Ukraine kufikia hapa, Pigo kubwa kwa Urusi na Madhwalimu wote

Ukraine kufikia hapa, Pigo kubwa kwa Urusi na Madhwalimu wote

Urusi ni supa pawa wa mchongo
Kwa hakika haijali gharama ila udhwalimu kushindwa ni jambo la kujivunia kwa kila mpenda haki:

View attachment 2182524

Nani alitegemea kutembea kwa miguu mitaani leo Kyiv na Mrusi akiwa 20km tokea mjini kati majuzi juzi tu?

Kwani kwetu si barabara na mitaa hufungwa? Chopper juu Kwamba tukujiridhisha?

Kama warusi walikuja na manywele vichwani kwa hakika watakuwa wameondoka na vipara.

Chonde chonde haki kwa wote ndiyo ulio msingi wa maisha.

Yuko wapi Putin na udhwalimu wake?

Udhwalimu uwao wote utashindwa!
 
Hapa sasa unauliza maswali au unauliza majibu?

Hatujaacha kumpigia kelele dhwalimu popote. Hatujaacha kupiga kelele kuhusu victims.

Kwani Ndugai yuko wapi? Aliko ni huru, hai, mfungwa au mfu?

Umewahi hata kuhoji wewe kumhusu huyu bwana?

Wewe na chama lako la kikanda hampaswi kuongoza nchi
Una dhani dunia inaendeshwa kienyeji sio ?

Yani wabongo cjui wanazipata wapi hizi taarifa 😁
 
Wakati iraq, Afghanistan, Libya, Syria wanavamiwa na mataifa dhaalim mlithubutu kupiga kelele na kulaani mauwaji hayo, na isitoshe baadhi ya viongozi wao kuuawa kinyama!! Leo hii ukrein ameingiliwa na Mrusi mnapiga kelele!! Mlikua wapi wakati mataifa ya kiarabu yanavamiwa, inaonekana mlifurahia sio!!

Kuhusu Idi Amini, mlitulisha sana uongo mara oh alikua akila nyama za watu n.k, uongo mtupu. Allah amrehemu na amuingize peponi Ndugu yetu Idi Amini.

Nyerere atakipata anachositahili mbele ya Mwenyezi Mungu.

Iddi Amini alikuwa nduguyo?

Mnapojitahidi kuikimbia haki mnaweza sema lolote leo ikibidi hata kumnanga Nyerere.

Mmeangaziwa sana humu:

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Hiiiiii bagosha!
 
Una dhani dunia inaendeshwa kienyeji sio ?
Hapana mkuu, CHAWA wa putin ndo wanadhani hivyo.. cheki hapo chini:
Russia Must Pay Reparations by Anders Åslund - Project Syndicate
 
Iddi Amini alikuwa nduguyo?

Mnapojitahidi kuikimbia haki mnaweza sema lolote leo ikibidi hata kumnanga Nyerere.

Mmeangaziwa sana humu:

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Hiiiiii bagosha!

Ndoho bhabha,,,Hakuna rais asiekubalika kama nyerere. Hakuna cha maana alichowafanyia watanzania, alikua mkandamizaji tu.

So, idi amini dada kumfananisha na nyerere sio sawa, Allah amrehemu na amuingize katika pepo ndugu yetu amini.

Nyerere huko aliko atakipata anachositahili.

MWINYI✔✔
SSH✔✔
KIKWETE ✔✔
MKAPA✔❌✔
MAGUFULI✔❌✔
NYERERE❌❌❌❌❌
 
Rudi Lumumba kawaambie, HAYADANGANYIKI!

Mnapopumua "uzuzu,"

Jenerali Ulimwengu: Kuna Mtanzania alitufanya Mazuzu

Wengine tunapumua "haki."
 
Mbona katoa offer kwa raia wa nje ambao wanataka kui support urusi kuwa ataipa familia yake milion 100 za tz halafu kwa mwezi utakuwa unapokea mtonyo wa milion 14 endapo utachagua kukaa mstari wa mbele kwenye vita, na endapo utakaa mstari wa nyuma basi utalipwa nus ya hiyo hela

Lakini kabla ya hapo tuliona pesa yake ikiwa imepanda thamani hiyo lazima im benefit kwa namna moja, nakubaliana na wewe kuwa Zelensky anapokea ufadhili ambao unamfanya aweze kuhimili gharama za kuendesha operaton ya kivita

Lakini kwamba putin kaishiwa bado naona kimahesabu haijakaa poa
Kwani mzee wewe ukienda front line halafu ukafa, familia yako itaenda urussi kumdai putin?? Hiyo ni bait tu watakaojitolea wachache sana watalipwa
 
Rudi Lumumba kawaambie, HAYADANGANYIKI!

Mnapopumua "uzuzu,"

Jenerali Ulimwengu: Kuna Mtanzania alitufanya Mazuzu

Wengine tunapumua "haki."

Haki haitafutwi kwa style hii,, mmeanza kuijua haki kwa Zelensky sio! Nchi za kiarabu, afrika na asia mlikua wapi wakati zinavamiwa na wamagharibi? Gaddafi mpaka anauawa hakuna aliethubutu kuingilia sio AU wala nani! Afrika ni afrika tu.

