Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

Mashambulizi yanaendelea hasa upande wa Belgorod hali ni mbaya ziadi mara kumi ya Kursk.
Mayor mwenyewe wa Belgorod kajificha sasa hivi.
Ila kitendo cha Russia kujivuta kwenye retaliation kinatia mashaka,hatujui Russia atakuja kwa mkakati upi na kwa nguvu ipi ya retaliation.
Wakiteka angalau mwezi mmoja itakuwa ni ushindi wa wanyonge
 
Wakiteka angalau mwezi mmoja itakuwa ni ushindi wa wanyonge
Inavyosemekana na political analyst wa West ni kwamba nia ya huo uvamizi ni kuwa na kitu cha kuweza ku bargain nacho na Russia kipindi cha majadiliano ya amani.
Maana Russia ilitoa tamko mwezi june kuwa ili majadiliano ya amani yawepo basi sharti moja wapo maeneo aliyoyanyakua Russia yatambulike kimataifa ni ya Russia sio Ukraine tena.
Hili jambo Ukraine hakuridhika nalo.
Hivyo anataka kama majadiliano ya amani yakija iwe angalau ameshikilia nuclear plant ya Kursk.
Sasa je ataweza kupashikilia mpaka huo wakati wa majadiliano ufike!?
 
Putin hatoki kirahisi hivyo

Soon mtasikia mchezo ukatavyobadilika

Ova
Wanafikiriaga wao na ma bwana zao wa west Wanavyomchukia Putin wanadhania na warusi wate wanamchukia.
Putin anapendwa sana na warusi na sehemu kubwa ya Dunia.
Putin anaungwa mkono na sehumu kubwa sana ya warusi na hata watu wa Donbas wanamuona kama mkombozi.ukija nje ya Urusi Putin anapendwa na nchi nyingi mno.
Lakini pia wanasahau kua Urusi ni nyukilia power,sio nchi ya kusema utaishinda Bali watavurugana.
Jimbo la watu wa Chechen walitaka kujitetenga toka zama za Boris Yeltsin akaja Putin akazima uasi na Sasa Chechen maisha ni safi kabisa,sembuse hao wavamizi?
Hata katika Hali ya kawaida TU,sidhani kama wanajeshi wa Urusi watakua comfortable kushindwa na mawakala wa USA.
Tufanye Putin kafa kifo Cha kawaida TU,bado haitamaliza uhasama uliopo kati ya Urusi na west.
Putin kaukuta na atauacha,wakija Marais wengine wa Urusi Hali itakua ni hivyohivyo tana inaweza kua mbaya zaidi ya Putin.
 
Kijana nikisema wewe ni mpumbavu nakosea!???
Hivi ulikua unafaulu vipi mitihani yako huko shuleni?
Huwa unaelewa kile unachoulizwa!???
Ulisema kuwa Putin alitishia kuyalipua mataifa ya NATO kwa nuclear.Nimekuuliza una ushahidi wa yeye kutishia kutumia nuclear!?
Article nzima inasema tofauti,sijaona sehemu Russia ametishia kutumia nuclear
.
Hata kichwa cha habari kinakuumbua.
Soma elewa swali kijana.
Nataka ushahidi wa Russia kutishia kutumia nuclear??
That is the question.View attachment 3073137
Sasa naamini condom ni muhimu sana. Hili Taifa lina hasara sana. Na wewe unahesabiwa kuwa ni Mtanzania?
 
Una utindii wa ubongo.
NATAKA USHAHIDI WA RUSSIA KUTISHIA KUTUMIA NUCLEAR WEAPONS DHIDI YA NATO.
Swali langu lilikua hapo.
Umeleta ushahidi ambao hauendani na swali langu.
I wonder umefaulu vipi mtihani wewe.
Screenshot_2024-08-18-12-44-37-333_com.android.chrome.jpg
 
Ona huyu anaongopa mchana kweupe.
Germany alipeleka leopard tanks za aina mbili pale Ukraine.
Leopard 1 250+.
Leopard 2 130+.
Ukiachana na hivyo hizo patriot missiles defence system zilipopelekwa hawakukabidhiwa tu hao Ukraine wakaanza kuzitumia bali kuna wanajeshi ambao walikuwa wakiwafundisha na kuwapa mafunzo ya hizo defence system na wao wakishiriki pia.
Sio kila silaha ambayo Ukraien alipewa alifikia tu kuitumia,zingine wahusika walikua wakim monitor kuzitumia.
NATO imekua ikimpa sapoti Ukraine politically and economically unconditional aid hadi sasa.
Hivyo ni sawa na kusema Russia anapigana na NATO.
Kwasababu nchi za mataifa ya EU/NATO zimekua zikituma silaha na rasilimali watu wa kuziongoza hizo silaha hadi leo hii.
Hakuna nchi imetuma askari Ukraine kupigana na Russia kutoa mafunzo ni kweli wanatoa ila nje ya Ukraine mfano kurusha ndege za F16 kuifupi Russia amefeli
 
Hakuna nchi imetuma askari Ukraine kupigana na Russia kutoa mafunzo ni kweli wanatoa ila nje ya Ukraine mfano kurusha ndege za F16 kuifupi Russia amefeli
Kwani katika kauli zangu nimesema wametumwa askari kupigana??
Nimetaja economic and political support.
Russia kafeli wapi!??
-Je maeneo ambayo Russia kayabeba yameshakombolewa!?
-Je vikwazo vya kiuchumi EU na USA walivyomuwekea Russia vimemuathiri walivyotarajia wao!?
-Je Ukraine ameweza kuzuia mashambulizi yeyote ya Russia ndani ya nchi yake!?
Ni kwanini useme Russia kafeli!??
 
Back
Top Bottom