50 kwa 50 mkuu , tumempigania mtoto wa kike mpaka ikapitiliza tukamsahau mtoto wa kiume , sasa inakua ni ngumu mtoto huyo wa kiume kuishi ya mtoto huyo wa kike aliyepiganiwa kwa kila namna .
Hoja yako hii wala sikubaliani nayo, bila shaka wakati ni mwalimu mzuri, ukipata maisha marefu utaikumbuka hoja hii na utakubaliana na nilichojadali awali.Mwanadamu habadiliki.
Mwanadamu unayemuona kabadilika ni yule ambaye ulikuwa hujamjua uhalisia wake.
Wewe ndiye unamuona kabadilika lakini yeye hajabadilika ila anaonyesha hulka yake halisi.
Kwema Wakuu!
Kuna namna mbili za kutokuwa interested na Ndoa.
Mosi, kutowaelewa na kutowajua kabisa wanawake.
Pili, kuwaelewa na kuwajua sana wanawake.
Hiyo ya pili ndio zaidi. Watu wengi wanaowajua wanawake kindakindaki huishia kuwa bachelor sugu. Hawaoi.
Wapo wanaume wenye kila sifa ya kuoa lakini hawataki kufanya hivyo kutokana na uelewa wao mkubwa kuhusu wanawake.
Jioni njema
Hapo kwenye kuachana ndipo maumivu makali anakutana nayo mwanaume maana mali zake zinagawanywa wakati za mwanamke haziguswi., kumbuka sheria ya ndoa haitambua kipato na mali za mwanamke. Kwa mwanaume kuoa ni kamali
Kuamua kuishi maisha ya kutooa sio tatizo sababu kuna matowashi wasiooa,
Lakini Kugoma kuoa huku unataka na unafanya matumizi ya waliooa ni woga, kutojiamini, kutotaka kuwajibika na kushindwa kutumia akili kama mwanaume
Wanaume wamepewa mamlaka ya kuwa vichwa ili waweze kuongoza wanawake, kuongeza uzao, kutunza na kulea, kuzalisha Mali na kuendeleza kujenga ufalme wa Mungu.
Sasa mnataka msioe ili iweje. Ili mzalishe jamii ya panya road, mashoga na wasagaji?
Wakijibu niite broNimekaa pale nione majibu ya maswali uliyouliza
Mkuu kwa heshima na taadhima nashukuru sana kwa hili Andiko Ila tafadhari mkuu next time uje na nondo za kutosha km kawaida yako sio unatuwekea summary tu ungetushushia mapoint hapa wengine tuchukue notice za hao mabechala Sugu wanaogoma kuoa sababu wamewajua wanawake kwa asilimia 100 na 1Kwema Wakuu!
Kuna namna mbili za kutokuwa interested na Ndoa.
Mosi, kutowaelewa na kutowajua kabisa wanawake.
Pili, kuwaelewa na kuwajua sana wanawake.
Hiyo ya pili ndio zaidi. Watu wengi wanaowajua wanawake kindakindaki huishia kuwa bachelor sugu. Hawaoi.
Wapo wanaume wenye kila sifa ya kuoa lakini hawataki kufanya hivyo kutokana na uelewa wao mkubwa kuhusu wanawake.
Jioni njema
Sasa huyo Ng'ombe si unamtafuna kila unapotaka hizo nyama za buchani hata mkia unakuta ushaachwa kwenye Supu huko unakuta firigisi hakuna moyo hakuna bandama hakuna mapupu yote hapo kwenye mabanda ya supu huko, ushaona sasa ukibeba Ng'ombe wako ukamweka ndani kila kitu unakikuta anacho Wewe ni kubonyeza tuYanini kununua n'gombe mzima wakati nikitaka nyama zimejaa tele buchani
Lengo ni kutaka wengi (hasa sisi wanaume) wapate matatizo, badala ya mafanikio.Ivi ni kwanni uhamasishaji wa kuoa kwa Tanzania umekua mkubwa mno kuliko kupeana michongo ?