Ukizingua, Kikwete haku-deal na watu, ali-deal mtu

Kosa la wapinzani lilikuwa lipi? Miezi mitatu tu ya utawala wake alipiga marufuku shughuli zote za kisiasa kwa wapinzani bila sababu yoyote.
Upinzani wetu ni HOVYO, wewe inakuingia akilini namna wanabeba na kupokea watu waliowahi kiwa ngazi za juu kabisa za kichama na kiserikali na kuwakabidhisha vyama vyao?.

Unajiuliza hivi hawaoni au ni wajinga kiasi hichi?. Ona yaliyokuja kuwakuta HOVYO KABISA vyama vya namna hiyo ni bora visiwepo kabisa. Na ndicho alichofanya JPM.
 
Moja kati ya mambo ambayo mama na serikali yake wamekosea ni kuzuia watu kuabudu kwa sababu tu za kisiasa. Mungu hawezi kuwaacha watu na namna hio salama. Washauri wa mama wanamuingiza chaka
 
Upinzani wetu ni HOVYO, wewe inakuingia akilini namna wanabeba na kupokea watu waliowahi kiwa ngazi za juu kabisa za kichama na kiserikali na kuwakabidhisha vyama vyao?.
Hilo sio jibu la swali alilouliza! Kwa niaba ya Bush Dokta, narudia swali lake: Kosa la wapinzani lilikuwa lipi wakati alianza ku-deal nao mapema tu kwa kupiga marufuku shughuli za kisiasa? Au kwa kuelewa wako pamoja na wao kuzuiwa kufanya kufanya siasa, bado ulitarajia waunge mkono yale anayotaka yeye?
 
Hata kujibu na hawezi kuwa na majibu.
 
Jk alkua humble kwenye utawala wa sheria, japo ndo kipind rushwa ilzd sana.. Jpm alichukia rushwa kwa vitendo alipenda nchi yake toka moyoni kosa kubwa n kutofuata utawala wa sheria
 
Mzee Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu ange deal na mhusika ila baada ya kufatuta hasa chanzo ni nini. Bahati mbaya sana Mama inawezekana hamtumii kabisa na anajiamulia

Credits to Mudawote

Nyie kwenu ni vilaza sana. Kama Kikwete ni role model wako au wenu ninyi hamfai hata kuishi ni empty set
 
Jk alkua humble kwenye utawala wa sheria, japo ndo kipind rushwa ilzd sana.. Jpm alichukia rushwa kwa vitendo alipenda nchi yake toka moyoni kosa kubwa n kutofuata utawala wa sheria
Alifikisha kiongozi gani mahakamani kwa tuhuma za rushwa? Au rushwa ya Tanzania ilikuwa kwa Singasinga na Ruge tu?
 
Mzee Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu ange deal na mhusika ila baada ya kufatuta hasa chanzo ni nini. Bahati mbaya sana Mama inawezekana hamtumii kabisa na anajiamulia

Credits to Mudawote
Sio kweli Kikwete alipiga mabomu kwenye mikutano ya chadema badala ya kukamata viongozi
 
Back
Top Bottom