Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

Nilochojifunza JF kuhusu pro Russia na Iran ni waongeaji saaaana kama walivyo Warusi na Wairan wenyewe, lakini kwenye vitendo Sasa mpaka unatamani kucheka kama sio kulia!!
 
Unaongea kana kwamba russia kashindwa,kumbe kateka 20+%ya ukraine,huko kursk husikii CNN wakidai ukraine kusonga,jua kichapo siyo cha mchezo
 
Warusi wa buza kwenye ubora wao
 
We uliamini nchi yenye ukubwa wa ukraine kutekwa kea siku TATU?..vita vina propaganda zake,kwanza walisema ni smo,na lengo si kuiteka nchi yote,kuteka nchi siyo smo
Mkuu nisimuamini Putin ntamuamini nani tena kumbuka Putin wa kwenye media sio huyu wa virani...mimi binafsi walivyochukua maeneo yale kwa haraka nilijua hakuna vita labda kama wenzangu mlikua mnaangalia hii vita kwa jicho tofauti..
 
Mkuu nisimuamini Putin ntamuamini nani tena kumbuka Putin wa kwenye media sio huyu wa virani...mimi binafsi walivyochukua maeneo yale kwa haraka nilijua hakuna vita labda kama wenzangu mlikua mnaangalia hii vita kwa jicho tofauti..
Full out war ya mrusi hapo ukraine dunia ingepiga kelele sana, russia anachukua miji ya kuifanya buffer zone,maana dogo alivunja makubaliano ya minsk kwa kushirikiana na nato,pili urusi kapiga hela ndefu kwa kuuza ngano baada ya kuivuruga ukraine,wazungu wala vyakula vya mbwa,punguza milo wakati warusi maisha yaleyale
 

SISI Kuna sheikh alikuwa anatuambia Urusi ndo baba wa Dunia kwa sasa akitaka kuifuta Marekani ni sekunde tu. Yaani Marekani wana mwogopa Mrusi kama kifo. Yule Sheikh alitufundisha mambo mengi sana. Kuwa Urusi ina Silaha hatari Dunia haijawahi shuhudia.
 
Hii amekuambia ustaadhi Kitinku? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Alianza kuniambia huu ujinga nikamtolea data. Aka ni remove kwenye group. Yule mjinga anawajaza ujinga wenzie. Urusi ina hali mbaya na imekuwa exposed. Asikudanganye mtu. Tumia akili ndogo tu ya darasa la 4.
 
Nilochojifunza JF kuhusu pro Russia na Iran ni waongeaji saaaana kama walivyo Warusi na Wairan wenyewe, lakini kwenye vitendo Sasa mpaka unatamani kucheka kama sio kulia!!
Mimi nimekuwa Pro Urusi na Irani kwa muda mpaka nilipoanza kupata akili. Nikagundua Marekani wana akili. Huwaoni wakionesha silaha zao hovyo hovyo. Wanazificha. Irani , Korea, Urusi, China wanapenda kuonesha Silaha kuwatisha watu.
 
Hali mbaya ya nini!?..hapo jimbo la kursk penyewe watu wako wanna km za eneo 1000,jimbo ni kubwa
 
 
Tuliposema kuwa hii operation ya urusi inaenda tofauti na matarajio ProRussia wengi walisema ni Urusi ndio hataki vita viishe mapema huo ndio mkakati wake. Swali ni je sahivi Ukraine wameingia ndani kwa Urusi bado ni mkakati wa Urusi huu?
 
Comment za waswahili humu zinachekesha sana😂😂😂😂😂😂😂.
Eti mtu anadiriki kuropoka eti Putin hana nguvu ana nguvu za media tu.
Aish aisee embu punguzeni kuropoka aisee.
Wakati mnaongea hivyo hiyo Russia imefanya yafuatayo kwa Ukraine licha ya Ukraine ikiwa inasaidiwa na NATO;
-Russia imeiteka Donbas,Donetsk,Kharkiv na Mariupol.
-Russia ime dismantle jeshi la Ukraine kiasi Ukraine ilikua ikikamata raia barabarani kwa nguvu ili waingie jeshini.
-Russia keshawapiga Ukraine na kukamata vifaa vya NATO ambavyo Ukraine alipewa vikiwemo vifaru vya Abrahamas na Leopard 2.
Mtu unashindwa kujiuliza Ukraine ameshindwa kukomboa maeneo yake kwa jeshi lake hilo hilo leo hii aje amtikise Russia ndani ya ardhi yake!!??
Na alichokosea zaidi ni kukigawanya kikosi kingine kwenda Belgorod,ilhali man power ni ndogo.
Hao Ukraine wamejipeleka katika kifo soon mtakuja kusoma habari zingine hapa.
Yani ardhi yako ushindwe kuitetea halafu uende ukateke ardhi ya mwingine!??
Wacheni kuwaza kama WAPUMBAVU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…