Uko tayari kufanyiwa kipimo cha afya kupitia njia yako ya haja kubwa (anal canal)?

Kwahiyo kupitia wanaume wenzako wanaofanyiwa hivi vipimo ni sawa na mmefanyiwa wote? au utaleta double standard.
Ndiyo maana yake
Nilisoma mahali kwamba kuna wanaume wengine wanaenjoy kuwekewa kidole huko na wake zao wakati wanawadinya - Ni kweli huwezi jua yanayoendelea kwenye kwenye faragha za watu.
Hayo tuyaache ingawa jambo hilo nililisikia kutoka kwa binti mmoja mwana JF akisimulia jinsi alivyokuwa anamfinga jamaa ili akojoe. Na huyo jamaa alikuwa mpinzani na sasa namuona anapiga jaramba huko CCM.

Mwanaume kuingizwa kidole awe daktari au nani, ni kudhalilisha ukoo mzima. Hadhi ya mwanaume ni kutoingizwa kitu maana sie tumeumbwa kuingiza na nyie mmeumbwa kuingizwa na kupokea. Sioni shida mwanaume kwa makubaliano na mpenzi wake kumfaidi D2 (na siamini kuna mwanaume mtu mzima hajawahi kuonja D2 ya mwanamke - Siri za Vyumbani), hayo ni mambo ya wawili. Nina uhakika hata wewe mtu akikupima huna marinda, ila haiondoi hadhi yako maana umeumbwa kuingizwa. Ila Dume, ni mkosi kwa ukoo mzima
 
Hayo tuyaache ingawa jambo hilo nililisikia kutoka kwa binti mmoja mwana JF akisimulia jinsi alivyokuwa anamfinga jamaa ili akojoe. Na huyo jamaa alikuwa mpinzani na sasa namuona anapiga jaramba huko CCM.
Na inawezekana hicho kidole huwa anakililia achomekewe, ila akija humu anajitutumua na fake ID aonekane mwanaume sana.
Mwanaume kuingizwa kidole awe daktari au nani, ni kudhalilisha ukoo mzima. Hadhi ya mwanaume ni kutoingizwa kitu maana sie tumeumbwa kuingiza na nyie mmeumbwa kuingizwa na kupokea.
Nenda kawaambie LGBTQIA+ 🌈 maana watapingana na wewe
Sioni shida mwanaume kwa makubaliano na mpenzi wake kumfaidi D2 (na siamini kuna mwanaume mtu mzima hajawahi kuonja D2 ya mwanamke - Siri za Vyumbani), hayo ni mambo ya wawili.
Naamini wapo wanaume hawajawahi kuonja Tigo, min -me huyu anasema wote ni lazima mpite huko, ni kweli?
Nina uhakika hata wewe mtu akikupima huna marinda, ila haiondoi hadhi yako maana umeumbwa kuingizwa.
Si kweli na sijawahi hata kuombwa hayo mambo maisha yangu yote, mtu yoyote anayenifahamu huko duniani anajua misimamo yangu, hawezi kuthubutu.
Ila Dume, ni mkosi kwa ukoo mzima
 
Mashoga huwa wanafikiri kila mtu ni shoga mwenzao
 
Kipi kichina hapo? Unamuogopa naniπŸ˜ƒ
Simuogopi mtu ila naona kama ni vibaya unajua mama atanichapa mwenzako...

Alinikataza kutumia picha ya dyudyu jway wadada maana huwa wanachanganyikiwa mate yanawatoka sana...

Kiasi ambacho huwa wanashindwa kuzuia hisia zao kwangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Binti wa zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…