Ukizingua, Kikwete haku-deal na watu, ali-deal mtu

Ukizingua, Kikwete haku-deal na watu, ali-deal mtu

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,850
Reaction score
9,422
Mzee Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu ange deal na mhusika ila baada ya kufatuta hasa chanzo ni nini. Bahati mbaya sana Mama inawezekana hamtumii kabisa na anajiamulia

Credits to Mudawote
 
Dkt Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu ange deal na mhusika ila baada ya kufatuta hasa chanzo ni nini? Bahati mbaya sana Mama inawezekana hamtumii kabisa na anajiamulia

Credits to Mudawote
Mbona juzi kasema ndio boss wake?
 
It’s beyond me.

JK aliekuwa logical akiwa raisi sio huyu wa leo.

Vitu anavyo support leo vya kijinga hakuwa ana support akiwa raisi (given the fact in his time he just dint have the right support system). Ndio msingi wa lawama nyingi aliizopata.

Vinginevyo JK made effort to be a good president given his ability and wished well for Tanzania,

Nini kimebadiloka the only logical explanation anafanya anayo fanya kama mzazi ambae akidhani labda yatamsaidia mtoto wake mwenye political ambitious,

Kuna wale watu ambao ndoto zao zinaishi kwa watu wengine (labda ndoto ya JK ni kuona Ridhiwani anakuwa waziri au raisi) aina maana hiyo ndio ndoto ya Ridhiwani pia (kwa sababu ni investor na yeye ategemei siasa).

JK just doesn’t make sense. he is erratic,

Kitu ambacho binafsi siogopi kumpa ukweli wake, mkewe Salma anatamaa.

Kikwetes are too comfortable kwa Salma Kikwete kugombea ubunge, yule mama anatamaa (kwa hilo wachukue tu kucha zangu), she is just selfish and greedy.

Huo ndio ukweli wa mkewe.
 
Na Mwanamke mwenye tamaa ni rahisi sana kuachia mbunye,yawezekana kweli aliachia kwa babu seya
Huko sipo

Nipo tayari kumnanga JK kisiasa na kumnanga mkewe kisiasa

Lakini sina audacity wala fikra ya kumdhalilisha mkewe.

Mimi sijui hizi tabia tunatoa wapi, Salma Kiketwe ni mke wa raisi mstaafu na ana watoto wakubwa.

Tuwe na mipaka ya heshima na hawa watu (usiende personal), mumewe na watoto wake wana mipaka yao ya uvumilivu.

Salma Kikwete ni mama mwenye watoto ambao ni powerful na mumewe ndio kabisa.

Tujikite kwa nafasi yake kwenye jamii na tamaa zake (Lakini sio kudhalilishana). Huko jamaa wanarudi shauri zenu.
 
Umenena sahihi kabisa yule ni mama, mke wa rais mstaafu, hata angekuwa mke wa mzee yeyote mstaafu anastahili heshima yake, Watanzania tujikite kwenye hoja tuache kuattcack watu kwenye personalities , Issue ya babu seya hakuna mwenye ushahidi ni umbea wa vijiweni
 
Pascal mimi nahisi ilimbidi awe vile kwa sababu JK alishatuzoesha kuwa wabishi wa kila kitu na yeye alikuwa anachukulia poa tu, Magu alipotaka kufanya reforms alikutana na upinzani ndani ya serikali, chama, nje ya serikali chama wapinzani pia walikuwa na nguvu sana na kila aina ya vikwazo kwa hiyo ikabidi awe dikteta kwa muda, angekaa miaka saba nane angekuja kulegeza kamba
 
Watanzania tunajiamini sana.

Yaani mtu anaanza na assumption ya jamaa poa,

That’s beyond me
 
Dkt Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu ange deal na mhusika ila baada ya kufatuta hasa chanzo ni nini? Bahati mbaya sana Mama inawezekana hamtumii kabisa na anajiamulia

Credits to Mudawote
Hivi unamjuwa Kikwete kweli au unaropoka tu? Kikwete ni zaidi ya umjuavyo, alikuwa anacheka na watu kisha anatumia makomandoo kuteka na kutesa watu, unakumbuka watu waliokuwa wanatekwa na kung'olewa kucha bila ganzi, kuvunjwa mapumbu na kufilwa kabla ya kuuwawa? Unafikiri ilikuwa kazi ya nani? Wananchi walikuwa wanateswa huku Kikwete aki-joke tu na watu na akicheka akijifanya hajuwi kitu. Kikwete ni mwanajeshi, ni komandoo yule kuua na kutesa kwake si ishu, anakuua huku anakucheka akijifanya si yeye muhusika.
 
Back
Top Bottom