Ukraine inapokea kipondo cha karne muda huu, Tangia jana usiku, wanajuta kilicho watuma kuishambulia Russia

Ukraine inapokea kipondo cha karne muda huu, Tangia jana usiku, wanajuta kilicho watuma kuishambulia Russia

Ukraine kuanza kupigana na Russia kwa njia za "kigaidi" bila kuwa na mbinu za kurudisha maeneo yake na yakizidi kumegwa inaonesha frontline wamenawa mikono,wameona waanze kuhujumu tu ndani ya Russia ambapo haiwaipi advantage yoyote.
 
Vita vya Afghanistan huwez kufananisha na vita vya Ukraine/Russia,

Afghanistan Taliban na raia wa kawaida huwez kuwatofautisha hawakuwa na kambi Wala uniforms za kijeshi ndio maana vilichukua muda mrefu Haina tofauti na Gaza, sasa ukirudi huku Ukraine kambi za jeshi zipo, wanajeshi wanajulikana inafika muda mpaka wanateka maeneo ndani ya Urusi na Bado vita vinaenda mwaka wa 4 supapawa wa mchongo Yuko taaban
Hujazungumzia kampani anayoipata Ukraine na mataifa ya Ulaya na America. hapo ndio tunapokuona juha...
 
Kama tujuavyo last weekend Ukraine ilifanya mashambulizi ya kimkakati katika AirBases za Russia na kufanikiwa kuharibu baadhi Ndege vita (Bombers) zake.

Kwanzia jana Usiku Russia imelipiza kisasi hicho kwa kisago cha mwana ukome ambacho Ukraine ilikua haijawai kupata kamwe, Hili ni fundisho kwa watoto wasiojielewa ya kwamba walishika ndevu za mzee.

Halafu kuwa makini na hizi Western medias propaganda, wandai russia ina strike residential building kwa warhead zenye payload ya nusu 5 halafu mwisho unaskia walokufa ni wa 4 hapo jua ni uongo hakuna residential buildings zilizokua targeted bali Ammunition deport wanaziweka karibu na makazi ya watu pamoja na communication hubs.

Una ambiwa kila kona saivi haikaliki ni mioto tu.
Sources: Trust Me Bro😁😁😁
1-
View: https://youtu.be/EEnIehx7VDM
2-
View: https://youtu.be/wCw15rSK2bo%5B/URu

View:
Ukimaliza%20hiyo%20taarifa%20uimbe%20wimbo%20wa%20kasongo%20yeye%20mubali%20nangai
 
Ushahidi wa nini we huoni ukraine bado inaendesha vita tena kibabe mwaka wa nne huu urusi ni kubwa jinga pamoja na kusaidiwa na china Korea Irani sikutarajia kama atahangaishwa kiasi hicho Cha kudharirika yaani imefikia hatua Ukraine anajipigia anavyotaka hapo hapo urusi aisee supapawa wa mchongo anahaha miaka minne hoi na hii vita ilipofikia ampigie goti Ukraine la sivyo hatoishinda sababu Hana ubavu tena kalegea supa pawa wa mchongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuendesha vita si hata hamas bado anaendesha vita, hii we jamaa mbona mjinga hivi.....
Ushahidi huna ko nibishane na maneno matupu plus kichwa Empty. Pole aina hiyo ya ubishi mwisho vijiwe vya boda, ukipata facts rudi niko hapa.
 
Kenge wewe hamas ulishasikia lini wamepiga Israel tofauti na octoba 7 lakini Ukraine Kila siku inatembeza kichapo Kwa Hilo kubwa jinga urusi humo humo ndani kwake
 
Unajua sana kujidanganya

Nimekwambia wewe ni taila umekataa, nimeamua kuku quote ili atakaye pita ajue hapa kuna taila, mwanzo umesema Ukraine anaendesha vita mwaka wa nne huu, umebadili tena baada ya kugundua kuendesha vita sio kushinda, sasa ya Kurusha kombola Israel yanahusianaje na wakati Hamas wapo vitani same as Ukraine, Huoni kwamba una anika ujinga uliopo kichwani mwako (Actually UTAILA).
 
