Ukiwajua Polisi Tanzania, hutawashangaa kabisa na taarifa zao

Jeshi la polisi linatakiwa lifumuliwe! Tiss nayo inatakiwa ifumuliwe! Hivi vyombo vyote vinatakiwa kuwa huru, ili kuweza kufanya shughuli zake kwa ufanisi, tofauti na ilivyo sasa ambapo hufanya kwa shinikizo kutoka juu.
 
Nimeona watu wanashangaa polisi kuja na taarifa za mtu aliedhaniwa katekwa kuwa kafa kwenye ajali ....siko hapa kuwatetea polisi ..wala kushutumu lakini ningependa kuongea Kwa uzoefu wangu ...kuhusu polisi Tanzania...

Niliwahi kuwa na kesi ya mtu alienitapeli ...polisi Chango"mbe nikapewa Askari wa upepelezi tukawa tunamtafuta Kwa karibu miezi miwili...now wakati tunamtafuta huyo mtu tulishirikisha hadi kitengo cha cyber. Askari hao niliopewa kupitia"connection ya mtu powerful "kwahiyo sikuwa na wasiwasi na kuwa labda hawana nia au wamehongwa...walikuwa serious kazin....sasa cha kuchekesha ni kuwa Kwa kipindi ambacho "mtuhumiwa wetu" tunamtafuta...huyo mtuhumiwa akaenda Fanya matukio mengine ya kitapeli akakamatwa polisi Magomeni...akaachiwa...huku Sisi bado "tunamtafuta"..na mtuhumiwa baadae akaenda kumshitaki mtu mwingine polisi Kilwa road waliotapeliana...huku Sisi tunamtafuta...baadae kabisa akafanya tukio lingine akakamatwa polisi Oysterbay ndo tukaja kupata taarifa.

Kichekesho kingine ni jinsi polisi walivyokuwa wanachukulia hayo matukio kama tofauti na yanajitegemea na sio Ku combine matukio na kufungua kesi moja with strong evidence...na jinsi kila kituo kinamgombea mtuhumiwa....baadae nikaja gundua structure ya polisi ya ni ya kizamani Sana ...na Sheria zinaunda jeshi la polisi za kizamani sana....Kwa ufupi mahitaji ya kuwa na chombo cha Ku deal na organised crime ya mwaka 2024 yako tofauti kabisa na muundo wa jeshi la polisi....lilivyo sasa...

So sometimes tunawauliza polisi maswali na lawama nyingi wakati kiukweli hili jeshi la polisi Lina operate kama Tanzania bado uko miaka ya sabini tunawapa lawama nyingi sana bila kukaa chini na kuangalia namna ya kuwa na chombo vya mahitaji ya sasa na Sheria za sasa dunia inabadilika sana.

Leo ukiibiwa simu ndani ya mwendokasi..taratibu inasema uende polisi pale ulipopandia mwendokasi...yaani kama umepanda mwendokasi kimara ukaibiwa simu labda Magomeni itabidi urudi kimara kuandika jalada wakati pengine mwizi kateremkia posta...huu ni mfano Tu wa dunia inavyo kwenda na polisi walivyo baki kizamani.​

Jeshi la polisi linahitaji overhaul kabisa
Kwa kifupi hawana coordination, ni kama sungusungu wa Shinyanga na sungusungu wa Tabora ambavyo kila 'kikosi' na mambo(vitimbwi) yake.
 
Solution ni ku-digitalise mfumo, kila data iingizwe kwenye mfumo isomeke nchi nzima. Kama details za huyo aliyekutapeli zingekuwa kwenye mfumo wa taarifa za jinai za kidigiti za polisi, data ikiingizwa kituo cha polisi kilwa, inatakiwa ipige alarm pale kituo cha polisi Magomeni kuonyesha kwamba the suspect amekuwa located kilwa. Pia isomane na vituo vya uhamiaji, akiwa anafanya michakato ya kuvuka boda, afisa uhamiaji akiwa ana-process, jina likiingia tu katika mfumo, alarm ilie ili afisa huyo afanyie clearance za alarm husika. Isomane na magereza, Mahakama....

