- Thread starter
- #41
Ni nani dhaalim kati ya puttin au marekani/Nato and israel dhidi ya mataifa ya kiarabu, Afrika na Asia?
Huwa mnajitoa ufahamu/upofu kana kwamba wao ni wasafi!! Wamemtembelea UKRAINE na kutaka kumpa sapoti kwakuwa ni ndugu yao, lakini nchi za kiarabu hawakuthubutu kufanya haya, kwa maana wale ni wanyama tu hawana faida kuishi acha wafe, na waendelee kuuza silaha na kupora rasilimali zao.
Ya Mmarekani yanatoka wapi hapa sasa?
Kuna vita Ukraine na Urusi. Hapa kuna mwonelewa na dhwalimu.
Kama unataka tuwaongelee hao si tuanzishe nyuzi za vita vya Afghanistan, Gaza au Libya?
Huko nako tutamkomalia mchokozi kama tunavyo komaa na Mrusi hapa. Uhalali wa vifo vya watu hapa anaupata wapi?
Kumbuka hata Amini naye alikuwa dhwalimu kwetu.
Pasipo na kumung'unya maneno, madhwalimu wote hata wewe kama ni mmoja wao, tunawalaani bila exception.