We bwege maelezo mengi Ukraine hii vita lazima ashinde hapa hatulipwi naona unajielezeaa Sanaa urusi ni kubwa jinga endelea kutetea kubwa jinga linaloangaishwa na ki nchi kidogo miak 4 na mwisho wa siku Ukraine atalitawala sababu kama Hilo kubwa jinga limefikia hatua ya kukodi wanajeshi Korea basi hapo hamna kitu maana kichwa kikubwa bila akili ni mzigo Kwa shingo
 
We bwege maelezo mengi Ukraine hii vita lazima ashinde hapa hatulipwi naona unajielezeaa Sanaa urusi ni kubwa jinga endelea kutetea kubwa jinga linaloangaishwa na ki nchi kidogo miak 4 na mwisho wa siku Ukraine atalitawala maana kichwa kikubwa bila akili ni mzigo Kwa shingo
Huna hoja kijana, kunywa maji ulale, ukipata huja njoo hapa nipo.
 
We bwege maelezo mengi Ukraine hii vita lazima ashinde hapa hatulipwi naona unajielezeaa Sanaa urusi ni kubwa jinga endelea kutetea kubwa jinga linaloangaishwa na ki nchi kidogo miak 4 na mwisho wa siku Ukraine atalitawala sababu kama Hilo kubwa jinga limefikia hatua ya kukodi wanajeshi Korea basi hapo hamna kitu maana kichwa kikubwa bila akili ni mzigo Kwa shingo
Russia amebeba mikoa MINNE ya Ukraine na sasa anakaribia kubeba Mkoa wa Tano na sita wa Ukraine.
Ukraine kaishiwa askari kiasi anakamata vijana mtaani ili wawe askari vitani kilazima.
Na kama Ukraine hatosimamisha vita inakadiriwa Russia atababe 40% ya nchi ya Ukraine.
Wewe unasema kuwa Ukraine atashinda vita!!
 
Hahahaha eti Ukraine kaishiwa askari hii kwahiyo urusi kubwa jinga anachezea kichapo kutoka Kwa raia wa Ukraine maana kubwa jinga urusi aliomba askari Korea ambao walijuta kuja kwenye hii vita hivi unafikiri Karne hii utamdanganya nani mzee, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti Ukraine kaishiwa askari ajabu kubwa jinga urusi ndio anaagiza askari kutoka korea
 
😂😂😂😂😂Haka kajamaa kanachekesha sana.
Ukisoma maelezo yake unajua kabisa hapa hakuna anachojua.
Urusi ni kubwa jinga linalosaidiwa na china Korea iran ambapo wanaichangia Ukraine ila mwaka wa. Nne huu hamna kitu ka nchi kama Ukraine kanatembeza kichapo tu hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Zelensky sijui kwanini hajiongezi; France president aliulizwa swali na Trump, "you guys, can you fight with Russia without American support"? Jibu lilikua rahisi tu, "NO" Sasa Ukraine eti ukaishambulie Moscow? Si ni yale yale ya Hamas kushambulia Israel 🇮🇱, pumbafu. Mambo mengine yapo so clear, you don't need university degree to understand them
Ndio shida ya kuchagua Rais comedian.
 
USA/CIA wameisha waambia, Russia katumia only 15% of his military capacity, hawaelewi. Shauri yao. Wakubaliane na matakwa yake, vita iishe; vikwazo vimekwama kwa Putin, he was ahead of time, ahead of them; he made his calculations very well, he knew that they could come with that approach, he had some controls before he launched the war; kiko wapi?

mbona 15% kubwa sana mkuu,yaan 15% ametumia kwa kupata 20% ya nchi ya ukraine je akitaka kuichukua yote si atatumia 50% ya silaha,je atatoboa kweli kuteka nchi zote za NATO
 
Ndio shida ya kuchagua Rais comedian.
Tatizo la Zelensky sio u comedian wake, ukifatilia vizuri historia ya marais waliopita hadi huyu ni kama hivi; kuna raia wapo Ukraine huwambii kitu kuhusu Urusi, yaani ni Warusi waishio Ukraine, damu yao ni Russian pure then kuna raia ambao no pro West, the former president alikua ni pro Russia, mataifa ya magharibi yanajua yalichomfanya yule bwana hata akaondoka madarakani kabla ya muda wake; Zelensky ni kibaraka wao na ni wao ndio wamemsaidia kua rais pale, namna alivyokua akiendesha serikali yake na mipango ya baadae ya Ukraine yalianza kua tishio kwa Russia na hapo ndio chanzo cha hi vita; hasa baada ya NATO kutaka kuifanya Ukraine iwe mwana chama and hence, NATO could put some missiles na kua tishio kwa Russia, Putin akaona UTOTO hu, bora kulianzisha
 
Back
Top Bottom