Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kwa hiyo ndio aachwe tu avamie nchi nyingine. Kuvamia nchi nyingine siyo sawa - iwe na Russia ama USA.
Hivi wewe unajua Hypersonic ni kitu gani hadi imepewa hilo jina??--- usijifanye unajua kumbe hujui kitu.
Hypersonic ni kifaa au injini inayopaa angani na kukimbia mara 5 na Zaidi ya hapo kuliko mwendokasi wa sauti, ni Russia pekee ndiye mwenye Injini za uwezo huo duniani, ingine hizo zinauwezo wa kubeba silaha za Nyuklia na hakuna defensive shield yoyote kwa muda huu inayoweza kuizuia hiyo Hypersonic , hata defense za mrusi mwenyewe S-500 ambazo ni bora kuliko defensive zote haziwezi kuzuia Hypersonic, Mrusi kwa maana hiyo ana Upper hand dhidi ya nchi yoyote pindi ikitokea the "'press button war'.