Uko tayari kufanyiwa kipimo cha afya kupitia njia yako ya haja kubwa (anal canal)?

Yeyote anayesema hawezi kufanyiwa colonoscopy sababu hajaumwa ila ukiumwa vizuri haikwepeki. Na gharama zake sio ndogo.
Kwenye maradhi hakuna uanaume ni jambo la wakati.
Usichonge sana ngenga ukajiona mgumu sababu hujafika wakati wako wa kuumwa.
Muombe Mungu akuepushe yasikukute.
 
Duh!
Mrembo nawe kwa kuleta mada za kufikirisha kweli haujambo! Kiukweli sitaki tube, kidole au kitu chochote kiingie kwenye my an.s!
Ila AGAIN uko right! Hicho ndicho kipimo SAHIHI!
🤣😂😅😆
 
Akinamama huwa wanafurahi sie waume zao tukinyanyaswa ndo maana mleta mada anashadidia kWa vile sisi huwa tunawaingiza huko madushe.
Na wewe huwa unaingiza dudu lako huko kwenye njia ya mauviiirrr 😳 😳 ?
 
Umesema vyema, mwenye kusikia na asikie.
 
Na wewe huwa unaingiza dudu lako huko kwenye njia ya mauviiirrr 😳 😳 ?
View attachment 3554802
Mimi hapana ila wenzangu wakifanya ni sawa tumefanya wote.

Huwezi kujua mwanaume na mwanamke wanafanya nini wakiwa katika chumba chenye kuta nne. Na wakati mwingine, ni mwanamke aliye dereva wa kuonesha njia ni wapi dushe lipite. Kwa mwanaume huwezi jua kama ni D2 au D1.
 
Mimi hapana ila wenzangu wakifanya ni sawa tumefanya wote.
Kwahiyo kupitia wanaume wenzako wanaofanyiwa hivi vipimo ni sawa na mmefanyiwa wote? au utaleta double standard.
Huwezi kujua mwanaume na mwanamke wanafanya nini wakiwa katika chumba chenye kuta nne. Na wakati mwingine, ni mwanamke aliye dereva wa kuonesha njia ni wapi dushe lipite. Kwa mwanaume huwezi jua kama ni D2 au D1.
Nilisoma mahali kwamba kuna wanaume wengine wanaenjoy kuwekewa kidole huko na wake zao wakati wanawadinya - Ni kweli huwezi jua yanayoendelea kwenye kwenye faragha za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…