Asante kwa kuelezea vizuri, hongera kwa kutokua mvivu wa kuandika, binafsi kuna baadhi ya komenti nikiona napata uvivu najiuliza naanzia wapi kumuelezea mtu kwa ufupi aelewe, watu wako biased mnoo.
-Watu hawafahamu kama vijiji vyote alivyokomboa Ukraine kwenye ile summer counteroffensive iliyofeli, Urusi wameshavikomboa vyote, na vimeondoka na manpower ya Ukraine, Abrams, Challengers na Leopard nyingi mnoo,
-Kuanzia hapo Ukraine analinda tu hana uwezo tena wa ku mount mashambulizi ya kuteka ama ku reclaim maeneo,
-Hilo shambulizi la Kursk wachambuzi wenyewe wa media za West wanakwambia ni suicide gamble ambayo namna pekee ingeweza kuleta manufaa walau kiduchu ni kama wangeweza kuteka kinu cha nyuklia ambacho kwa sasa ni ndoto kukifikia,
-Bila hiko, operation nzima inakua sasa inakula kwa Ukraine kwasababu wametumia their most elite units kufanya operation ambayo haina military value badala wangewaacha hata Donbas ama maeneo mengine ya muhimu zaidi,
-Hayo maeneo ya Kursk waliyoyateka hawana uwezo wa kuyakalia wala kuya resupply na eventually Urusi ataanzisha operation ya kuyarudisha na atafanikiwa na hapo sasa ndo ujinga na kamari ya Zelensky itaonekana.