Isomane na mochwari kwamba ukiingia mwili wa mtu aliyekufa pasipo kujulikana, cha kwanza police na Hospitali wachukue DNA ya mtu huyo, iingie kwenye mfumo, ili akija ndugu au mtu kumtafuta ndugu, mtu huyo aliyekuha kutafuta nduguye atoe DNA, ikifanana na ya marehemu, basi mfumo nchi nzima unaweza kusema labda yuko mochwari mbeya, Nkasi, au Buzebazeba kutokana na DNA data iliyojazwa.

Hii itapunguza kutafutana manually katika mochwari coz mwananchi hawezi kutembelea mochwari za nchi nzima. Hata akifanikiwa, atatoka na ugonjwa mwingine kutokana na kuangalia watu waliokufa nchi nzima

Once I heard kwamba kuna utaratibu wa kutengeneza Database ya taifa zima ya DNA unafanywa na ofisi ya mkemia mkuu wa serikali. Matukio kama ya ghorofa la kariakoo, DNA ingetosha kufanya utambuzi. Matukio ya watu kuungua na moto mpaka kufa, majivu au mabaki yakiingia katika DNA database, wanatambulika

There is a need to create a digital cobweb ya jinai, na taasisi zote zinazo process jinai.

Suala la kuibiwa simu liwe reported anywhere, tena online, kama mtu ana IMEI number, imsome mwizi alipo pa po hapo bila kusubiri issue za watu wa Cyber, na mfumo uwe unaampa taarifa aliyeibiwa timely, papo hapo.

Therefore, there us a need to establish a sophisticated department of IT at the Police Force
Wazo lako nadhani ndio limeishia kwa akina Lugumi.
 
Kwa mawazo Yako kama haya kwa nchi za wenzetu,ulitakiwa ushirikishwe jinsi ya kuliunda jeshi kisasa.Badala yake utaitwa mchochezi!
 
Uko vizuri!
 
Watu wanaofeli shule(4M4) na kukosa mwelekeo kimaisha unakuta ndo wanajiunga na mafunzo ya jeshi la polisi kwa connection za ndugu zao ambao ni polisi, hapo unategemea weledi upi? wachache hukumbuka kujiendeleza kielimu hadi wanapata masters hasa kwenye sheria ila wengi wao kuwauliza maswali magum ni kuzionea akili zao. PT wape kazi ya kupiga raia virungu, kuwarusha mabom na kudai hela za kubrashi viatu hapo watakufurahisha. Kinachotupoza waafrika ni kurithi muundo na mfumo wa jeshi la polisi toka kwa wakoloni ambalo malengo yake ni kulinda na kutetea maslahi ya watawala.
Hoja ya kufeli kidato cha nne na kuwa askari ni hoja dhaifu sana. Hakuna uhusiano wa kufeli form four na kufeli kutimiza majukumu ya kipolisi. Pengine hii mindset ndio sababu hata ya wao wenyewe kushindwa kufanya majukumu yao kwa ufanisi

Polisi kuna vitengo vingi na kuna majukumu mengi. Jukumu linalomuhitaji mtu wa bachelor ya IT hawezi kuwekwa huyo wa form four. Kitengo kinachomuhitaji mtu mwenye masters ya IT hawezi kuwekwa wa darasa la saba

Nachokubaliana na wengi ni kuingia jeshini kwa "connection" a.k.a kujuana. Hii inaweza kuwa sababu ya udhaifu wa baadhi ya maaskari kwasababu ya mindset za kubebwa na "unanijua mimi ni nani?".

Lingine ni kuingiza jeshini mtu aliyekuwa jobless lakini anapewa connection kwasababu amekosa pa kwenda au amekosa cha kufanya. Hawa hawawezi kutimiza majukumu yao kikamilifu kwasababu wapo wapo tu ili mikono iende kinywani

Niliwahi kukutana na askari mmoja yeye ndani ya mwaka wa utumishi alinunua gari na kwenye gari alikuwa anatembea na begi lake la nguo. Sababu ya msingi kwake kununua gari ni kwasababu hakupenda kuonekana mtaani akiwa na uniform. Yeye hakuna kitu alikuwa hapendi kama kuvaa uniform. Alikuwa hajiskii amani akiwa ndani ya gwanda wakati askari kamili kwake kuwa ndani ya gwanda ni ufahari. Sasa mtu kama huyu atatekeleza majukumu ya kipolisi kikamilifu?

