Una utindii wa ubongo.
NATAKA USHAHIDI WA RUSSIA KUTISHIA KUTUMIA NUCLEAR WEAPONS DHIDI YA NATO.
Swali langu lilikua hapo.
Umeleta ushahidi ambao hauendani na swali langu.
I wonder umefaulu vipi mtihani wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una utindii wa ubongo.
Nioneshe neno hata nuclear threat katika hiyo article!????
Wakiteka angalau mwezi mmoja itakuwa ni ushindi wa wanyongeMashambulizi yanaendelea hasa upande wa Belgorod hali ni mbaya ziadi mara kumi ya Kursk.
Mayor mwenyewe wa Belgorod kajificha sasa hivi.
Ila kitendo cha Russia kujivuta kwenye retaliation kinatia mashaka,hatujui Russia atakuja kwa mkakati upi na kwa nguvu ipi ya retaliation.
Inavyosemekana na political analyst wa West ni kwamba nia ya huo uvamizi ni kuwa na kitu cha kuweza ku bargain nacho na Russia kipindi cha majadiliano ya amani.Wakiteka angalau mwezi mmoja itakuwa ni ushindi wa wanyonge
Wanafikiriaga wao na ma bwana zao wa west Wanavyomchukia Putin wanadhania na warusi wate wanamchukia.Putin hatoki kirahisi hivyo
Soon mtasikia mchezo ukatavyobadilika
Ova
Babu upooo!??😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Daaah hata sijui nachangia nini aiseee..
Au ngoja nitafute uzi wa sandakalawe
Nipo mjukuu wangu..Babu upooo!??
😁😁😁
Sasa naamini condom ni muhimu sana. Hili Taifa lina hasara sana. Na wewe unahesabiwa kuwa ni Mtanzania?Kijana nikisema wewe ni mpumbavu nakosea!???
Hivi ulikua unafaulu vipi mitihani yako huko shuleni?
Huwa unaelewa kile unachoulizwa!???
Ulisema kuwa Putin alitishia kuyalipua mataifa ya NATO kwa nuclear.Nimekuuliza una ushahidi wa yeye kutishia kutumia nuclear!?
Article nzima inasema tofauti,sijaona sehemu Russia ametishia kutumia nuclear .
Hata kichwa cha habari kinakuumbua.
Soma elewa swali kijana.
Nataka ushahidi wa Russia kutishia kutumia nuclear??
That is the question.View attachment 3073137
Sasa naamini condom ni muhimu sana. Hili Taifa lina hasara sana. Na wewe unahesabiwa kuwa ni Mtanzania?Kijana nikisema wewe ni mpumbavu nakosea!???
Hivi ulikua unafaulu vipi mitihani yako huko shuleni?
Huwa unaelewa kile unachoulizwa!???
Ulisema kuwa Putin alitishia kuyalipua mataifa ya NATO kwa nuclear.Nimekuuliza una ushahidi wa yeye kutishia kutumia nuclear!?
Article nzima inasema tofauti,sijaona sehemu Russia ametishia kutumia nuclear .
Hata kichwa cha habari kinakuumbua.
Soma elewa swali kijana.
Nataka ushahidi wa Russia kutishia kutumia nuclear??
That is the question.View attachment 3073137
Una utindii wa ubongo.
NATAKA USHAHIDI WA RUSSIA KUTISHIA KUTUMIA NUCLEAR WEAPONS DHIDI YA NATO.
Swali langu lilikua hapo.
Umeleta ushahidi ambao hauendani na swali langu.
I wonder umefaulu vipi mtihani wewe.
Kabisa aiseee....nimemsamehe bureMsamehe hajatawadha huyo😂👍
Hakuna nchi imetuma askari Ukraine kupigana na Russia kutoa mafunzo ni kweli wanatoa ila nje ya Ukraine mfano kurusha ndege za F16 kuifupi Russia amefeliOna huyu anaongopa mchana kweupe.
Germany alipeleka leopard tanks za aina mbili pale Ukraine.
Leopard 1 250+.
Leopard 2 130+.
Ukiachana na hivyo hizo patriot missiles defence system zilipopelekwa hawakukabidhiwa tu hao Ukraine wakaanza kuzitumia bali kuna wanajeshi ambao walikuwa wakiwafundisha na kuwapa mafunzo ya hizo defence system na wao wakishiriki pia.
Sio kila silaha ambayo Ukraien alipewa alifikia tu kuitumia,zingine wahusika walikua wakim monitor kuzitumia.
NATO imekua ikimpa sapoti Ukraine politically and economically unconditional aid hadi sasa.
Hivyo ni sawa na kusema Russia anapigana na NATO.
Kwasababu nchi za mataifa ya EU/NATO zimekua zikituma silaha na rasilimali watu wa kuziongoza hizo silaha hadi leo hii.
Ulitakiwa ulete taarifa hii.
Kwani katika kauli zangu nimesema wametumwa askari kupigana??Hakuna nchi imetuma askari Ukraine kupigana na Russia kutoa mafunzo ni kweli wanatoa ila nje ya Ukraine mfano kurusha ndege za F16 kuifupi Russia amefeli
Acha kujikomba mpumbavu wewe.Loading…
www.reuters.com
Nyie huwa hamsikii mpaka mgongwe nyuma ndo akili inapanda juu