Pamoja sanaa ndugu yanguNiko salama kabisa kaka
Mkuu, ukiwa 5–0 down, kwanza usikubali kuamini kwamba mchezo umeisha. 😂So, tell us mkuu,
Ukiwa 5-0 down kama mwanaume ufanyeje? Maana wengi wetu tumeshafungwa 5-0, walau basi tufosi sare ili maisha yaende
True Ali adimika sanaaMkuu umekuwa adimu sana
Asset ukimaanisha Nini muheshimiwa🤔?Wanawake wanazaliwa na asset tayari, hiyo ni 1 goal advantage, mwanaume in other side ni from scratch, jamii iko against yeye, hana upendeleo hana support (unless anatoka familia yenye uwezo)
Maisha yananipereka mputa rafikiMkuu umekuwa adimu sana
Ubao unasoma Mufulira Wonderers 4-0 Simba Sports Club.Hapo ukikata tamaa unashuka daraja kwa aibu sana.Pindua matokeo kibishi na kwa kutumia ubabe bila kutunukiwa kadi nyekundu.Katika maisha haya, kama umezaliwa mwanaume, tayari maisha yameanza kukuchezea 1–0.
Umezaliwa Afrika? 2–0.
Umezaliwa kwenye familia maskini? 3–0.
Baba yako hana urithi wala mali ya kukuachia? 4–0.
Unakua na unapambana kutafuta kazi lakini hupati? 5–0.
Hapo ndipo unaanza kuelewa kwamba maisha hayakuwa yamepanga kuwa mepesi.
Jambo la kwanza ambalo maisha humfundisha mwanaume ni kwamba hakuna anayekuja kukuokoa.
Lazima ufanye kazi.
Ufanye kazi hata ukiwa umechoka.
Ufanye kazi hata wakati hakuna anayekuamini.
Ufanye kazi wakati marafiki zako wanaonekana kwenda mbele kwa kasi kuliko wewe.
Ufanye kazi hata unaposhindwa.
Ufanye kazi hata ukiwa na sababu elfu za kukata tamaa.
Na bado unatakiwa kuwajibika kwa familia yako, hata pale ambapo mfukoni hakuna kitu. Lazima utafute namna.
Kwa sababu ukiwa mwanaume, maisha hayakuulizi kama uko tayari.
Yanakuwekea majukumu mabegani na yanatarajia uyabebe.
Na sehemu ngumu zaidi ni kwamba mara nyingi unatakiwa kufanya yote hayo huku ukiwa unajifanya kwamba kila kitu kiko sawa.
Unaweza kulalamika kuhusu matokeo ya mchezo, au unaweza kuingia uwanjani na kuanza kucheza.
Kwa sababu kufungwa 5–0 hakumaanishi kwamba mchezo umeisha.
Inamaanisha bado una dakika za kupambana na una magoli matano ya kurudisha.
Usikubali matokeo ya leo yaamue mwisho wa maisha yako.
Endelea kupambana.
Endelea kujijenga.
Endelea kusonga mbele.
Mchezo bado unaendelea. ⚽🔥
Unaweza kuhimili presha za kila uchwao kusemwa vibaya mitandaoni?Sio wewe pekee yako Mkuu, lakini usikae mbali na huu mtandao
Tangu utotoni mpaka leo unatishika na maneno ya waja?Yani wanachafua uchafu?Tangu lini ikawezekana hiyo?Unajaribiwa kupinwa uzito wa ubongo wako.Kazana hadi mwisho.Unaweza kuhimili presha za kila uchwao kusemwa vibaya mitandaoni?
Nigga naelewa unachosema ila inataka moyo sana .Tangu utotoni mpaka leo unatishika na maneno ya waja?Yani wanachafua uchafu?Tangu lini ikawezekana hiyo?Unajaribiwa kupinwa uzito wa ubongo wako.Kazana hadi mwisho.
Ningekupa maisha yangu haya uyaishi kwa siku tatu tu, lazima ungejitoa uhai.Juzi tu hapa kuna mtu huwa anajiona ni mbishi maishani lakini aliniuliza nimeumbwajeumbwaje kuvumilia yanayoendelea!Nilicheka sana!Nigga naelewa unachosema ila inataka moyo sana .
But taratibu mambo yatakuwa sawa.
Hao ni wanawake wa kwenye AI tu Mkuu, nje na hapo waliuawa na lile gharika la Nuhu.Ukiwa umefungwa 5-0
Unamwitaji mwanamke wa dizaini hii
View attachment 3682513
View attachment 3682513
Dah kaka utofauti wa uchukuliaji wa mambo ila pia teknolojia sio nzuri hapa kwetu inaleta ujinga ujinga mwingi mpaka inaboaNingekupa maisha yangu haya uyaishi kwa siku tatu tu, lazima ungejitoa uhai.Juzi tu hapa kuna mtu huwa anajiona ni mbishi maishani lakini aliniuliza nimeumbwajeumbwaje kuvumilia yanayoendelea!Nilicheka sana!
Haya kakaHizo hazisumbui kabisa Mkuu 😂
Una uhakika umeshayaona yote ya ulimwenguni?Bakiza chenji za kununulia big-G!Hao ni wanawake wa kwenye AI tu Mkuu, nje na hapo waliuawa na lile gharika la Nuhu.
Kwa sasa hawapo
Nani hapo amkimbie mwenzake? Hakuna.Ni kukomaa tu kwa kutumia ubongo wako kwa ufanisi/tija.Dah kaka utofauti wa uchukuliaji wa mambo ila pia teknolojia sio nzuri hapa kwetu inaleta ujinga ujinga mwingi mpaka inaboa