Ukraine sasa iko katika vita kamili vya kujikomboa

Kijeshi au kivita, Mrusi kapoteza zaidi kwa askari wengi na vifaa vingi (vifaru + ndege) kuangamizwa.

Ukraine imepoteza zaidi kwa miundombinu, majengo mengi kubomolewa, raia wengi kuuawa na kukimbilia uhamishoni.

Morali na kujitolea kupambana nako unakuzungumzia je?
 
Ukraine anabahati mbaya sana. Atapondwapondwa mpaka nukta ya mwisho. Hakuna kitu kitasalia. Lawama zote ziende kwa Zelensky, alitakiwa kukaa pamoja na Putin wayamalize.
Akae pamoja na mvamizi! Akili za kicomunist buana! Yaani Nyerere alitakiwa akae pamoja na nduli amini.
 
German, UK, France n.k zimemuacha mbali kiuchumi Russia. Na si tu kiuchumi, hata kiteknolojia. Product za Ulaya sio za kitoto kabisa.

Ukiondoa Manuclear, tukisema zichapwe kawaida tu, UK au German au France, wanaingia mpaka Moscow mapema sana.
 
USA kama yeye mbabe wa Dunia arushe hata risasi Moja katika Ardhi ya Russia halafu washirika wake wakae pembeni vita ipigwe Kati yake na Russia tuone mbabe Nani?...
Kwanini Russia asirushe Alaska afu aseme lilikuwa eneo lake la zamani ndo maana amerusha
 
Kijeshi au kivita, Mrusi kapoteza zaidi kwa askari wengi na vifaa vingi (vifaru + ndege) kuangamizwa.

Ukraine imepoteza zaidi kwa miundombinu, majengo mengi kubomolewa, raia wengi kuuawa na kukimbilia uhamishoni.
Kama uchaguzi ukifanyika Ukraine huyu raisi wa sasa hapati kitu.
 
German, UK, France n.k zimemuacha mbali kiuchumi Russia. Na si tu kiuchumi, hata kiteknolojia. Product za Ulaya sio za kitoto kabisa.

Ukiondoa Manuclear, tukisema zichapwe kawaida tu, UK au German au France, wanaingia mpaka Moscow mapema sana.
Russia ni kama kiduku tu, wanajivunia nuclear lakini kavukavu hamna kitu
 
Mungu hawezi kubariki mvamizi, ndo maana Hadi Sasa anapelekewa moto.
Inaonekana jana usiku ulipelekewa moto mpaka wenge limekushika asa unaona na ursi nae anapelewa moto em kaa kwa kutulia afu washa feny jipepelee kwanza huo usweetest ...upoe kwanza maana bado una wenge la jana.....
 
Morali na kujitolea kupambana nako unakuzungumzia je?

Certainly, Ukraine ni zaidi. Urusi wameonyesha udhaifu mkubwa. Tegemeo lao kubwa ni ndege, mizinga na makombora. Ground combat wanazidiwa na Ukraine.
 
Inaonekana jana usiku ulipelekewa moto mpaka wenge limekushika asa unaona na ursi nae anapelewa moto em kaa kwa kutulia afu washa feny jipepelee kwanza huo usweetest ...upoe kwanza maana bado una wenge la jana.....
Unatype huku umeshikishwa ukuta, mwambie huyo Basha achomoe kwanza uandike vizuri.
 
Certainly, Ukraine ni zaidi. Urusi wameonyesha udhaifu mkubwa. Tegemeo lao kubwa ni ndege, mizinga na makombora. Ground combat wanazidiwa na Ukraine.

Wanapambana na yatima aliyetayari kujilinda hata kwa mawe.

Wako tayari kuuwa wangapi?
 
Hivi mtu kama huyu alichaguliwaje kua rais?
 
Inaonekana jana usiku ulipelekewa moto mpaka wenge limekushika asa unaona na ursi nae anapelewa moto em kaa kwa kutulia afu washa feny jipepelee kwanza huo usweetest ...upoe kwanza maana bado una wenge la jana.....
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] aiseee
 
Hasahasa hawa wavaa makobasi. Na mwezi huu wapo kwenye mfungo sijui watafuturu na uji wa mahindi maana bidhaa bei zake zipo juu.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…