Tatizo la Zelensky sio u comedian wake, ukifatilia vizuri historia ya marais waliopita hadi huyu ni kama hivi; kuna raia wapo Ukraine huwambii kitu kuhusu Urusi, yaani ni Warusi waishio Ukraine, damu yao ni Russian pure then kuna raia ambao no pro West, the former president alikua ni pro Russia, mataifa ya magharibi yanajua yalichomfanya yule bwana hata akaondoka madarakani kabla ya muda wake; Zelensky ni kibaraka wao na ni wao ndio wamemsaidia kua rais pale, namna alivyokua akiendesha serikali yake na mipango ya baadae ya Ukraine yalianza kua tishio kwa Russia na hapo ndio chanzo cha hi vita; hasa baada ya NATO kutaka kuifanya Ukraine iwe mwana chama and hence, NATO could put some missiles na kua tishio kwa Russia, Putin akaona UTOTO hu, bora kulianzisha