Uko tayari kufanyiwa kipimo cha afya kupitia njia yako ya haja kubwa (anal canal)?

Prostate: tumia ultra scan
 
Inaweza kusababishwa na nini yaani kiongozi nielekeze vizuri
Mambo mengi sana kuanzia sigara, poor diet( processed foods), uzito (obesity),pombe nyingi kupitiliza etc lakini unaweza ukaishi perfect life and very healthy lakini ukapata kansa kutokana na cell za mwili kushindwa kukua zinavyotakiwa,solution ni vipimo kama hivyo na kuomba mungu wako
 
Kansa zote bongo kwa wanaume, zaidi ya silimia 30 ni prostate.
Zingatieni sana hizo diets na mitindo ya maisha aiseeh.

Na Mungu awasaidie kwa kweli.
Hiki kikombe kiniepuke nakuomba kwa unyeyekevu Baba Mungu๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™‡๐Ÿฟโ€โ™‚
 
Ndiyo, manake hata kama watapitisha nikiwa usingizini tayari utu na uanaume wangu watakuwa wamenivua. kitu ambacho huwa sitaki.
 
Me naomba kuuliza tu kama kuna ugonjwa unaitwaje na nini kinasababisha uupate

Ili nipambane kuuepuka mapema
Yako mengi, ila nyie vijana wadogo mnapata sana colorectal cancer kwa sababu ya kula processed food, kutokula fiber, kuzidisha sukari, vilevi na mitindo mibaya ya maisha.

Zidisha mboga mboga (leafy greens) na high fiber food, ila kwa taarifa sahihi, onana na daktari wako akushauri.
 
Kansa zote bongo kwa wanaume, zaidi ya asilimia 30 ni prostate.
Zingatieni sana hizo diets na mitindo ya maisha aiseeh.

Na Mungu awasaidie kwa kweli.
Ni kweli na prostate cancer ukiiwahi kwa kipimo kabla ya stage 3 inatibika ๐Ÿ’ฏ,uzuri unapima mara moja kwa miaka 5, ni vizuri kupima ukifika 40 lakini sasa kuna pandemic kansa ya tumbo watu chini ya 40 years old
 
Akaambiwa atapewa dawa ya usingizi, hatojisikia chochote, hapo ndiyo akawa mkali zaidi, akagoma.
Mdogo wako alijua kama anataka kuliwa takโ€ฆo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.

Hivi ile njia ya kuingiza camera wao hawana๐Ÿค” dawa halisi kwa binaadamu ni matunda na majani ya miti tu. Haya madawa ya hospital ni ya kupunguza maumivu sio kuondoa tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