Ukraine sasa iko katika vita kamili vya kujikomboa

Yeah ndo ugum, ukiwa hypersonic na kuwa acurate ni ngum, ila ndege zaidi ya match 5 zipo, fatilia hypersonic fighters, sema hyo speed ni katika short bursts
 
Mnafatilia hii vita lakini.maana hao ukraine mnaowasema kazi yao ni ku defence wala sio kushambulia ndo maana kila baada ya muda utasikia warusi wamechukua mji fulani.ukraine wao wanapigana kwa kuvizia
Atavuna alichopanda. Siyo Donbas na Lohansk peke yake kumbe jamaa wanaitaka na Crimea kabisa.

Kumbe ndiyo sababu ya mabio yote kurejea nyuma ili kujizatiti kwanza kwenye matatu hayo.

Kazi anayo.
 
Poland anamtamani wapi Russia nakati alipoambiwa na USA apeleke majeshi yake ya NATO Ukraine alikataa na kudai hayuko tayari kupeleka majeshi ya NATO [emoji848][emoji4]

Poland alisisitiza tena, "ikiwa USA yuko tayari kupeleka majeshi ya NATO basi Poland apeleke hayo majeshi ya NATO pale Germany kisha USA akayachukulie pale Germany"

Sasa wewe Mmarekani mweusi toka Matombo unajifanya unaijua sana Poland kuliko Poland inavyojijua yenyewe [emoji1787]
 
Hivi ilikuweje Ukraine wakakapa haka kanjemba uraisi!!???
yani kama hapa bongo tukape uraisi Ka stiv Nyerere utakuwa ni utaahira!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni sawa na sisi tulivyompa urais mtu kama Jiwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inafurahisha hii vita ambavyo wamatumbi wanaigeuza kuwa ya kidini! Hii sio Crusade war labda tukumbushane hilo maana tunaoumia ni sisi ambao hatushabikii huu umwinyi.


Maandazi siku hizi sh mia tano, mafuta ya kupikia bei ya Tanzanite, sio muda tutaacha kutumia usafiri wa umma maana nauli tunakoelekea hazishikiki.

Narudia tena hii vita atakayeumia zaidi ni Africa kuliko hata Ukraine na Russia, Endeleeni kushabikia ujinga ila nawahakikishia itafika muda humu wote mtakaa kimya baada ya kugundua mlikuwa mnaadvocate umbwiga!.
 
Tukaaminishwa ndani ya siku tatu Ukraine itakua chali.

Ikaja wiki.

Wakasema kesho tu Putin anamaliza kazi.

Moto unazidi kuwaka.

Bei za vitu zinapaa.

Raia wamekomaa kusema vita iendelee
 
Vita iendelee.
 
Tukaaminishwa ndani ya siku tatu Ukraine itakua chali.

Ikaja wiki.

Wakasema kesho tu Putin anamaliza kazi.

Moto unazidi kuwaka.

Bei za vitu zinapaa.

Raia wamekomaa kusema vita iendelee
Aliyekuaminisha ndani ya siku 3 Ukraine itakua chali Ni Nani?
 
Vita vyote ni kwa maslahi ya watawala, wahanga wakubwa ni wananchi waliowachagua pamoja na watoto...wakati familia za wanasisa zikiwa mahala salama..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni sawa na sisi tulivyompa urais mtu kama Jiwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jiwe hakuwa komedian jifunze kutofautisha vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…