Ukraine sasa iko katika vita kamili vya kujikomboa

Ukraine sasa iko katika vita kamili vya kujikomboa

Poland anamtamani wapi Russia nakati alipoambiwa na USA apeleke majeshi yake ya NATO Ukraine alikataa na kudai hayuko tayari kupeleka majeshi ya NATO [emoji848][emoji4]

Poland alisisitiza tena, "ikiwa USA yuko tayari kupeleka majeshi ya NATO basi Poland apeleke hayo majeshi ya NATO pale Germany kisha USA akayachukulie pale Germany"

Sasa wewe Mmarekani mweusi toka Matombo unajifanya unaijua sana Poland kuliko Poland inavyojijua yenyewe [emoji1787]
Majeshi au Ndege vita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Limbukeni sana wewe kuna vitu vimekuzidi uelewa unaanika ujinga wako hapa
Si unaona ulivyo boya,Mimi nimeitwa na yule jamaa Ni Mjumbe wa shetani na ww ukasema jamaa ametumia lugha nzuri,na Mimi nikakuita wewe Ni agent wa shetani nione response yako naona Sasa uko unapiga mayowe.

Kaa na Mumeo akuondoe wenge.
 
Naam humu namo kuna vita kama ya Shetani (mabaya) na Mungu (mema)
Na mashetani wanajulikana hapo,Ni ule upande unaolazimisha watu wawe mashoga na wasagaji na kulipigia debe suala hilo ambapo upande huo ni US/NATO na mashabiki wao popote pale walipo duniani.
 
Ni kweli kabisa nyie wengine mnatoka kwa royal familie huenda vita kwenu ni burudani lakini kwasisi wengine vita inatuumiza.

Kuna siku utakuja kugundua wewe ndio muathirika mkuu wa hii vita kuliko hata Russia na Ukraine.
😄😄😄😄 Labda nimetoka 'Loyal family' na sio royal family.
 
USA kama yeye mbabe wa Dunia arushe hata risasi Moja katika Ardhi ya Russia halafu washirika wake wakae pembeni vita ipigwe Kati yake na Russia tuone mbabe Nani?...
Ni ivyo ivyo Russia hawezi kurusha hata bunduki pale Poland tuuuuu, anaogopa atapigwa na kitu kizito kichwani

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Uongo uongo... Hakuna nchi inaweza kutangaza kitu kama hicho hata km kina ukweli.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Basi hizo habari zote nitakua nimeziandika Mimi kutoka kichwani kwangu [emoji1][emoji1][emoji1]

Liar liar liar [emoji1][emoji1][emoji1]
Screenshot_20220408-110740.jpg
 
Russia alikuwa anatoa vifaa chakavu store....
hajaanza kutumia silaha zake za kisasa
kwa kifupi Russia alikuwa anatafuta shimo la taka akatupe uchafu......
Kwa hiyo wameamua ku clear ghafla la silaha za kizamani na kuwatoa muhanga Askari wake wa kirusi kuuawa kama kuku Ukraine ?

Amewapa vifaa Chakavu wakateketee Ukraine? Huoni kuwa hapo Putin ni muuaji wa Askari wake?
 
Back
Top Bottom