Angalau utatu huu ulisikika kidogo japo haukusaidia chochote
1 Magu
2 M7
3 Mugabe
 
Kwani mzee wewe ukienda front line halafu ukafa, familia yako itaenda urussi kumdai putin?? Hiyo ni bait tu watakaojitolea wachache sana watalipwa
Mtonyo wa milion 100 unatolewa kwa familia siku ambayo unaanza majukumu, kinachofuata hapo ni mshahara wa mwisho wa mwezi ambao hata ukidhurumiwa sio mbaya
 
Ndoho bhabha,,,Hakuna rais asiekubalika kama nyerere. Hakuna cha maana alichowafanyia watanzania, alikua mkandamizaji tu.

So, idi amini dada kumfananisha na nyerere sio sawa, Allah amrehemu na amuingize katika pepo ndugu yetu amini.

Nyerere huko aliko atakipata anachositahili.

MWINYI✔✔
SSH✔✔
KIKWETE ✔✔
MKAPA✔❌✔
MAGUFULI✔❌✔
NYERERE❌❌❌❌❌
Kwasaababu Iddi amin alikuwa muislam mwenzio sio??
Nimeona maraisi uliowawekea X wote ni wakristo
Kwahyo kwako udini unatangulia mbele ya utanzania
Kesho waarabu wa saudia wakituvamia na kuanza kutuchinja kwa jina la Allah utachekelea mno
 
Idi amini ni ndugu yangu

Nyerere hana undugu na mimi

Ndugu na Iddi Amini ana undugu na Shweitani. Huyo hatujadili naye bali humkemea.

"Pepo pepo, kemea pepo!" 🎼🎼
 
Kwasaababu Iddi amin alikuwa muislam mwenzio sio??
Nimeona maraisi uliowawekea X wote ni wakristo
Kwahyo kwako udini unatangulia mbele ya utanzania
Kesho waarabu wa saudia wakituvamia na kuanza kutuchinja kwa jina la Allah utachekelea mno

Waislamu wana imani wewe, lazima tuongee ukweli,, japo inauma kwenu. hii nchi ikiongozwa na kafiri balaa tupu, dhulma, ukandamizaji, watu huuawa na wasiojulikana, utaifishaji wa mali/viwanda hufungiwa n.k.,,,Muislamu akiingia huoni huu upumbafu.

Wapo wakristo wanatambua hili, na wanatamani waislamu wawe wanatuongoza.
 
Haki haitafutwi kwa style hii,, mmeanza kuijua haki kwa Zelensky sio! Nchi za kiarabu, afrika na asia mlikua wapi wakati zinavamiwa na wamagharibi? Gaddafi mpaka anauawa hakuna aliethubutu kuingilia sio AU wala nani! Afrika ni afrika tu.

Angalau utatu huu ulisikika kidogo japo haukusaidia chochote
1 Magu
2 M7
3 Mugabe

Uko chobingo wapi kufuatilia nini nani ameandika wapi?

Tafuta kazi ya kufanya mjomba.

Al-Shabab, Al-Qaida, Dayesh au ISS kwa jina la Allah ni upuusi mtupu.

Zingatia: Ipo tofauti kubwa baina ya dini na makundi hayo.
 
Waislamu wana imani wewe, lazima tuongee ukweli,, japo inauma kwenu. hii nchi ikiongozwa na kafiri balaa tupu, dhulma, ukandamizaji, watu huuawa na wasiojulikana, utaifishaji wa mali/viwanda hufungiwa n.k.,,,Muislamu akiingia huoni huu upumbafu.

Wapo wakristo wanatambua hili, na wanatamani waislamu wawe wanatuongoza.

😂😂

Utakuwa umepotea njia mjomba.

Kwa kutangaza dini bonyeza *154*00#.
 
Kesho waarabu wa saudia wakituvamia na kuanza kutuchinja kwa jina la Allah utachekelea mno

Unadhani waarabu ni wamagharibi/waisrael?? Waarabu ni wastaarabu na wakarimu kuliko wala nguruwe, na wanahofu na Allah, na uislamu haujatufundisha kumuanza adui ila yeye atakapokuanza.

Hapo kwenye nguruwe usininukuu vibaya, sio wote wala nguruwe.
 
😂😂

Utakuwa umepotea njia mjomba.

Kwa kutangaza dini bonyeza *154*00#.

Kina ben saa nane wamepotezwa awamu ya nani?
Hebu nitajie viumbe waliopotezwa na awamu za waislamu,,kutaifisha mali za watu, viwanda na kubambikiwa kesi.!!!
 
Kina ben saa nane wamepotezwa awamu ya nani?
Hebu nitajie viumbe waliopotezwa na awamu za waislamu,,kutaifisha mali za watu, viwanda na kubambikiwa kesi.!!!

Kwani Job Yustino Ndugai yuko wapi ndugu?

Ninakazia: kutangaza dini bonyeza *154*00#.
 
Back
Top Bottom