Ukraine sasa kwisha kazi na vita iko karibu kusimamishwa

Ukraine sasa kwisha kazi na vita iko karibu kusimamishwa

Zelensky ni demu wa kizaramo
Nawapenda sana hao mademu
Hata kama vita itaisha leo, Urusi ameaibika sana. Ameishadhiirika majigambo yake yote si lolote si chochote.
Una mawazo ya mgando sana.Urusi imeshakalia miji na kila siku anasonga mbele wewe unasema ameaibika.Walioaibika ni NATO na Ulaya wanaolia njaa.
 
Zelensiky angejifunza kwa vita ya 2008 Russo-Georgia war! Marekani na nchi za Ulaya ziliipa silaha nzuri Georgia lakini hazikusaidia. Matokeo yake mpaka Rais wa Georgia alikimbia na tunavyozungumza leo Marekani na Washirika wake walishaikimbia Georgia.
 
Ukitilia maanani ushauri wa Henry Kissinger na kusikia kauli za kukata tamaa kwa viongozi wa Ukraine utaona ya kuwa Ukraine imeishiwa nguvu na haina tena wa kuisaidia. Hii inaweza ikawa ni habari nzuri kwa nchi za Ulaya na Ulimwengu kwa jumla kutokana na shida ambazo zimetokana na kuzuka vita hivyo baina ya Ukraine na Urusi. Kauli hizo za Ukraine ni kama hizi hapa chini,kwa hisani ya Aljazeera.Nyongeza kwa lugha ya Kiswahili ni zangu mimi Ami.
  • Ukraine appeals for its allies to urgently supply it with multiple-launch rocket systems as fighting rages in the country’s eastern Donbas region.
  • (Vita vimepamba moto ndiyo kwanza anaomba silaha}
  • Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy accuses Western countries of lacking “unity” over the war, citing differing positions on weapons supplies to Kyiv and disagreements within the NATO military alliance.
  • (Kwa kauli hiyo ni kama amewadharau sana NATO na karibu ya kusema kama hamuwezi kusaidia na mimi naondoka zangu)
Dogo angekuwa mjanja angesalimu amri na kunyoosha mikono juu,akiomba vita visite pia ,alichochukua mrusi Hadi Sasa aishie hapo hapo wake mezani wakubaliane.Bila Hivyo ata mshawishi mrusi aichukue Hata Ikulu ya kyvi🤔 akose Hata pakuishi🚶
 
Nawapenda sana hao mademu

Una mawazo ya mgando sana.Urusi imeshakalia miji na kila siku anasonga mbele wewe unasema ameaibika.Walioaibika ni NATO na Ulaya wanaolia njaa.
Inategemea na uwelewa wako. Wewe una nguvu na unapigana na mtu dhaifu halafu unatmia miezi mitano kupigana na hujui vita itaisha lini? Angepigana na Marekani je?
 
Dogo angekuwa mjanja angesalimu amri na kunyoosha mikono juu,akiomba vita visite pia ,alichochukua mrusi Hadi Sasa aishie hapo hapo wake mezani wakubaliane.Bila Hivyo ata mshawishi mrusi aichukue Hata Ikulu ya kyvi🤔 akose Hata pakuishi🚶
Mwishowe atakimbilia Poland. aanze kubwka bweka kutokea huko.Na afanye haraka wakati njia za vichchoroni ziko wazi.
 
Vita ya masaa 48 imegeuka ya miezi 3 na kuchukua jimbo moja warusi bure kabisa
 
Hata kama vita itaisha leo, Urusi ameaibika sana. Ameishadhiirika majigambo yake yote si lolote si chochote.
Mbona Marekani aliaibika kwa vinchi kama Afghanistan na Vietnam? Na ukubwa wake akaamua kutimua mbio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanataka vita iendelee wewe unaleta mambo Yako. Vita hiyo Putin lazima asalimu amri
Mleta mada kesha pagawa na hii vita, kila akilala akimka anakuja na alilonalo kichwani anabandika hapa,hii vita haiishi leo wala kesho
 
Zelensky inabidi akubali tu kuwa Marekani na EU walimwingiza mkenge akakubali kuchezea sharubu za Urusi kwa kuahidiwa ahadi nya uongo kuwa Ukraine itaingizwa NATO haraka kwa hiyo Urusi haitothubutu kumshambulia!! Lakini anachokiona sasa ni kuwa NATO haingizwi na wanaishia kumpa tu silaha za mkopo kwa nchi yake!! Ni vizuri akashtuka mapema!!
[emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23] hadithi njoo
 
Sasa ka Zelensky kenyewe kila siku kupiga domo huku nchi inazidi kuangamia tukaiteje?

Mwanaume ni lazima alete tangible results mezani. Siyo mtu kila kukicha maneno matupu bila kitu kinachoonekana
Huyo Mwenye mbishi kwani marekani na Poland waliokuwa wazi na kumshauri kuwa yeye ndiye atakae amua hatma yanchi yake Tena kupitia mazungumzo ya amani,japo walijiepusha kusema ukweli kama kupitia njia ya mapambano walishaona dalili ya maji kuzidi unga hasa Hali ya kukosekana ushirikiano wa dhati na makubaliano ya pamoja ya Nato ya njia ya kuikabili mgogoro huu🤔
 
Back
Top Bottom