Ukiwajua Polisi Tanzania, hutawashangaa kabisa na taarifa zao

Kuhusiana na kuunganisha haiwezekani kwasababu ni matukio tofauti na walalamikaji ni tofauti hata kama hizo kesi zingefunguliwa kituo kimoja haziwezi kuunganishwa kama kesi moja, ila kama alikutendea kosa zaidi ya moja wewe mlalamikaji ndo unaweza kufunguliwa kesi moja ila itakua na charge zaidi ya moja

Kwa hapo tatizo siyo lao.
 
Overhaul ???! Kivipi ??!
Just kubadili watu wale wale wenye mawazo yale yale au what exactly you mean by Overhaul ???!

Hapa tupo katika kuisaidia Nchi ni vyema tuwe Specific how to do it !!
Overhaul ianzie kwenye Sheria
Mfano mdogo ukienda polisi na mtu aliekuuzia simu feki ...watakwambia nenda tbs ubungo...imagine that...
Yaani kuna maeneo hawana hata mamlaka ya kisheria kuingilia...
Au Afisa wa Tra mkisumbuana...polisi ni kama hawahusiki kabisa... kuna kisheria...na kunahitajika police maalum WA "organised crime"..na polisi ambao wanaweza chunguza polisi...wakati wa Kikwete walisema itaundwa chombo kama FBI lakini limeishia kwenye mcahakato...
Kuna overhaul ya sheria...
Kuna overhaul ya technology...
Overhaul ya mindset etc.....

Waje hasa criminal case zote zinawahusu...hata magomvi ya shareholders kwenye PLC kama CRDB ni wao ndo wanatakiwa Ku solve kama kuna crime...kuna a lot needed to be done
 
Hizi ndo mentality za zamani...
Mwizi kama ni serial...anashitakiwa Kwa kuthibitisha kuwa huyu ni serial...sio kaiba mara moja... Organised crime ina namna yake...sio kuichukulia kizamani
 
Wanaotunga hizo sheria wana sifa za kujua kuandika na kusoma tu. Sijui itakuwaje?
 
Huu ni ukweli mtupu
 
Kuna mmoja alifeli la saba, akapelekwa ufundi akafeli wakaamua kumpeleka kujiunga Polisi, sasa hivi ni mtu mkubwa sana soo atakuwa kamanda wa upelelezi wa mkoa. Maana aliungaunga crash programs.
Aliga QT akapata Div 4, akajiunga Orientation Foundation course pale NJE kwa mwaka mmoja akatoboa.

Akaenda Degree, akaunga unga kwa miaka 6 palepale NJE akapewa degree yake (pale nje wana shule nzuri sana, ila kwa watu wa serikalni nadhani kutakuwa na kitengo cha kwaanddalia vyeti si sababu ya kufaulu, bali sababu ya kuweza ku enroll tu).

Hata ukimuuliza alisoma course gani huwa anajiumauma na haawah kpatia hata siku moja, ana kumbukumbu nzuri ya Darasa lake enzi za QT, lakini zaidi ya degree yake hakumbuki chochote kuhusu NJE. Sasa hivi jamaa ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa
 
Kumbuka wanaojiunga na polisi wote ni form failure mkuu hivyo usitegemee mabadiliko yoyote
 
Hizi ndo mentality za zamani...
Mwizi kama ni serial...anashitakiwa Kwa kuthibitisha kuwa huyu ni serial...sio kaiba mara moja... Organised crime ina namna yake...sio kuichukulia kizamani
Kwani wapi ilizuiwa mtuhumiwa habitual series ya matukio aliyoyafanya yasitumike kama ushahidi? Hakuna sehemu iliyokatazwa na inaweza kutumika kama ushahidi ila kuunganishwa katika kesi moja wakati kawatendea watu tofauti hilo halipo
 
Mfumo wa nchi yetu umeoza kabisa ni wa hovyo
 
Point
 
Inatia hasira basi tu.
 
all in all ina maana yale maeneo yote lilipotokea tukio hamna hata sisitivii camera za majengo ...walau zingeaidia kuyajua magari yaliyohusika
 
Mvua kubwa iliyonyesha leo na kusababisha mafuriko katika maeneo ya bondeni imeleta madhara makubwa ya miundombinu. Watu 5 wanashikiliwa na polisi kutokana na tukio hilo
 
Ufafanuzi mzuri kabisa !👍🙏
 
Wewe akili hauna kesi zinaunganishwa hili kuunda strong evidence...kuna faida kubwa kwenye kuunganisha kesi
 
Kwani wapi ilizuiwa mtuhumiwa habitual series ya matukio aliyoyafanya yasitumike kama ushahidi? Hakuna sehemu iliyokatazwa na inaweza kutumika kama ushahidi ila kuunganishwa katika kesi moja wakati kawatendea watu tofauti hilo halipo
Tatizo lako wewe ni kushindwa kujua maana ya kuunganisha kesi au matukio ....labda unadhani kuunganisha kesi au matukio ni sawa na kuunganisha hukumu
 
Kuna ndugu mmoja majuzi katapeliwa milioni kumi na tatu ni mkongo kutoka kalemii kama unavyosema mtuhumiwa sim yake inasoma yuko mwanza kama usemavyo akaambiwa arudi kijijini nguruka wilaya ya uvinza ndio aende kufunguwa kesi huko akaenda akafunguwa kesi akapewa rb kwa mbinde sana ile sim ya mtuhumiwa waliitrack lakini kufika mwanza tena anaambiwa sijui kuna kitu gani mpaka yule askali wa nguruka alietrack sm akitume mwanza ndio upelelezi uwendelee
 
Swali moja linafikirisha sana Je haya yote yanayojadiliwa humu hao wahusika huwa hawayajui ???!

Au ndio kama anavyoandikaga Mwamba mmoja humu :-
Siasa ndivyo zilivyo 😅😀 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…