Ukizingua, Kikwete haku-deal na watu, ali-deal mtu

Ukizingua, Kikwete haku-deal na watu, ali-deal mtu

Wewe ni CHAWA, unajua sana kujipendekeza. MamaSamia2025 anafanya makosa makubwa, hukemei, unasifia tu. Ni aibu sana raisi wa nchi kusema kwamba Kuna mkuu wako wa kazi, je huyo mkuu wako wa kazi yupo kwa misingi ipi ya kikatiba/ Sheria/ kanuni za nchi
 
Laiti wapinzani wangekuwa wazalendo na kuunga mkono juhudi za Magufuli ile awamu ya kwanza. Mambo mengi sana yasingeharibika. Ni kwavile kila mtu ni mbinafsi mwishowe tunaligharimu taifa.
 
Hili jibibi limejaa mipasho, elimu ya kuungaunga, halijui kuwasilisha mawazo kwa hadhira!. Sijawahi kuona Rais mpuuzi km hili jibibi.
 
65% ya matatizo yote ya kisiasa na kiuchumi yanayoendelea nchini kwa sasa chanzo ni jakaya. Na mbaya zaidi jamaa anafikiri mtoto wake anaweza kuwa rais kiasi cha kufikia kuwa-push away akina january na wanamtandao wengine.
 
Laiti wapinzani wangekuwa wazalendo na kuunga mkono juhudi za Magufuli ile awamu ya kwanza. Mambo mengi sana yasingeharibika. Ni kwavile kila mtu ni mbinafsi mwishowe tunaligharimu taifa.
Wewe ulishawahi kuunga juhudi za mpinzani wako?.
 
Mzee Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu ange deal na mhusika ila baada ya kufatuta hasa chanzo ni nini. Bahati mbaya sana Mama inawezekana hamtumii kabisa na anajiamulia

Credits to Mudawote
Speculations
 
Umenena sahihi kabisa yule ni mama, mke wa rais mstaafu, hata angekuwa mke wa mzee yeyote mstaafu anastahili heshima yake, Watanzania tujikite kwenye hoja tuache kuattcack watu kwenye personalities , Issue ya babu seya hakuna mwenye ushahidi ni umbea wa vijiweni
Mimi ni mtumishi wa mahakama (wakili) ninao ukweli
 
Laiti wapinzani wangekuwa wazalendo na kuunga mkono juhudi za Magufuli ile awamu ya kwanza. Mambo mengi sana yasingeharibika. Ni kwavile kila mtu ni mbinafsi mwishowe tunaligharimu taifa.
Kosa la wapinzani lilikuwa lipi? Miezi mitatu tu ya utawala wake alipiga marufuku shughuli zote za kisiasa kwa wapinzani bila sababu yoyote.
 
Mzee Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu ange deal na mhusika ila baada ya kufatuta hasa chanzo ni nini. Bahati mbaya sana Mama inawezekana hamtumii kabisa na anajiamulia

Credits to Mudawote
Unamtetea bure kaja kivingine sio yule wa zamani au ujasikia Binti Shoka kasema ana boss.
 
Aibu sana raisi wa nchi yetu kusema kwamba una mkuu wako wa kazi
Jamaa ndio anaongoza, na kaja kivingine haya matendo hata yeye ukishawahi kusikia anakemea sehemu yoyote au hana uwezo wa kufanya hivyo?
 
Pascal mimi nahisi ilimbidi awe vile kwa sababu JK alishatuzoesha kuwa wabishi wa kila kitu na yeye alikuwa anachukulia poa tu, Magu alipotaka kufanya reforms alikutana na upinzani ndani ya serikali, chama, nje ya serikali chama wapinzani pia walikuwa na nguvu sana na kila aina ya vikwazo kwa hiyo ikabidi awe dikteta kwa muda, angekaa miaka saba nane angekuja kulegeza kamba
Bahati mbaya kabisa hakuna ufisadi aliokomesha, hatukuona mla rushwa hata mmoja aliyepelekwa mahakamani, mikataba mibovu ya rasilimali zilibaki vile vile, sheria na utawala bora ndio muda ulizorota zaidi. Kiukweli tulipata hasara kwa anafasi ya JPM alionekana mzalendo lakini hakutaka hata mabadiriko ya Katiba na Mifumo ya Utawala. Wengi tulikuwa tuki doubt sana Uzalendo wa Hayati JPM maana misingi ya Uzalendo hakuwa anaifata.

Unadhani bila JPM kuna mtu mwingine anaweza kufanya maamuzi thabiti ya Mabadiriko ya Katiba Bora? Mimi sidhani
 
Huko sipo

Nipo tayari kumnanga JK kisiasa na kumnanga mkewe kisiasa

Lakini sina audacity wala fikra ya kumdhalilisha mkewe.

Mimi sijui hizi tabia tunatoa wapi, Salma Kiketwe ni mke wa raisi mstaafu na ana watoto wakubwa.

Tuwe na mipaka ya heshima na hawa watu (usiende personal), mumewe na watoto wake wana mipaka yao ya uvumilivu.

Salma Kikwete ni mama mwenye watoto ambao ni powerful na mumewe ndio kabisa.

Tujikite kwa nafasi yake kwenye jamii na tamaa zake (Lakini sio kudhalilishana). Huko jamaa wanarudi shauri zenu.
Kwenye watoto umeanguka mkuu, au nimtoto gani unayemzungumzia
 
Back
Top Bottom