Kinachoweza kufanyika ni kuhakikisha askri wote wanaokuwa recruited wanapandikizwa moyo wa kuipenda kazi yao kwanza na kuona ufahari kutumikia nchi yao

La pili ni kufumua huo mfumo wa kizamani na kuliunda kisasa kama mdau alivyoshauri. Ni kweli kabisa jeshi letu la polisi linafanya kazi kizamani sana tena mbali sana. Nakuhakikishia kwa mfano kama ishu ya kukamata mtuhumiwa, wewe raia una nafasi nzuri sana ya kumkamata lakini ukishaenda polisi utashangaa mlolongo utakaokutana nao hadi utatamani umalizane na mtuhumiwa wako uraiani

Vinginevyo ingekuwa ni lazima kwenye ufaulu wa juu kidato cha nne tu kusingekuwa na mafunzo ya kipolisi
 
Wewe kweli zero brain. Hili povu kafulie sidiria za mkeo maana ni chaf sana.
Wewe jamaa mbona una matusi sana...?

Kwani tukijadiliana kwa lugha ya kawaida huku tukistahiana tutapungukiwa nini.?

Nikirudi kwenye hoja;

Ukweli ni kwamba, hoja yako kuwa polisi wako hivyo kwa sababu wengi ni form failures ni dhaifu sana. I

Kigezo cha "elimu" kinaweza kuwa moja ya sababu lakini ni kwa kiwango kidogo sana chini ya 1% ya sababu za kushindwa kwa Jeshi la Polisi kufanya kazi yake vyema ....

Labda hujui kuwa ndani jeshi la polisi wako wa viwango tofauti tofauti vya elimu wenye PhD holders, masters, shahada, stashahada na vyeti ktk fani mbalimbali za sheria, ualimu, uhasibu, maendeleo na ustawi wa jamii, utawala nk...

Sasa jiulize;

Kama Jeshi lina wasomi wengi hivyo na bado ufanisi wake uko chini ya kiwango, unadhani tatizo ni nini...?

Tujadiliane ktk mwelekeo na msingi huu. Tuache kurushiana matusi bila sababu...

CC enzo1988
 
Sahihi mkuu,wapo pia walisoma vipaji kama Tabora boys,Elbolu,Mzumbe nk shida ni mfumo wa kizamani,utawala wa divide and rule hadi Sasa.!
 
Nimeona watu wanashangaa polisi kuja na taarifa za mtu aliedhaniwa katekwa kuwa kafa kwenye ajali ....siko hapa kuwatetea polisi ..wala kushutumu lakini ningependa kuongea Kwa uzoefu wangu ...kuhusu polisi Tanzania...

Niliwahi kuwa na kesi ya mtu alienitapeli ...polisi Chango"mbe nikapewa Askari wa upepelezi tukawa tunamtafuta Kwa karibu miezi miwili...now wakati tunamtafuta huyo mtu tulishirikisha hadi kitengo cha cyber. Askari hao niliopewa kupitia"connection ya mtu powerful "kwahiyo sikuwa na wasiwasi na kuwa labda hawana nia au wamehongwa...walikuwa serious kazin....sasa cha kuchekesha ni kuwa Kwa kipindi ambacho "mtuhumiwa wetu" tunamtafuta...huyo mtuhumiwa akaenda Fanya matukio mengine ya kitapeli akakamatwa polisi Magomeni...akaachiwa...huku Sisi bado "tunamtafuta"..na mtuhumiwa baadae akaenda kumshitaki mtu mwingine polisi Kilwa road waliotapeliana...huku Sisi tunamtafuta...baadae kabisa akafanya tukio lingine akakamatwa polisi Oysterbay ndo tukaja kupata taarifa.

