Ukraine na uwezo wa medani waishangaza dunia

Mm sijui kuhusu hypersonic wew unaongelea supersonic kaa kwa kutulia Kam vp kaingilie mzozo tukuone
Kwa hiyo hizo hypersonic ni za enzi za Cold war? Mara ngapi Putin anatoa mikwara mbuzi ya yeyote atakaesaidia Ukraine atakiona cha moto,mbona silaha zinapelekwa tena bila kificho na kaufyata,au kupeleka silaha siyo kuwasaidia Ukraine Kivita. Russia was overrated,kwa sasa uhalisia wa jeshi lake umeonekana.
 
Sawa overrated nenda kweny uwanja wa Vita si umechoka kula ugali na dagaa
 
Wewe ndiyo una ushabiki wa vitumbua πŸ™‚,nani kasema Zelensikky kashinda vita? Hapa tunamsifia Ukraine kutoa upinzani mkali ambao haukutegemewa kabisa na Russia.Sasa kubomoa majumba ndiyo ushindi wa vita? Ni nini kinachoifanya Russia mpaka leo imeshindwa kuingia Kyiv,operation ya masaa 72 imegeuka kuwa aibu kubwa kwa supapawa wa makaratasi.
 
Nyamizi ushamezeshwa propaganda tayar ni ngumu kukusaidia
Watu wengi mnataja sana "propaganda" bila kujua maana yake halisi, propaganda ni psychological instrument inayoweza kutumika kwenye ushindani wa siasa na vita, ukiweza kuimudu vizuri basi unapata kitu kinaitwa morale victory, westerners wanalijua hili vizuri ndio maana urusi amedhibitiwa kupata legitimacy ya kumvamia jirani yake ukraine, propaganda zipo kwa pande zote maana huwezi kutenganisha vita na propaganda vingi nevyo utakumbana na demoralization
 
Tatizo wengi wamekalili neno propaganda ila kimsingi hawajui propaganda yenyewe ni nini
 
Russia hawatakaa wasahau,walijiaminisha wao ni vidume kumbe hovyo kabisa .

Ona hii hasara hapa ya majenerali πŸ‘‡

View attachment 2163754

Russia hawatakaa wasahau,walijiaminisha wao ni vidume kumbe hovyo kabisa .

Ona hii hasara hapa ya majenerali πŸ‘‡

View attachment 2163754
Sera za ujamaa ziliwaharibu Sana, the are humble submissive to the leader's ignorance, never Russia hawezi ku battle na mabeberu. Mabeberu ni compitetive in nature
 
Atakapokubali kushindwa na nchi ipo total destroyed..uje tena na bandiko lingine la kumponda kwa kufanywa jinga na westerns
Nchi si inajengwa na pesa za kina Putin zilizopigwa pin,hapa pointi ni mtu kutetea kilicho chake.Wewe kama uko tayari kutelekeza mke na watoto wako kisa jirani yako kaja nyumbani kwako kutaka kuwachukua kwa nguvu utakuwa Baba wa ajabu sana
 
Russia wanakula kichapo hadi hawaamini kwamba makombora bado hayajawasaidia zaidi ya kuharibu miundombinu ya kiraia tuu.

Kazi iendelee πŸ˜„πŸ˜†





 
vijana wa kibongo niwaoga waoga ndio wanaongoza kuwashauri waukraine wajisalimishe wangejiuliza nyerere angejidalimisha kwa idamin leo ingekuwaje
Tena wa Dar ndiyo kabisa,walikimbizwa na panya road tu wakatelekeza magari barabarani kujiokoa πŸ˜…
 
Egypt yakumbana na athari mbaya za vita ya Ukraine,ilikuwa inategemea ngano kutoka huko kwa takribani zaidi ya 50% ya matumizi yake

 
kwa miji ilivyo geuzwa kifusi namna ile? utafikiri ukraine imepigwa na garika la sodoma na gomola
Kuwa wa kisasa usiwe wa kizamani russia inaonekana hana uzoefu wa vita vya mkono kwa mkono hata kidogo, yale magorofa anaangusha kwa bombs kutoka mbali sana na utakuta anayaangusha ata hakuna mtu ndani labda anaua mmoja au 2 mapak 4, ukitoa kule hospitali ambako watu wasiojiweza wazee na watoto walihifadhiwa.

Inasemekana anatumia silaha za kizamani sio silaha za kisasa ambazo direct zitaenda ulipokusudia, silaha zake mara nyingi labda hukusudia kupiga kikombe lakini anaenda kugonga mwiko

Jengine angalia vifaru (tanks) alizomimina kutoka russia hatimae zinasagwasagwa na Javelin St. unayoeka begani tu mukaenda na safari, wanasema Putin hii vita ame miscalculated na itamugarimu

Kwa hapa ashapofikia magharibi wamemsoma 100% udhaifu wake na wanamkebehi kweli kweli, kilichobaki sasa kwa putini ni kubonyeza nuclear au kuua watu kwa sumu za chemical
 
Walimsifu na kumpamba sana Putini, sasa kwa nionavyo hii vita itaendelea kumsumbua + vikwazo on behined, ni mwisho wa putini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…