Mbona juzi kasema ndio boss wake?Dkt Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu ange deal na mhusika ila baada ya kufatuta hasa chanzo ni nini? Bahati mbaya sana Mama inawezekana hamtumii kabisa na anajiamulia
Credits to Mudawote
Desa hilo huna haja ya kalikuleta weee piga mstari ndiyo jibu.Kwa hiyo kikwete ndio shingo, inaamua kichwa kiangalie wapi?
Namkubali sana JK Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"Dkt Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu ange deal na mhusika ila baada ya kufatuta hasa chanzo ni nini? Bahati mbaya sana Mama inawezekana hamtumii kabisa na anajiamulia
Credits to Mudawote
Mimi namkubali sana Magufuli alikuwa sio mnafki na alikuwa amepania kuifanya Tanzania na watanzania wa mafanoNamkubali sana JK Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"
P
Huko sipoNa Mwanamke mwenye tamaa ni rahisi sana kuachia mbunye,yawezekana kweli aliachia kwa babu seya
JPM was the best,tatizo lake ni ile udikiteta wake wa kupitiliza Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! ukiondoa huo udikiteta,Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!Mimi namkubali sana Magufuli alikuwa sio mnafki na alikuwa amepania kuifanya Tanzania na watanzania wa mafano
Umenena sahihi kabisa yule ni mama, mke wa rais mstaafu, hata angekuwa mke wa mzee yeyote mstaafu anastahili heshima yake, Watanzania tujikite kwenye hoja tuache kuattcack watu kwenye personalities , Issue ya babu seya hakuna mwenye ushahidi ni umbea wa vijiweniHuko sipo
Nipo tayari kumnanga JK kisiasa na kumnanga mkewe kisiasa
Lakini sina audacity wala fikra ya kumdhalilisha mkewe.
Mimi sijui hizi tabia tunatoa wapi, Salma Kiketwe ni mke wa raisi mstaafu na ana watoto wakubwa.
Tuwe na mipaka ya heshima na hawa watu (usiende personal), mumewe na watoto wake wana mipaka yao ya uvumilivu.
Salma Kikwete ni mama mwenye watoto ambao ni powerful na mumewe ndio kabisa.
Tujikite kwa nafasi yake kwenye jamii na tamaa zake (Lakini sio kudhalilishana). Huko jamaa wanarudi shauri zenu.
Pascal mimi nahisi ilimbidi awe vile kwa sababu JK alishatuzoesha kuwa wabishi wa kila kitu na yeye alikuwa anachukulia poa tu, Magu alipotaka kufanya reforms alikutana na upinzani ndani ya serikali, chama, nje ya serikali chama wapinzani pia walikuwa na nguvu sana na kila aina ya vikwazo kwa hiyo ikabidi awe dikteta kwa muda, angekaa miaka saba nane angekuja kulegeza kambaJPM was the best,tatizo lake ni ile udikiteta wake wa kupitiliza Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
P
Boss aliyemuweka madarakaniMbona juzi kasema ndio boss wake?
Watanzania tunajiamini sana.Umenena sahihi kabisa yule ni mama, mke wa rais mstaafu, hata angekuwa mke wa mzee yeyote mstaafu anastahili heshima yake, Watanzania tujikite kwenye hoja tuache kuattcack watu kwenye personalities , Issue ya babu seya hakuna mwenye ushahidi ni umbea wa vijiweni
Na ni utamaduni mbaya sana tukiufumbia macho, hatupambani kwa hoja tunatafutiana mizengwe na uchuro wa maneno, Wakifinywa wanaanza kulalamika ahaaa ahaaaaWatanzania tunajiamini sana.
Yaani mtu anaanza na assumption ya jamaa poa,
That’s beyond me
Hivi unamjuwa Kikwete kweli au unaropoka tu? Kikwete ni zaidi ya umjuavyo, alikuwa anacheka na watu kisha anatumia makomandoo kuteka na kutesa watu, unakumbuka watu waliokuwa wanatekwa na kung'olewa kucha bila ganzi, kuvunjwa mapumbu na kufilwa kabla ya kuuwawa? Unafikiri ilikuwa kazi ya nani? Wananchi walikuwa wanateswa huku Kikwete aki-joke tu na watu na akicheka akijifanya hajuwi kitu. Kikwete ni mwanajeshi, ni komandoo yule kuua na kutesa kwake si ishu, anakuua huku anakucheka akijifanya si yeye muhusika.Dkt Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu ange deal na mhusika ila baada ya kufatuta hasa chanzo ni nini? Bahati mbaya sana Mama inawezekana hamtumii kabisa na anajiamulia
Credits to Mudawote