Kichekesho kingine ni jinsi polisi walivyokuwa wanachukulia hayo matukio kama tofauti na yanajitegemea na sio Ku combine matukio na kufungua kesi moja with strong evidence...na jinsi kila kituo kinamgombea mtuhumiwa....baadae nikaja gundua structure ya polisi ya ni ya kizamani Sana ...na Sheria zinaunda jeshi la polisi za kizamani sana....Kwa ufupi mahitaji ya kuwa na chombo cha Ku deal na organised crime ya mwaka 2024 yako tofauti kabisa na muundo wa jeshi la polisi....lilivyo sasa...

So sometimes tunawauliza polisi maswali na lawama nyingi wakati kiukweli hili jeshi la polisi Lina operate kama Tanzania bado uko miaka ya sabini tunawapa lawama nyingi sana bila kukaa chini na kuangalia namna ya kuwa na chombo vya mahitaji ya sasa na Sheria za sasa dunia inabadilika sana.

Leo ukiibiwa simu ndani ya mwendokasi..taratibu inasema uende polisi pale ulipopandia mwendokasi...yaani kama umepanda mwendokasi kimara ukaibiwa simu labda Magomeni itabidi urudi kimara kuandika jalada wakati pengine mwizi kateremkia posta...huu ni mfano Tu wa dunia inavyo kwenda na polisi walivyo baki kizamani.​

Jeshi la polisi linahitaji overhaul kabisa
Overhaul ???! Kivipi ??!
Just kubadili watu wale wale wenye mawazo yale yale au what exactly you mean by Overhaul ???!

Hapa tupo katika kuisaidia Nchi ni vyema tuwe Specific how to do it !!
 
Solution ni ku-digitalise mfumo, kila data iingizwe kwenye mfumo isomeke nchi nzima. Kama details za huyo aliyekutapeli zingekuwa kwenye mfumo wa taarifa za jinai za kidigiti za polisi, data ikiingizwa kituo cha polisi kilwa, inatakiwa ipige alarm pale kituo cha polisi Magomeni kuonyesha kwamba the suspect amekuwa located kilwa. Pia isomane na vituo vya uhamiaji, akiwa anafanya michakato ya kuvuka boda, afisa uhamiaji akiwa ana-process, jina likiingia tu katika mfumo, alarm ilie ili afisa huyo afanyie clearance za alarm husika. Isomane na magereza, Mahakama....

Isomane na mochwari kwamba ukiingia mwili wa mtu aliyekufa pasipo kujulikana, cha kwanza police na Hospitali wachukue DNA ya mtu huyo, iingie kwenye mfumo, ili akija ndugu au mtu kumtafuta ndugu, mtu huyo aliyekuha kutafuta nduguye atoe DNA, ikifanana na ya marehemu, basi mfumo nchi nzima unaweza kusema labda yuko mochwari mbeya, Nkasi, au Buzebazeba kutokana na DNA data iliyojazwa.

Hii itapunguza kutafutana manually katika mochwari coz mwananchi hawezi kutembelea mochwari za nchi nzima. Hata akifanikiwa, atatoka na ugonjwa mwingine kutokana na kuangalia watu waliokufa nchi nzima

Once I heard kwamba kuna utaratibu wa kutengeneza Database ya taifa zima ya DNA unafanywa na ofisi ya mkemia mkuu wa serikali. Matukio kama ya ghorofa la kariakoo, DNA ingetosha kufanya utambuzi. Matukio ya watu kuungua na moto mpaka kufa, majivu au mabaki yakiingia katika DNA database, wanatambulika

There is a need to create a digital cobweb ya jinai, na taasisi zote zinazo process jinai.

Suala la kuibiwa simu liwe reported anywhere, tena online, kama mtu ana IMEI number, imsome mwizi alipo pa po hapo bila kusubiri issue za watu wa Cyber, na mfumo uwe unaampa taarifa aliyeibiwa timely, papo hapo.

