joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Achukue ushauri wa Trump, tatizo lake anawasikiliza viongozi wa ulaya na Urusi kama kawa mguse kwa bahati mbaya akulipue kwa makusudi.
Mbona USA kakimbia Kwa muyemen TU hapo anatumia fimbo?Alafu wapumbavu wanaona anaweza kupigana na USA
Unajua sana kujidanganyaMbona USA kakimbia Kwa muyemen TU hapo anatumia fimbo?
USA/CIA wameisha waambia, Russia katumia only 15% of his military capacity, hawaelewi. Shauri yao. Wakubaliane na matakwa yake, vita iishe; vikwazo vimekwama kwa Putin, he was ahead of time, ahead of them; he made his calculations very well, he knew that they could come with that approach, he had some controls before he launched the war; kiko wapi?Shida wanadanganywa na Waingereza kati wao wenyewe mziki wa Russia wanaujua, saivi nchi nzima ni vilio tu, ka zelensky kaliita Press kuomba international Pressure kwa Russia😃😃😃
Ni mikoa mingapi Russia ameshaiteka toka kwa Ukraine?Supapawa wa mchongo anapigana vita na kanchi kadogo mwaka unaenda wa 3 sasa mbaya zaidi anapigwa mpaka chumbani kwake hii ni aibu
Wewe ndio huna ulijualo.Huna ulijualo.
USA amekimbia yemeni hapoAlafu wapumbavu wanaona anaweza kupigana na USA
Leta ushahidi wa Ukraine kabla na baada ya Uvamizi.Wapi wewe huyo supa pawa wa mchongo miaka minne anahangaika na ka nchi kama Ukraine Kila siku anachezea kisago hapo hapo kwake hamna kitu huyo watu washagundua urusi joka la kibisa kelele kibao hamna kitu
Acha kujichanganya marekani adui yake mkubwa kwa sasa katika kugombea "usupa pawa" ni China, militarily China kila siku anatengeneza military hardware mpya mpya hasa upande wa Navy.Marekani wamepiga nne wanagonga glass za mvinyo maana lengo lao lilikuwa kuishughulisha urusi kivita Ili yeye aendelee kuwa super pawer
Ushahidi wa nini we huoni ukraine bado inaendesha vita tena kibabe mwaka wa nne huu urusi ni kubwa jinga pamoja na kusaidiwa na china Korea Irani sikutarajia kama atahangaishwa kiasi hicho Cha kudharirika yaani imefikia hatua Ukraine anajipigia anavyotaka hapo hapo urusi aisee supapawa wa mchongo anahaha miaka minne hoi na hii vita ilipofikia ampigie goti Ukraine la sivyo hatoishinda sababu Hana ubavu tena kalegea supa pawa wa mchongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Leta ushahidi wa Ukraine kabla na baada ya Uvamizi.
China ana usupapawa wa mdomoni kama urusi na huo ndio usupapawa wa mchongooooo🤣🤣🤣🤣Acha kujichanganya marekani adui yake mkubwa kwa sasa katika kugombea "usupa pawa" ni China, militarily China kila siku anatengeneza military hardware mpya mpya hasa upande wa Navy.
Ukibali kabisa kuwa kulikua na vita ya marekani na Yemeni?USA amekimbia yemeni hapo
Kanchi kadogooo, hadi unabana pus, kwa hiyo hujui nani anapigana ukraineSupapawa wa mchongo anapigana vita na kanchi kadogo mwaka unaenda wa 3 sasa mbaya zaidi anapigwa mpaka chumbani kwake hii ni aibu
Hasira za nini hao ni supa pawa wa mchongo pamoja na kusaidiwa na china Korea iran ila wameshindwa kukapiga ka nchi kama Ukraine miaka 4 unaelekea wa tanoKanchi kadogooo, hadi unabana pus, kwa hiyo hujui nani anapigana ukraine