CorrectHuko sipo
Nipo tayari kumnanga JK kisiasa na kumnanga mkewe kisiasa
Lakini sina audacity wala fikra ya kumdhalilisha mkewe.
Mimi sijui hizi tabia tunatoa wapi, Salma Kiketwe ni mke wa raisi mstaafu na ana watoto wakubwa.
Tuwe na mipaka ya heshima na hawa watu (usiende personal), mumewe na watoto wake wana mipaka yao ya uvumilivu.
Salma Kikwete ni mama mwenye watoto ambao ni powerful na mumewe ndio kabisa.
Tujikite kwa nafasi yake kwenye jamii na tamaa zake (Lakini sio kudhalilishana). Huko jamaa wanarudi shauri zenu.
TrueKitu ambacho binafsi siogopi kumpa ukweli wake, mkewe Salma anatamaa.
Umesema kweli ingawa hapa JF utapingwa maana wa macho lakini hawaoni. Wana masikio lakini hawasikii. UbinafsiLaiti wapinzani wangekuwa wazalendo na kuunga mkono juhudi za Magufuli ile awamu ya kwanza. Mambo mengi sana yasingeharibika. Ni kwavile kila mtu ni mbinafsi mwishowe tunaligharimu taifa.
Hujui unamaanisha nini. Unapo deal na mtu, una deal na watu.Mzee Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu ange deal na mhusika ila baada ya kufatuta hasa chanzo ni nini. Bahati mbaya sana Mama inawezekana hamtumii kabisa na anajiamulia
Credits to Mudawote
Unataka kusema Gwajima karopoka?Mzee Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu ange deal na mhusika ila baada ya kufatuta hasa chanzo ni nini. Bahati mbaya sana Mama inawezekana hamtumii kabisa na anajiamulia
Credits to Mudawote
Tukisema Taifa, naona inapunguza maumivu yetu na hivyo watu kukosa kuwajibika. Tuoumia ni sisi na vizazi vyetu.Umesema kweli ingawa hapa JF utapingwa maana wa macho lakini hawaoni. Wana masikio lakini hawasikii. Ubinafsi
Ndugu yangu jamvini kuna watoto wengi sana humu. Sio ajabu mtu kuiruka mada kihoja na kuhamia kuattack mtuHuko sipo
Nipo tayari kumnanga JK kisiasa na kumnanga mkewe kisiasa
Lakini sina audacity wala fikra ya kumdhalilisha mkewe.
Mimi sijui hizi tabia tunatoa wapi, Salma Kiketwe ni mke wa raisi mstaafu na ana watoto wakubwa.
Tuwe na mipaka ya heshima na hawa watu (usiende personal), mumewe na watoto wake wana mipaka yao ya uvumilivu.
Salma Kikwete ni mama mwenye watoto ambao ni powerful na mumewe ndio kabisa.
Tujikite kwa nafasi yake kwenye jamii na tamaa zake (Lakini sio kudhalilishana). Huko jamaa wanarudi shauri zenu.
😁Na Mwanamke mwenye tamaa ni rahisi sana kuachia mbunye,yawezekana kweli aliachia kwa babu seya
Ndo hulka ya mwanmke yyte.....tamaa na ubinafsi hasa linapokuja swala la maokoto na ndomana baadhi ya imani ikawakataza kupewa madaraka ya juuIt’s beyond me.
JK aliekuwa logical akiwa raisi sio huyu wa leo.
Vitu anavyo support leo vya kijinga hakuwa ana support akiwa raisi (given the fact in his time he just dint have the right support system). Ndio msingi wa lawama nyingi aliizopata.
Vinginevyo JK made effort to be a good president given his ability and wished well for Tanzania,
Nini kimebadiloka the only logical explanation anafanya anayo fanya kama mzazi ambae akidhani labda yatamsaidia mtoto wake mwenye political ambitious,
Kuna wale watu ambao ndoto zao zinaishi kwa watu wengine (labda ndoto ya JK ni kuona Ridhiwani anakuwa waziri au raisi) aina maana hiyo ndio ndoto ya Ridhiwani pia (kwa sababu ni investor na yeye ategemei siasa).
JK just doesn’t make sense. he is erratic,
Kitu ambacho binafsi siogopi kumpa ukweli wake, mkewe Salma anatamaa.
Kikwetes are too comfortable kwa Salma Kikwete kugombea ubunge, yule mama anatamaa (kwa hilo wachukue tu kucha zangu), she is just selfish and greedy.
Huo ndio ukweli wa mkewe.
Sioni kosa hapo sema wenye mamlaka wengi wajinga na hawapendi ukweli tatizo linaanzia hapoUtafilimbwa mkuu usiongelee wake wa wakubwa namna hio, shauriyenu
La msingi remote imelenga na inawaka TvRemote iko msoga na Tv iko Magogoni
Naomba msamaha chief nafutaIt’s beyond me.
JK aliekuwa logical akiwa raisi sio huyu wa leo.
Vitu anavyo support leo vya kijinga hakuwa ana support akiwa raisi (given the fact in his time he just dint have the right support system). Ndio msingi wa lawama nyingi aliizopata.
Vinginevyo JK made effort to be a good president given his ability and wished well for Tanzania,
Nini kimebadiloka the only logical explanation anafanya anayo fanya kama mzazi ambae akidhani labda yatamsaidia mtoto wake mwenye political ambitious,
Kuna wale watu ambao ndoto zao zinaishi kwa watu wengine (labda ndoto ya JK ni kuona Ridhiwani anakuwa waziri au raisi) aina maana hiyo ndio ndoto ya Ridhiwani pia (kwa sababu ni investor na yeye ategemei siasa).
JK just doesn’t make sense. he is erratic,
Kitu ambacho binafsi siogopi kumpa ukweli wake, mkewe Salma anatamaa.
Kikwetes are too comfortable kwa Salma Kikwete kugombea ubunge, yule mama anatamaa (kwa hilo wachukue tu kucha zangu), she is just selfish and greedy.
Huo ndio ukweli wa mkewe.
Siyo tamaa. Mama Salma ana haki ya kikatiba ya kugombea nafasi yoyote ya kisiasa Tanzania kama watanzania wengine.It’s beyond me.
JK aliekuwa logical akiwa raisi sio huyu wa leo.
Vitu anavyo support leo vya kijinga hakuwa ana support akiwa raisi (given the fact in his time he just dint have the right support system). Ndio msingi wa lawama nyingi aliizopata.
Vinginevyo JK made effort to be a good president given his ability and wished well for Tanzania,
Nini kimebadiloka the only logical explanation anafanya anayo fanya kama mzazi ambae akidhani labda yatamsaidia mtoto wake mwenye political ambitious,
Kuna wale watu ambao ndoto zao zinaishi kwa watu wengine (labda ndoto ya JK ni kuona Ridhiwani anakuwa waziri au raisi) aina maana hiyo ndio ndoto ya Ridhiwani pia (kwa sababu ni investor na yeye ategemei siasa).
JK just doesn’t make sense. he is erratic,
Kitu ambacho binafsi siogopi kumpa ukweli wake, mkewe Salma anatamaa.
Kikwetes are too comfortable kwa Salma Kikwete kugombea ubunge, yule mama anatamaa (kwa hilo wachukue tu kucha zangu), she is just selfish and greedy.
Huo ndio ukweli wa mkewe.
Kaka ulikataka kale kajimbo nini mzee ?It’s beyond me.

Upinzani wa kisiasa sio upinzani wa kimaisha/uchumi. Ndio maana siasa haina adui wala rafiki wakudumu.Wewe ulishawahi kuunga juhudi za mpinzani wako?.