Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Hapa kuna code kidogo za kufungua maana maandiko yantaka utumie akili sana....Kwamba miaka 5 inapungua sio utani kama mnavyofikiria.

Uzinzi unakufanya uwe katika madhara makubwa sana haswa ya kukatiaha kimaisha hususani matokeo yake ,unaweza kufumaniwa leo ukawauliwa au ukapata magonjwa halafu ukafa ..
 
Back
Top Bottom