Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Kwani Job Yustino Ndugai yuko wapi ndugu?
Ninakazia: kutangaza dini bonyeza *154*00#.
Ndiyo ukubali waislamu hawana tabu na mtu, uislamu ni amani, uisilamu unatuhimiza kupendana na sio kuchukiana.
Hii nchi ingelikua inaongozwa na waisilamu tupu yasingetokea yote haya, ukatili, unyanyasaji wa aina yoyote, kuchoma wezi, ujambazi, kuuwa wasio na hatia, kupora/kuiba mali za watu, kutoana kafara n.k yasingetokea