Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

Kwanza utambue Urusi anapigana na NATO katika Ardhi ya Ukraine.

Hata hiyo oparesheni ya kushtukiza kuingia Jimbo la KURSK-Urusi, ni matokeo ya Intelijensia ya NATO kuwapa Ukraine na Majeshi ya NATO taarifa sahihi za Uwezo wa kijeshi wa Urusi KURSK.

Ukraine walitaka kuteka kinu Cha Nyukilia kilichopo KURSK ili kukitumia kufanya Negotiation.

Pili, kuilazimisha Urusi Kupunguza Majeshi Donbass kuyaleta KURSK baada ya kuona kule Donbass Urusi anatoa Kichapo na kuzidi kuchukua maeneo

Hata hivo, Urusi inajua hiyo NIA, Kichapo kitaendelea kote kote, iwe ni DONBASS, KURSK Kichapo Kiko pale pale


Inabidi ufaham, Urusi ni Nchi yenye Nyukilia , Kamwe NATO hawawezi kuishinda .

Kumwondoa Putin ni sawa na ndoto za Alinacha .
Umeandika kama mlevi wa gongo.
 
Unaweza ukaleta ushahidi wa Putin kusema atamlipua mtu na Nuclear!?
Nasubiri hapa.
Russia ana vita na Ukraine ulitaka aanzishe vita za hovyo na nchi za NATO!?
Aisee unaongea nini we jamaa!!

Unaweza ukaleta ushahidi wa Putin kusema atamlipua mtu na Nuclear!?
Nasubiri hapa.
Russia ana vita na Ukraine ulitaka aanzishe vita za hovyo na nchi za NATO!?
Aisee unaongea nini we jamaa!!
 
Abrahamas na Leopard 2 tanks sio silaha ndogo.
Pia Ukraine alipokea patriot missiles kutoka USA hizo sio silaha ndogo.
Alipokea ndege za F-16 hizo sio silaha ndogo.
Alipokea HIMARS zile sio silaha ndogo.
Unazungumzia Donbas au Crimea!?
Kama ni Donbas unazungumzia upande upi wa settlements!?
Pia unazungumziaje maeneo ambayo yametekwa hadi sasa na hayajakombolewa!?
NATO wapo na Ukraine na wanamsaidia vita hilo hakuna anayebisha.
NATO hapigani na Russia kwanza achana na uongo. Abraham tanks hazizidi 30 alizopewa Ukraine na leopard hazifikk 200 je ndio silaha unazose.a?
F-16 hazijaanza kutumika
Rocket qalizopewa Ukraine haina range ya lm400 upo hapo?
 
Unaweza ukaleta ushahidi wa Putin kusema atamlipua mtu na Nuclear!?
Nasubiri hapa.
Russia ana vita na Ukraine ulitaka aanzishe vita za hovyo na nchi za NATO!?
Aisee unaongea nini we jamaa!!

Unaweza ukaleta ushahidi wa Putin kusema atamlipua mtu na Nuclear!?
Nasubiri hapa.
Russia ana vita na Ukraine ulitaka aanzishe vita za hovyo na nchi za NATO!?
Aisee unaongea nini we jamaa!!
 
Yule jamaa kilaza sana.alikuwa anatudanganya sana. Mpaka nikaanza kuwapenda Russia. Maana aliwajenga sana hawa jamaa.
Mara ya mwisho kumsoma ni pale alikuja na excavator ndogo zinabeba siraha zinazunguka mtaani huku anaezi control yupo Moscow nikasema hapa hapa anishushe ni kama Pray station sasa...
 
Asante kwa kuelezea vizuri, hongera kwa kutokua mvivu wa kuandika, binafsi kuna baadhi ya komenti nikiona napata uvivu najiuliza naanzia wapi kumuelezea mtu kwa ufupi aelewe, watu wako biased mnoo.
-Watu hawafahamu kama vijiji vyote alivyokomboa Ukraine kwenye ile summer counteroffensive iliyofeli, Urusi wameshavikomboa vyote, na vimeondoka na manpower ya Ukraine, Abrams, Challengers na Leopard nyingi mnoo,
-Kuanzia hapo Ukraine analinda tu hana uwezo tena wa ku mount mashambulizi ya kuteka ama ku reclaim maeneo,
-Hilo shambulizi la Kursk wachambuzi wenyewe wa media za West wanakwambia ni suicide gamble ambayo namna pekee ingeweza kuleta manufaa walau kiduchu ni kama wangeweza kuteka kinu cha nyuklia ambacho kwa sasa ni ndoto kukifikia,
-Bila hiko, operation nzima inakua sasa inakula kwa Ukraine kwasababu wametumia their most elite units kufanya operation ambayo haina military value badala wangewaacha hata Donbas ama maeneo mengine ya muhimu zaidi,
-Hayo maeneo ya Kursk waliyoyateka hawana uwezo wa kuyakalia wala kuya resupply na eventually Urusi ataanzisha operation ya kuyarudisha na atafanikiwa na hapo sasa ndo ujinga na kamari ya Zelensky itaonekana.
lengo la Urusi lilikuwa lipi ? kipind anavamia Ukraine
 
Habari yenyewe sky news hahhahah nyie tafuteni habari za maana hao wanajeshi wa Ukraine saivi wanajuta wanalia kilichowatuma kuingia kursk
Ok, kama huamini Sky News, habari za team kobaz, Aljazeera hizi hapa chini, na zinaendana tu...
--------------------
Russia evacuates thousands from Kursk as Ukrainian forces advance

Russian authorities have been evacuating thousands of civilians from the Kursk region as Ukrainian forces advance after a surprise incursion aimed at compelling Moscow to slow its progress along the rest of the front lines.

