Ukraine kufikia hapa, Pigo kubwa kwa Urusi na Madhwalimu wote

Ukraine kufikia hapa, Pigo kubwa kwa Urusi na Madhwalimu wote

Uongo, hana hizo pesi za kuwapa, wataishia kwenye concentration camps tu huko Siberia wakija kudai pesa zao baada ya kurudi vitani.
Mbona katoa offer kwa raia wa nje ambao wanataka kui support urusi kuwa ataipa familia yake milion 100 za tz halafu kwa mwezi utakuwa unapokea mtonyo wa milion 14 endapo utachagua kukaa mstari wa mbele kwenye vita, na endapo utakaa mstari wa nyuma basi utalipwa nus ya hiyo hela

Lakini kabla ya hapo tuliona pesa yake ikiwa imepanda thamani hiyo lazima im benefit kwa namna moja, nakubaliana na wewe kuwa Zelensky anapokea ufadhili ambao unamfanya aweze kuhimili gharama za kuendesha operaton ya kivita

Lakini kwamba putin kaishiwa bado naona kimahesabu haijakaa poa
 
Kama kafikia hatua ya kuwaajiri mamluki napenda sana ISIS, na ALISHABAAB wakubali mualiko
Hawa miamba achana nao. Wakikushindwa frontline wanajivisha vest tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wacha kabisa mtiti wao..
 
Kwa hakika haijali gharama ila udhwalimu kushindwa ni jambo la kujivunia kwa kila mpenda haki:

View attachment 2182524

Nani alitegemea kutembea kwa miguu mitaani leo Kyiv na Mrusi akiwa 20km tokea mjini kati majuzi juzi tu?

Kwani kwetu si barabara na mitaa hufungwa? Chopper juu Kwamba tukujiridhisha?

Kama warusi walikuja na manywele vichwani kwa hakika watakuwa wameondoka na vipara.

Chonde chonde haki kwa wote ndiyo ulio msingi wa maisha.

Yuko wapi Putin na udhwalimu wake?

Udhwalimu uwao wote utashindwa!
Putin atafanikisha malengo yakee bila shida yoyote
IMG_20220410_150929_771.jpg
 
Hawa miamba achana nao. Wakikushindwa frontline wanajivisha vest tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wacha kabisa mtiti wao..
Hawa ni hodari kwenye vita ya kujificha iila sio frontline face to face tena na makomandoo

Hawa ni wababe kwasababu hawatambuliki identity yao unaweza kupanga mbinu za kuwazuia bila kujua nao wamehudhuria mkutano huo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unanikumbusha tanga kuna jamaa alikua msoma abladiri kwenye albadiri anayosomewa yeye.

[emoji3][emoji3][emoji3]

Hivi ule msafara wa kijeshi wa urusi wa kilometa zaidi ya 60 kuelekea kyiv uliishia wapi?
 
Imechapika lakini lengo la Putin limeshakwama hadi sasa. Yeye alitaka aupindue utawala wa Ukraine lakini hilo mpaka sasa limeshakuwa gumu kwake na ni kama USA na Vietnam. Urusi hii vita hashindi tena. Kwa sasa uwezo wa kulihudumia jeshi umepungua kutokana mbivnyo wa vikwazo,kuna sabotage miongoni mwa wanajeshi wa Urusi yenyewe,Western na hasa USA ashapenyeza makomandoo wake walengaji(snipers) maveterani ndani ya Ukraine,silaha toka Western zinazidi kuingia Ukraine na Urusi kapoteza wanajeshi wengi wakiwemo majenerali wanne watajika kimedani.

Sasa anaajiri wapiganaji kutoka Syria mamluki awapeleke Frontline. Hii vita imeifunua Urusi kuwa hamna kitu. Na intels za USA zimeishadokeza kuwa walikuwa wana overate uwezo wa Urusi. Sasa turudi kwenye hoja yako ya kuchapika,baafa ya kuona malengo hayatimii sasa anapiga infrastructure kuwapa hasara Ukraine na kuuwa raia kwa hasira ya kushindwa. Lengo la vita toka mwanzo haikuwa kubomoa majengo ya umma na raia na miundombinu,lengo lilikuwa kuitoa serikali madarakani ambayo inaonekana kupendelea West na kuiweka serikali vibaraka wa Urusi kama Lukashenko wa Beralus na hata huyu Orban wa Hungary.
Lakini uliyemquote alikuwa anafanya sarcasm kwa Pro Russia,otherwise uko sawa kabisa kwa ulivyofafanua hapa.
 
Kwa hakika haijali gharama ila udhwalimu kushindwa ni jambo la kujivunia kwa kila mpenda haki:

View attachment 2182524

Nani alitegemea kutembea kwa miguu mitaani leo Kyiv na Mrusi akiwa 20km tokea mjini kati majuzi juzi tu?

Kwani kwetu si barabara na mitaa hufungwa? Chopper juu Kwamba tukujiridhisha?

Kama warusi walikuja na manywele vichwani kwa hakika watakuwa wameondoka na vipara.

Chonde chonde haki kwa wote ndiyo ulio msingi wa maisha.

Yuko wapi Putin na udhwalimu wake?

Udhwalimu uwao wote utashindwa!
Ni nani dhaalim kati ya puttin au marekani/Nato and israel dhidi ya mataifa ya kiarabu, Afrika na Asia?

Huwa mnajitoa ufahamu/upofu kana kwamba wao ni wasafi!! Wamemtembelea UKRAINE na kutaka kumpa sapoti kwakuwa ni ndugu yao, lakini nchi za kiarabu hawakuthubutu kufanya haya, kwa maana wale ni wanyama tu hawana faida kuishi acha wafe, na waendelee kuuza silaha na kupora rasilimali zao.
 
Back
Top Bottom