Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #21
Kasome Biblia kitabu cha zaburiHuyo Mungu ni wewe
Huko usiende kabisaMim sizini, ndio nilikuwa nataka nianze kujifunza. Shida umenitisha π
HahahaHivi mdogo wangu,unakufa leo mchana au kesho? Mwachiluwi
Umepunguza mingapi hadi sasa?Doh
Sio uongeze Kwa kukaa na Mungu Kwa utulivu??
Ukimaliza kufumaniwa, Mungu nae anakuja kuondoa Miaka 5 ya kwakeHapa kuna code kidogo za kufungua maana maandiko yantaka utumie akili sana....Kwamba miaka 5 inapungua sio utani kama mnavyofikiria...
Mimi naona naongezeka, Niko miguuni Kwa Yesu naomba toba na Rehema kama Daudi Kwa.machoziUmepunguza mingapi hadi sasa?
Na ndio pumba zimekuleta hapaKwa kuandika pumba tu huna mpinzani!
Kinasemaje ?Kasome Biblia kitabu cha zaburi
AmeeenMimi naona naongezeka, Niko miguuni Kwa Yesu naomba toba na Rehema kama Daudi Kwa.machozi
Nimeona wajukuu 10 mpaka sasa
Kama nilivyoandika uziKinasemaje ?
AminaaaAmeeen
Ubarikiwe mtu wa Mungu.
Ameeeni, aaaameni! ... ila sasa tuwe na hela nyingi pia mambo flani yasikosekane πHuko usiende kabisa
Acha tuishi mpaka unyakuo WA kanisa
Kesho broo baada ya kumaliza kazi ππHivi mdogo wangu,unakufa leo mchana au kesho? Mwachiluwi
Kuna watu hawana hata 100 na bado hawaziniπΆπΆπ±Ameeeni, aaaameni! ... ila sasa tuwe na hela nyingi pia mambo flani yasikosekane π
Kifungu gani kinasema mbona kutishana hivyo wakuu π€
Ngoja nikutafutieKifungu gani kinasema mbona kutishana hivyo wakuu π€