Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Sasa tunafikaje huko mkuuMi mwenyewe nipo tandale mkuu, sema si unajua dunia ipo kiganjani.
Angalia hii technology jinsi inavyounganisha watu.
View: https://youtube.com/shorts/JRYtbehCX3U?si=DAgIN9PBl1IoEJfO
Kwa hiyo technology inayoitwa portal tunaweza fika bila hata visaSasa tunafikaje huko mkuu
Akili zimewakaa sawa.Zamani humu JF ilikua kila siku zinashushwa nyuzi za kutuponda wabeba box,
Nashukuru Mungu zama hizo zilipita na zimekuja zama za kutusifia wabeba box,
Hua najiuliza,sijui nini hasa kilicho pelekea watu kubadili mtazamo wao against wabeba box.
Umenikumbusha mbali sana.Kibongo bongo wakirudi wanatuchukulia mademu zetu
Vipi RRONDO walikuchukulia bebe nini???Umenikumbusha mbali sana.
Waacheni wajifariji huku maisha magumu tunataka muwe kama sisiMade over $204k last year! Fed tax return is over $37k, state $8k sijui mafanikio gani wanataka kuyasikia?
Upo zako bar bill ikija (let's say labda ni laki moja,) ukizama mfukoni unatoa noti moja tu na chenchi inarudi.Kinyume chake. Enzi hizo ukirudi mtu akikuona tu anajua.
Sio rahisi kama unavyofikiriahatari hapo minimum earn let say ni 800M za kibongo per year imagine umekaa america 10yrs kama mbeba box utakuwa na bei gani?
Hii bond ukiwa na Mbebez kila mtu analipa kivyake au mnaweza ku share?View attachment 3541035
Unamillion 25 za kuacha kama bondi ubalozini?
Ok sawaSio rahisi kwako wewe
Naomba maelekezo zaidi mkuuKwa hiyo technology inayoitwa portal tunaweza fika bila hata visa
Unafika kwa njia ya video call mkuu.Naomba maelekezo zaidi mkuu
DahUnafika kwa njia ya video call mkuu.
Kabisa..Kinyume chake. Enzi hizo ukirudi mtu akikuona tu anajua.