Ukizingua, Kikwete haku-deal na watu, ali-deal mtu

Correct
 
Katika jambo nitakalo mlaumu Magufuli maisha yangu yote ni KUTOWANYONGA WAHUNI wakati wa utawala wake.
 
Laiti wapinzani wangekuwa wazalendo na kuunga mkono juhudi za Magufuli ile awamu ya kwanza. Mambo mengi sana yasingeharibika. Ni kwavile kila mtu ni mbinafsi mwishowe tunaligharimu taifa.
Umesema kweli ingawa hapa JF utapingwa maana wa macho lakini hawaoni. Wana masikio lakini hawasikii. Ubinafsi
 
Hujui unamaanisha nini. Unapo deal na mtu, una deal na watu.
 
Unataka kusema Gwajima karopoka?
 
Umesema kweli ingawa hapa JF utapingwa maana wa macho lakini hawaoni. Wana masikio lakini hawasikii. Ubinafsi
Tukisema Taifa, naona inapunguza maumivu yetu na hivyo watu kukosa kuwajibika. Tuoumia ni sisi na vizazi vyetu.
 
Ndugu yangu jamvini kuna watoto wengi sana humu. Sio ajabu mtu kuiruka mada kihoja na kuhamia kuattack mtu
 
Ndo hulka ya mwanmke yyte.....tamaa na ubinafsi hasa linapokuja swala la maokoto na ndomana baadhi ya imani ikawakataza kupewa madaraka ya juu
 
Naomba msamaha chief nafuta
 
Siyo tamaa. Mama Salma ana haki ya kikatiba ya kugombea nafasi yoyote ya kisiasa Tanzania kama watanzania wengine.
 
Kaka ulikataka kale kajimbo nini mzee ?
 
Wewe ulishawahi kuunga juhudi za mpinzani wako?.
Upinzani wa kisiasa sio upinzani wa kimaisha/uchumi. Ndio maana siasa haina adui wala rafiki wakudumu.

Leo hii kwa Katiba yetu Waziri Mkuu anaweza akatoka chama cha upinzani, na Waziri Mkuu ndio kiongozi wa shughuli za serikali Bungeni. Unadhani hataunga mkono Serikali ya chama kinachotawala?

Wanasiasa wa upinzani Tanzania hii ni wabinafsi sana, au pengine tuseme hawajui dhima na malengo ya uwepo wao. HOVYO SANA!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…