Nakubaliana na hoja ila sijachunguza kwa asilimia ngapi.
Kipindi kile cha Kikwete wabongo nyumbani waliianza kuwa na maisha mazuri na gharama za maisha zilikuwa chini, mtu ananuna Chaser balooni kwa milioni 4 ok pina kabisa na hela nje nje na kulikuwa na wimbi la wabeba box waliorudi bongo na kufanikiwa sana maisha ndio maana walikuwa wanakandia sana maisha ya kubeba boxZamani humu JF ilikua kila siku zinashushwa nyuzi za kutuponda wabeba box,
Nashukuru Mungu zama hizo zilipita na zimekuja zama za kutusifia wabeba box,
Hua najiuliza,sijui nini hasa kilicho pelekea watu kubadili mtazamo wao against wabeba box.
Nimekuelewa kwamba nafasi ya kufanikiwa huko Dunia ya kwanza ni kubwa kuliko Dunia ya Tatu.Nakubaliana na hoja ila sijachunguza kwa asilimia ngapi.
Wewe unafikiri Bill Gates angezaliwa Nagurukuru Tanganyika October 28 1955 angekuwa bilionea wa dunia huyuhuyu aliyetupa kampuni ya Microsoft?
Angalia namba ya mabilionea (wa US dollars) US na Tanzania.
Pia, watu inabidi waelewe tofauti ya nafasi ya kufanikiwa na kufanikiwa.
Marekani usiyoambiwa ipi, hii ambayo mtu anakupa link ya internet kukuonesha video za Youtube, kampuni ya Marekani?Nimekuelewa kwamba nafasi ya kufanikiwa huko Dunia ya kwanza ni kubwa kuliko Dunia ya Tatu.
Kuhusu Marekani tusiyoiambiwa au hata kuniona kupitia main stream media Ina ukweli au ni hoja za wakosoaji tu ?..
Hii ni comeback ya hatari mkuu.Zamani humu JF ilikua kila siku zinashushwa nyuzi za kutuponda wabeba box,
Nashukuru Mungu zama hizo zilipita na zimekuja zama za kutusifia wabeba box,
Hua najiuliza,sijui nini hasa kilicho pelekea watu kubadili mtazamo wao against wabeba box.
Cha ajabu unapoishi una tv ya nini sasaKumbe bado unaangaliaga Tv
Lakini matukio ya uhalifu wa silaha wa mara kwa mara(gun violence) na ubaguzi wa rangi wa polisi dhidi ya wasio weupe hayo pia si yapo au nayo yanakuzwa kuliko uhalisia?..Marekani usiyoambiwa ipi, hii ambayo mtu anakupa link ya internet kukuonesha video za Youtube, kampuni ya Marekani?
Sasa hapo unasemaje hiyo ni Marekani usiyoambiwa?
Ukioneshwa mtu homeless yupo mtaani, hata hiyo ana mambo mengi sana mpaka kufikia hapo.
Watu wengi wamekuwa na chances nyingi sana za kufanya vizuri lakini wamezichezea na kuwa mateja, madawa ya kulevya yakawapelekea kuwa homeless.
Wengine wamepata matatizo kweli bila kuwa mateja lakini wana ubishi fulani wanataka kuishi maisha kivyao hawataki kusaidiwa na familia au serikali.
Pia, Marekani ina complex system na bureaucracy kuna wengine wanataka kusaidiwa lakini wanakosa kujua sehemu ya kupata msaada, tatizo si kukosa msaada tatizo ni kujua waende wapi. Tanzania kuna watu wengi hawapati msaada si kwa sababu hawajui waende wapi, ila kwa sababu hakuna msaada.
Kwa hivyo hata mtu homeless wa Marekani bado ana nafasi kubwa ya kufanikiwa kutoka kuwa homeless na kuwa na maisha mazuri kuliko mtu ombaomba wa Tanzania.
Yapo lakini hayo pia una nafasi kubwa ya kuyaepuka kama unajipanga.Lakini matukio ya uhalifu wa silaha wa mara kwa mara(gun violence) na ubaguzi wa rangi wa polisi dhidi ya wasio weupe hayo pia si yapo au nayo yanakuzwa kuliko uhalisia?..
πππππMbele ukiwa na akili japo kidogo tuu unafanikiwa. Ukiwa na kipaji ndo unatoboa mazima.
Wenzetu kipaji, juhudi na maarifa ukiwa nayo unatoboa fresh tuu. Ukiwa fala, unakuwa fala kweli.
πππππ
Huyo mzembe, kuna dada ni wa mtaani kwetu, kaenda US 2022 mwishoni kwao kumebadilika na ana kwake binafsi, ndinga anayosukuma sasa.kuna jamaa yangu yupo US tangu 2019 kwao tayari kushaanza kubadilika.
Wangapi mkuu tusaidie statistics tulinganishe na wema wanaokufa kwa kipindupindu hapo buguruniHomless wanaokufa huko napo unasemaje
Sijapata connection, qumamaqe nikifanikiwa kutinga Atlanta, dadekiiii sirudi Bongo kamwee, na naomba uraia wa huko huko.Nenda mbele, utatoboa. π
Mnatutia hasira wajaaa, mfanye kutupa connection hizo.hatari hapo minimum earn let say ni 800M za kibongo per year imagine umekaa america 10yrs kama mbeba box utakuwa na bei gani?
πππππππUnafika kwa njia ya video call mkuu.
Ingekuwa hivyo, nchi zote za kiislamu duniani watu wake wote wangekuwa matajiri hata kutibiwa hospitali ingekuwa bure na zingekuwa nchi za amani na kimbilio. TMarekani usiyooneshwa kwenye TV
Ulokole na hii mada unahusiani vipi?Ingekuwa hivyo, nchi zote za kiislamu duniani watu wake wote wangekuwa matajiri hata kutibiwa hospitali ingekuwa bure na zingekuwa nchi za amani na kimbilio. T
Hapo Zanzibar, Mashekh na maustadhi wanakaribia kuanza kutembea na mawe, mafimbo na marungu kuangalia watu wanaokula mchana. Ole wako wakukute unakula kipindi cha Ramadhani na ukijifanya mkaidi wanakuua halafu ndiyo utashangaa huu ndiyo uislamu. Wakishakuua watasema hao wametumwa na Marekani na Israel
Unaposema: "wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa" unamaanisha nini?Yeah,
Ukizaliwa first world country tayari una asilimia kubwa sana ya kufanikiwa kwenye angle zote kimaisha, kimasomo, kiuchumu..nk
Hata wabeba box wengi wenye akili sawsawa waliozamia America, ulaya wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.