binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Chicken mbarika (miguu ya kuku) 😅Ndio,
nikuandalie nini leo mgeni wangu wa tandale,chakalaka au dombolo na uji ?🤣
point.Sasa mji kuwa na vibaka ndio hustling?
Basi kama ndo hivyo chang'ombe ya Dodoma ni super street Duniani, ukitoboa chang'ombe huwez shindwa mtaa wowote hapa Duniani
Kuna mama wa kirangi alibakwa hukoSasa mji kuwa na vibaka ndio hustling?
Basi kama ndo hivyo chang'ombe ya Dodoma ni super street Duniani, ukitoboa chang'ombe huwez shindwa mtaa wowote hapa Duniani
Unatumia kutokukujua kutuhadaa na kutudanganya.Unauhakika gani kwamba huko kwingine sijatembelea au unanijua
[emoji1787] [emoji1787] Ushapaniki, sasa bora inferiority kuliko jazba.Mbona una inferiority complex kubwa sana Kuna sehemu nimesema kwamba huwezi fila joburg ebu nionyeshe
Sina utoto wa kuringishia watu na picha alafu nipate nini
Ndio nakudanganya unakingineUnatumia kutokukujua kutuhadaa na kutudanganya.
Umentishia kutukana nimekupa ruhusa utukane tatizo liko wapiKumbe Nimegundua una shida sana, anyway ngoja nikuache,
Kingine ni acha kudanganya na kuhadaa umma.Ndio nakudanganya unakingine
You sure about that..?U know, I know, than they know, but we know, and nononono
Muulize mwenyeji yeyote hapo ulipo "chakalaka na dombolo " ni nini au akuletee upate kujaribu.Chicken mbarika (miguu ya kuku) 😅
And again, ninini chakalaka na ndombolo?
I’m a village girl, huchelewi kunisingizia wakishua.
Kuliko Johannesburg ? Unachekesha man.Inasemekana Pietermaritzburg na Rustenburg ndio miji yenye uhalifu na hatari ya maisha kwa kiasi kikubwa huko South Africa
Unamaanisha Capetown right? [emoji23]Karibuni guguletho, Amani ya kutosha huku!
kaapstadUnamaanisha Capetown right? [emoji23]
I can't about a thing, if I don't know.You sure about that..?
Ila wajozi wanaigwaya cape,, huku kuna walangilangi(hawana akili hata kidogo) anakuuwa mchana jua linawaka sio kwa sababu ya hela hapana, kisa mkubwa wake wa gang kampa order akuue yawezekana mlipishana ukampiga kikumbo tu basi,, sasa ingia nyanga, gugulethu, khayretsha huko kuna chafu za kikosa kuua mpaka rand mia kwa sasa maisha yalivyo magumu,, yani bora hata langa tena kidogo sana kwa lokshini za watu weusi kuliko huko nilikokutaja at least kuna sehemu kama una usafiri wako unaweza ukaishi,, kwa upande lokshini za walangilangi at list athlone baadhi ya maeneo,, kwa kifupi south nzima kuna uhalifu mpaka vijijini, nishatolewa kwaju umtata eastern cape..
Johanesburg ilikikata stimu kabisa nilikuwa huko mwezi ulipita kwa wiki mojaTanzania watu wanaoshi kwemye comfort zone huo ndo ukweli ukitembea ndo utaelewa watu wako kwenye comfort zone
Ni kawaida Tanzania kupita na kukuta watu wapo kwenye vijiwe vya kahawa au shoe shine mda wa kazi wanabishania yanga na simba au mambo ya siasa, Tanzania mtu anaweza asiwe anafanya kazi na anapata mahitaji yote ya muhimu ya binadamu
Wewe kama ni hustler hapa Tanzania nenda joburg utajiona ni kama mjinga hivi ambaye ulikua unaigiza maisha Tanzania au unacheza
Real hustling ipo joburg mji unavurugu na ujambazi wa kutisha na mda huo huo unatakiwa utafute hela ule ni mji wa kiumeni ukiona mtu ametoboa joburg mheshimu
Juzi juzi hapa nilimtembelea rafiki yangu joburg aisee saa 1 tayari uko ndani ukiwa nje ni kwa your own risk bar tulizokua tunaenda ni zile zenye ulinzi mkali ukienda za kawaida uko una hatari kubwa sana ya kukabwa au kufanyiwa uhalifu, karibia wote kwenye ofisi yao kwa nyakati tofauti kila mmoja kashafanyiwa uhalifu wa kuibiwa waziwazi
Sikukaa sana ila kwa observation nilioifanya joburg ni mji wa kiumeni sana. Kwa Afrika nzima hakuna mji wa kiumeni kama joburg
Japo mji wenyewe siujui ila nikuulize kwanza, yaani ujambazi na kulala saa 1 ndio umeona hustling? Yaani mtu aibe, aue, apole umuite hustler?Tanzania watu wanaoshi kwemye comfort zone huo ndo ukweli ukitembea ndo utaelewa watu wako kwenye comfort zone