Ukizingua, Kikwete haku-deal na watu, ali-deal mtu

Kitu ambacho binafsi siogopi kumpa ukweli wake, mkewe Salma anatamaa.

Kikwetes are too comfortable kwa Salma Kikwete kugombea ubunge, yule mama anatamaa (kwa hilo wachukue tu kucha zangu), she is just selfish and greedy.

Huo ndio ukweli wa mkewe.
Umempasua Salma wewe utanyea debe shauriyako

Cc: Sweet16
 
🤣🤣🤣 So Una jaribu kutambia kwamba huwenda ameshawahi kumshauri mkewe aachane na ubunge lakini hashauriki!? It means Mzee kawekwa kwapani ama niaje hapo !??
 
Na waumini wa gwajima wakihamia kanisa lolote ipite greda
 
We we wewe anakula mshahara wa mwenza wa rais, ubunge na marupurupu ya investment ya Australia hajatosheka Sasa anataka zile per day za bunge.
By the way upi mchango wake wowote wa maana bungeni toka Jiwe 'amteue?
 
Umempasua Salma wewe utanyea debe shauriyako

Cc: Sweet16
Inabidi uweke mipaka ya kukubali kunyofolewa kucha. na wapi uvuki kwa watu hao-hao.

Kwenye siasa mama anatamaa na hizo kucha wachukue.

Huko kwengine kwenye private life na kudhalilishana kama mzazi sipo na hata mimi hayo mambo yananikera. Siafiki hizi tabia kwa mke wa mtu yeyote, sio sahihi kutumia mitandao kudhalilisha watu.
 
Utashenyentwa mkuu jiepushe kuongelea wake za watu namna hio shauriyako

Sweet16
 
Utashenyentwa mkuu jiepushe kuongelea wake za watu namna hio shauriyako

Sweet16
Ni hivi wewe kama unajua mchangiaji wa chit-chat don’t quote me.

kwa mfano wewe, after this post of mine unaenda ignore list.

If only you people ninavyochukia watu wajinga.
 
Ni hivi wewe kama unajua mchangiaji wa chit-chat don’t quote me.

kwa mfano wewe, after this post of mine unaenda ignore list.

If only you people ninavyochukia watu wajinga.
Mkuu kwani shida nini hapo kukuambia ukweli?

Sweet16
 
Ila yote sawa ila Salma kuwa mbunge inaonyesha waafrika hatujui tunataka nini
 
Hapa umesema Magufuli ni dikiteta halafu unasema alikuwa na upendo na huruma.Dictator anawezaje kuwa na huruma?Usiume na kupulliza he was a dictator fullstop
 
Asante sana Nazjaz kwa uzi. Dkt Kikwete pia alisingiziwa mambo mengi mabaya na kundi la watu wasiowema, ila alijitahidi sana kutokutengeneza matukio ya kuaibishana, alitumia njia ambayo siyo ya kuonea bali ni ya haki. Dkt Kikwete alitufanya watanzania wa kawaida tujione wenye furaha. Alitengeneza mifumo ya kulinda haki na utu wa Mtanzania.
 
Hakika
 
Mimi namkubali sana Magufuli alikuwa sio mnafki na alikuwa amepania kuifanya Tanzania na watanzania wa mafano
Ni Marais wawili tu wameacha "Legathy" kwa Watanzania, Nyerere, kuunganisha makabila, na Magufuli, kuwajengea Watanzania hali ya kujiamini kiuchumi
 
Zaidi ya Doctor Ulimboka nitajie mwingine aliyekumbwa na madhila hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…