Therefore, there us a need to establish a sophisticated department of IT at the Police Force
Akili hii ni kubwa na imezingatia matumizi mazuri ya elimu na ada Kwa ujumla
Kwakua kwenye corruption index, polisi ni Miongoni mwa taaisi zinazoongoza kwa Rushwa ukiacha PCCB, na vyombo vingine vya Dola, Urasimu Ndio msingi mkubwa wa wao kujinufaisha kwa Rushwa! Hawawezi kujisifu Kwa kuongeza efficiency ya kuzuia uhalifu, rather Kwa efficiency ya uhalifu wao wenyewe!

Kwa kuwa ulichoandika ni dhahiri kwamba kitaondoa huo Urasimu na kurahisisha maisha kwa uraia na kuongeza ugumu wa kupata Rushwa Kwa polisi, swala hili litapuuzwa na kutupiliwa mbali! Ikiwa ni Katibu Mkuu wa Wizara atapendekeza hili basi ajiandae kuondolewa wizarani! Kama ni askari polisi msomi mzuri mwenye taaluma yake inayoweza kuleta mabadiliko haya ajiandae kwenda Kamaserere pembezoni mwa nchi kuwa OCD! au OCS.

AFRICA IS NO MORE
 
Nmewahi kusoma riwaya ya habibu anga pamoja na mambo mengi ila utendaji wa nchi na namna nchi inavyo operate hasa kwa police ni kama wanatupiwa lawama...

Wanakuwa wanajua kabisa kinachoendelea ila wanakuwa na maelekezo ambayo inabidi jamii iyakubali hata kama hawayataki..

Kwa sasa jamii yetu inauhasama ambao hausemwi wa kutokuaminiana kati ya taasisi ya police na raia ila huenda hata police wanaonewa tu...

Sasa kwa hali ilivyo usishangae matukio kama ya wale w TRA tegeta yakaja kujitokeza tena kwa ukubwa..

Nini kifanyike?
Kwanza police wazuie hao watu wasiojulikana nnaamini kwa strong security system ya police hakuna tukio litafanyika wasijue au wasihusishwe..

Pili mifumo ya kipolice isomane ili kuepusha mtuhumiwa kukamatwa na kuachiwa wakati anakesi au anatafutwa sehemu nyingine..

Tatu wapungeze kama si kuondoa taarifa zenye ukakasi kama hizi.. ambazo hata ambae hajaufuta umande anaona amepigwa na kitu kizito kichwani..

Upo msemo wa kiswahil usemao
USIMSHIKE KIPOFU MKONO WAKATI MNAKULA ATAJUA UNAKOMBA MBONGA..
 
Sahihi mkuu,wapo pia walisoma vipaji kama Tabora boys,Elbolu,Mzumbe nk shida ni mfumo wa kizamani,utawala wa divide and rule hadi Sasa.!
Yes I have one I know, PhD, MAsters Moshi Technical, Ilboru, UDSM, ARDHI, lakini Kwa taarifa ni kwamba jeshi la polisi halitaki kuwatumia watu wa namna hii kwenye Administration Ili kuimplicate policy change isipokua wanatumia kama operation officers wa kutumwa tu na vilaza, ambao elimu hawana!
Uliza Elimu ya Kamishna Suzan Kaganda na sasa Yuko wapi?
 
Sina inside info lakini the moment Jerry alipoanza kusema anasimamisha vibali vya petrol station mpya sijui hadi nini nini nikajua Tu ataondolewa haraka sana...hii kauli ya kusimamisha vibali vya petrol station aliwahi kuitoa Mabula pia hapo Ardhi na haku last miezi mitatu....kwenye vita za siasa lazima uchague maadui zako na lazima upigane na adui mmoja Kwa wakati... angebaki na walanguzi WA viwanja na rushwa za ardhi...huko kwenye petrol station aligusa nyaya ambazo hazijui vizuri mizizi yake
Hii Comment yako nadhani ina apply kote kote mpaka huko mwanzo wa thread yako yaani ni majibu ya yote uliyoyadadisi kuanzia mwanzo !
Sijui kama umenielewa. 😳 !
 
Back
Top Bottom