Kwa hakika haijali gharama ila udhwalimu kushindwa ni jambo la kujivunia kwa kila mpenda haki:
Nani alitegemea kutembea kwa miguu mitaani leo Kyiv na Mrusi akiwa 20km tokea mjini kati majuzi juzi tu?
Kwani kwetu si barabara na mitaa hufungwa? Chopper juu Kwamba tukujiridhisha?
Kama warusi walikuja na manywele vichwani kwa hakika watakuwa wameondoka na vipara.
Chonde chonde haki kwa wote ndiyo ulio msingi wa maisha.
Yuko wapi Putin na udhwalimu wake?
Udhwalimu uwao wote utashindwa!