Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Kwani Job Yustino Ndugai yuko wapi ndugu?
Ninakazia: kutangaza dini bonyeza *154*00#.
Nilikuwa nafikiria wamemua Mdhenge Putin.
Hii video ni propaganda hapo ni UK hapoKwa hakika haijali gharama ila udhwalimu kushindwa ni jambo la kujivunia kwa kila mpenda haki:
View attachment 2182524
Nani alitegemea kutembea kwa miguu mitaani leo Kyiv na Mrusi akiwa 20km tokea mjini kati majuzi juzi tu?
Kwani kwetu si barabara na mitaa hufungwa? Chopper juu Kwamba tukujiridhisha?
Kama warusi walikuja na manywele vichwani kwa hakika watakuwa wameondoka na vipara.
Chonde chonde haki kwa wote ndiyo ulio msingi wa maisha.
Yuko wapi Putin na udhwalimu wake?
Udhwalimu uwao wote utashindwa!
Hii video ni propaganda hapo ni UK hapo
Kwa hakika haijali gharama ila udhwalimu kushindwa ni jambo la kujivunia kwa kila mpenda haki:
View attachment 2182524
Nani alitegemea kutembea kwa miguu mitaani leo Kyiv na Mrusi akiwa 20km tokea mjini kati majuzi juzi tu?
Kwani kwetu si barabara na mitaa hufungwa? Chopper juu Kwamba tukujiridhisha?
Kama warusi walikuja na manywele vichwani kwa hakika watakuwa wameondoka na vipara.
Chonde chonde haki kwa wote ndiyo ulio msingi wa maisha.
Yuko wapi Putin na udhwalimu wake?
Udhwalimu uwao wote utashindwa!
Zelezinky ni simple man very charismatic president.Kwa hakika haijali gharama ila udhwalimu kushindwa ni jambo la kujivunia kwa kila mpenda haki:
View attachment 2182524
Nani alitegemea kutembea kwa miguu mitaani leo Kyiv na Mrusi akiwa 20km tokea mjini kati majuzi juzi tu?
Kwani kwetu si barabara na mitaa hufungwa? Chopper juu Kwamba tukujiridhisha?
Kama warusi walikuja na manywele vichwani kwa hakika watakuwa wameondoka na vipara.
Chonde chonde haki kwa wote ndiyo ulio msingi wa maisha.
Yuko wapi Putin na udhwalimu wake?
Udhwalimu uwao wote utashindwa!
Kwani vita imeisha ukraine?
Zelezinky ni simple man very charismatic president.
biibiisiiii
Babu Putin amezidi kuaibika! Hakutegemea kijana mdogo Zelesky amtoe kamasi kiasi hikiSawa wachambuzi ngoja tuendelee kusubiri muda.
Hebu tuonyeshe mahali ambapo Putin alisema mwanzo wa vita lengo ni kuitoa serikali iliyopo madarakani, au kuiteka Ukraine yote?Imechapika lakini lengo la Putin limeshakwama hadi sasa. Yeye alitaka aupindue utawala wa Ukraine lakini hilo mpaka sasa limeshakuwa gumu kwake na ni kama USA na Vietnam. Urusi hii vita hashindi tena. Kwa sasa uwezo wa kulihudumia jeshi umepungua kutokana mbivnyo wa vikwazo,kuna sabotage miongoni mwa wanajeshi wa Urusi yenyewe,Western na hasa USA ashapenyeza makomandoo wake walengaji(snipers) maveterani ndani ya Ukraine,silaha toka Western zinazidi kuingia Ukraine na Urusi kapoteza wanajeshi wengi wakiwemo majenerali wanne watajika kimedani.
Sasa anaajiri wapiganaji kutoka Syria mamluki awapeleke Frontline. Hii vita imeifunua Urusi kuwa hamna kitu. Na intels za USA zimeishadokeza kuwa walikuwa wana overate uwezo wa Urusi. Sasa turudi kwenye hoja yako ya kuchapika,baafa ya kuona malengo hayatimii sasa anapiga infrastructure kuwapa hasara Ukraine na kuuwa raia kwa hasira ya kushindwa. Lengo la vita toka mwanzo haikuwa kubomoa majengo ya umma na raia na miundombinu,lengo lilikuwa kuitoa serikali madarakani ambayo inaonekana kupendelea West na kuiweka serikali vibaraka wa Urusi kama Lukashenko wa Beralus na hata huyu Orban wa Hungary.