Ukiwaona hawa wanawake njiani ni kama hawaombi hela yakanyage sasa!

Pumbu wewe🀣
Mdogogo wangu si NIKAKUTANA na kadada kaliwa na kaduka flani kakuibia ibia basi nikakatokea kakachomoa BAADA ya siku mbili kakaniibukia nikakaambia si ulikataa kakasema hapana nilikuwa nakufikiria kukauliza umekubali hakajibu chochote .

Kesho yake kalaanza kupiga mizinga ya mara 50k mara 30k mara 100k ebo nilisema nimekutana na jini au MTU,
 
baadhi ya wanaume pia wanaomba
ukiona mtu anaomba jua ana shida
Ukiona mwanaume anaomba hela kwa mwanamke ni majigambo kuwa anakuweza sio shida ila wanawake walio wengi ni ombaomba
 
Tangazo kama ili kukosa picha/video clip sw n takataka tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hahahaaa pole mkuu shida mbaya sana! πŸ˜…

Mizinga ya hapa na pale😁
 
Hahaha. Asante mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…