Ukraine sasa iko katika vita kamili vya kujikomboa

Kwani hizo hypersonic hazijatumika kwenye hii vita au wewe umeanza kufuatilia jana hii vita? Zimetumika na hakuna jipya zaidi ya kasi yake ya kufikia target husika kwa haraka,lakini madhara yake ni madogo sana zinazidiwa hata na Tomahawk Missile.



Hypersonic ni jet Engine inayokimbia kwa kuanzia 5 mach na zaidi kuliko kasi ya sauti na inaweza kubeba Nuke heads, hofu kubwa ni pale ambapo hypersonic itatumika kubeba hivyo vichwa vya nuclear au cluster bombs.

Hypersonic kimsingi ni kama gari linaloweza kubeba mabomu na kuyapeleka kwa kasi kubwa kwenye target.
 
Soma hiyo
 

Kwamba apigwe mtu asipigwe kwa vile si wewe haikuhusu. Huo ni ubinafsi na ndipo ulipo msingi wa hoja:

"Haki kwa albino, bibi kuzeeka usukumani, haki elimu, haki ardhi, haki katiba nk."

Hii si ushabiki wa vita. Hii ni kutambua ukiukwaji wa haki na mazaga zaga yake.

Wewe kwako muhimu ni mazaga zaga peke yake?
 
Russia ni kidume wa kweli. NATO imeundwa na USA ili kukabiliana na Russia. NATO wangekubali tu kuficha aibu kwa kjtaka hii vita iishe mapema kwani katika hali yoyote ile ktk hii vita Russia atawavuruga vibaya sana.

Naona sasa USA analazimisha dunia nzima iwe upande wake anafikilia watu wote ni wapumbavu. Sasahivi kwa kulazimisha sapoti amekuja na vitisho vya kukata misaada ya 40%


Kwenye hii vita nato wameingia cha kike wamepata aibu kubwa na ndio maana wana haha kutaka sapoti ya dunia nzima
 
Kumbe wewe jamaa ni mgeni hufahamu haya mambo?!

No fly zone unaifafanuaje?

Unafikiri Zelensky alivyokuwa anaiomba alirukwa na akili?

Wewe ndiye unayeifahamu no fly zone ambayo Ukraine haiiombi tena?

Hiiiiii bagosha!

Nisiache kukukumbusha hapa si maneno yangu bali ni ya Ukraine. Au wewe sasa ndiyo unadhani wamerukwa na akili?

 
Keyboard warriors [emoji16]
 
Russia is overrated kabisa
 
Haiombi tena sababu walimwambia wazi kwamba hawawezi kueka No fly zone wanaogopa

Hudhani kuwa ni kwa sababu sasa hivi parameters zote kwa sasa zina eleweka sawa sawa?

Hudhani kuwa ndiyo sababu kwenye red kuna husika:

 
Wanajikomboa na nini ?.Mrusi apumzike halafu aendelee kumuwinda Zelensky.Ameitia dunia katika shida ili kufanikisha uyahudi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…