Kursk’s acting governor, Alexei Smirnov, said the Glushkovo district, which has a population of 20,000 and is 20km (12 miles) from the front, was being evacuated on Thursday.

At least 200,000 people have so far been moved from the border regions, according to Russian officials.

 
Elewa.watu hawasemi Ukrain kashinda.ila tunashangaa why 2 yrs now?ilipaswa iwe ndani ya week au 72 hrs kama ambavyo alisema Putin. Hatukutegema Ukraine itaanza shambulia Russia.yaani Temeke Market inacheza na Barcelona au Man United.nayo inashambulia?ilipaswa ijilinde tu kupunguza idadi ya magoli.
Swala zima ilikuwa UKRAINE kujiunga na NATO. je swala hilo lipoje kwa sasa? Nani mshindi baina ya zelensk na putin mpaka sasa?
 
Mara ya mwisho kumsoma ni pale alikuja na excavator ndogo zinabeba siraha zinazunguka mtaani huku anaezi control yupo Moscow nikasema hapa hapa anishushe ni kama Pray station sasa...
Jamaa ni muongo muongo sana.siku hizi hata uchambuzi uchwara ameacha.maana alikuwa anatuaminisha mambo utasema yeye ndo mshauri wa Putin. Sasa anakosa la kusema. Alikuwa anaandika kwa mahaba sana. Si uhalisia. Akasababisha wengi tuipende Russia. Kumbe kila mtu huwa ana akili mpaka akianza kuropoka ndo unagundua otherwise.
 
Another bridge was blown up in the village of Zvane in Kurshchyna, Kursk region, russia. One more left.
1723962459299.jpg
 
NATO hapigani na Russia kwanza achana na uongo. Abraham tanks hazizidi 30 alizopewa Ukraine na leopard hazifikk 200 je ndio silaha unazose.a?
F-16 hazijaanza kutumika
Rocket qalizopewa Ukraine haina range ya lm400 upo hapo?
Ona huyu anaongopa mchana kweupe.
Germany alipeleka leopard tanks za aina mbili pale Ukraine.
Leopard 1 250+.
Leopard 2 130+.
Ukiachana na hivyo hizo patriot missiles defence system zilipopelekwa hawakukabidhiwa tu hao Ukraine wakaanza kuzitumia bali kuna wanajeshi ambao walikuwa wakiwafundisha na kuwapa mafunzo ya hizo defence system na wao wakishiriki pia.
Sio kila silaha ambayo Ukraien alipewa alifikia tu kuitumia,zingine wahusika walikua wakim monitor kuzitumia.
NATO imekua ikimpa sapoti Ukraine politically and economically unconditional aid hadi sasa.
Hivyo ni sawa na kusema Russia anapigana na NATO.
Kwasababu nchi za mataifa ya EU/NATO zimekua zikituma silaha na rasilimali watu wa kuziongoza hizo silaha hadi leo hii.
 
Mimi nilidhani ni utani tu. Ila naona angalau wamepitisha siku. Nilidhani Urusi itawafyekelea mbali within a day. Ila pengine Wapinzani wa Putin wameungana nao. Hapo itakuwa balaa
Mashambulizi yanaendelea hasa upande wa Belgorod hali ni mbaya ziadi mara kumi ya Kursk.
Mayor mwenyewe wa Belgorod kajificha sasa hivi.
Ila kitendo cha Russia kujivuta kwenye retaliation kinatia mashaka,hatujui Russia atakuja kwa mkakati upi na kwa nguvu ipi ya retaliation.
 
Ndo maana nlikuambia wewe hujui haya mambo. Una mihemko.mimi nlikuwa mfuasi wa Putin kuzidi wewe.
Kijana nikisema wewe ni mpumbavu nakosea!???
Hivi ulikua unafaulu vipi mitihani yako huko shuleni?
Huwa unaelewa kile unachoulizwa!???
Ulisema kuwa Putin alitishia kuyalipua mataifa ya NATO kwa nuclear.Nimekuuliza una ushahidi wa yeye kutishia kutumia nuclear!?
Article nzima inasema tofauti,sijaona sehemu Russia ametishia kutumia nuclear
.
Hata kichwa cha habari kinakuumbua.
Soma elewa swali kijana.
Nataka ushahidi wa Russia kutishia kutumia nuclear??
That is the question.
Screenshot_2024-08-18-10-54-19-43_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Back
Top Bottom