Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,858
- 3,393
Kama tujuavyo last weekend Ukraine ilifanya mashambulizi ya kimkakati katika AirBases za Russia na kufanikiwa kuharibu baadhi Ndege vita (Bombers) zake.
Kwanzia jana Usiku Russia imelipiza kisasi hicho kwa kisago cha mwana ukome ambacho Ukraine ilikua haijawai kupata kamwe, Hili ni fundisho kwa watoto wasiojielewa ya kwamba walishika ndevu za mzee.
Halafu kuwa makini na hizi Western medias propaganda, wandai russia ina strike residential building kwa warhead zenye payload ya nusu 5 halafu mwisho unaskia walokufa ni wa 4 hapo jua ni uongo hakuna residential buildings zilizokua targeted bali Ammunition deport wanaziweka karibu na makazi ya watu pamoja na communication hubs.
Una ambiwa kila kona saivi haikaliki ni mioto tu.
Sources: Trust Me Bro😁😁😁
1-
View: https://youtu.be/EEnIehx7VDM
2-
View: https://youtu.be/wCw15rSK2bo