manning
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 5,078
- 11,930
Mkuu acha roho ikuume maisha ndivyo yalivyo, shilingi Ina pande mbili vumilia mkuu.Mod ondoa hizi propaganda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha roho ikuume maisha ndivyo yalivyo, shilingi Ina pande mbili vumilia mkuu.Mod ondoa hizi propaganda
Anaesema mwanaume alete tangible results huwa anakimbizwa na panya road anakimbiza kitambi chake.Sasa ka Zelensky kenyewe kila siku kupiga domo huku nchi inazidi kuangamia tukaiteje?
Mwanaume ni lazima alete tangible results mezani. Siyo mtu kila kukicha maneno matupu bila kitu kinachoonekana
Wewe mpaka hii vita iishe utakuwa ushachoka sana,nashangaa kama huwa hata unapata muda wa kunywa maji [emoji3]Labda unazungumzia Putin wa Buza
Unadhani mpaka anafilisika Ukraine itakywepo?Hivi vita kimkakati vitaendelea hadi Putin anaondoshwa madarakani au Urusi ifilisike kutokana na gharama za vita. Gharama za vita Marekani na washirika ni nafuu kutokano kuchangia kwa pamoja washirika zaidi ya Thelathini.
Chanzo cha habar yako?Turkey [emoji1250] kasema hataki ujinga wa fini na swid kwani wanaadhili magaidi pia bwana Josefu Biden anasema anaenda kuilinda Taiwan, china kamwambia usiletee umama kaanza kuizunguka Taiwan na manoari wakifanya mazoezi kwamaana hiyo Ukraine katoka! na mapanki kaliamsha leo baada ya Joseph Biden kupanda ndege akavurumisha makombora ya masafa hii inàmaana kuna ushirika wa watu 3 China,North Korea na urusi nato kashindwa kuingia Ukraine kwakuwa walisema Nato ikiingia na sisi teunaingia kamili nato kaufyata na hawa jamaa wa3 wanawashwa kweli kutest MA ICBM maana hawajaona zinavyoleta madhara na wazungu walivyo waonga, wanaongea katika vikao kuwa tumfunze adabu wakitawanyika wanapigiana simu bwanaehe huyo dogo mwache apambane mwenyewe nchi zetu tunazipenda, hawa watu 3 vichwa vyao siyo,wanaweza kutuvurumushia mabom! Hebu tulieni.
Kinacho nisikitisha mimi ni kwamba hata mambo ya kutumia akili ya kawaida tu hatuna? Hatupati habari ambazo ni chanya kwa Urusi ju ya vita hi, nyingi ni zile HASI tu; kitu ambacho hawa wa Ukraine wa kwa mtogole, hawana uwezo hata wa kutafsiri kinacho endelea? India ana nunua mafuta kutoka Urusi todate, means kule kwao maisha yanaendelea kama kawaida, hivi hata hili tunataka hadi tusome au tuambiwe na mtu? Ina udhi sana kua na watu ambao kichwani wapo empty namna hiUkiwasikiliza wa Ukraine wa ulaya na marekani utasema Urusi inaenda pinduliwa muda wowote🤸.Kumbe wote wametiwa kwenye kikaango Cha Mrusi wanaiva kama samaki😝
Pole MKUU[emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji23]Hata kama vita itaisha leo, Urusi ameaibika sana. Ameishadhiirika majigambo yake yote si lolote si chochote.
Ha ha ha....Turkey [emoji1250] kasema hataki ujinga wa fini na swid kwani wanaadhili magaidi pia bwana Josefu Biden anasema anaenda kuilinda Taiwan, china kamwambia usiletee umama kaanza kuizunguka Taiwan na manoari wakifanya mazoezi kwamaana hiyo Ukraine katoka! na mapanki kaliamsha leo baada ya Joseph Biden kupanda ndege akavurumisha makombora ya masafa hii inàmaana kuna ushirika wa watu 3 China,North Korea na urusi nato kashindwa kuingia Ukraine kwakuwa walisema Nato ikiingia na sisi teunaingia kamili nato kaufyata na hawa jamaa wa3 wanawashwa kweli kutest MA ICBM maana hawajaona zinavyoleta madhara na wazungu walivyo waonga, wanaongea katika vikao kuwa tumfunze adabu wakitawanyika wanapigiana simu bwanaehe huyo dogo mwache apambane mwenyewe nchi zetu tunazipenda, hawa watu 3 vichwa vyao siyo,wanaweza kutuvurumushia mabom! Hebu tulieni.
Maneno mengi mdomoni[emoji28]Zelensky ni demu wa kizaramo
Danganya Toto hii
Putin anapelekewa Moto sio kitoto
Muda sio mrefu watu wanaingia Moscow
Angetaka kuua angeua tu nchi nzima kwa makombora yake ya maamgamizi na hao Ukraine wasingekuwa na muda hata wa kuomba majiHata kama vita itaisha leo, Urusi ameaibika sana. Ameishadhiirika majigambo yake yote si lolote si chochote.
Hivi haya mawazo mnayatoaga wapi? Yaani aangamize tu na dunia ibaki inamwangalia? By the way, Russia ndio yenye silaha za maangamizi pekee?Angetaka kuua angeua tu nchi nzima kwa makombora yake ya maamgamizi na hao Ukraine wasingekuwa na muda hata wa kuomba maji
Uraaaa!Putin anawanyoosha kweli kweli safi sana pro Russian tujipongeze
KYIV nisuala la muda tuuu!!!!!“NATO as an alliance, as an institution, is completely sidelined and doing literally nothing. I’m sorry to say it,” kwa kauli hio ni bora Zelensky akubaliane na matakwa ya Russia. Vinginevyo hata Kyev itatekwa muda si mrefu
Yaani Poland naye anachukua chake kutoka Ukraine.The Polish army has begun deploying its troops along the Ukrainian border to occupy western Ukraine. Belarus's president has said that if #Poland launches a military operation in #Ukraine, #Belarus will launch an offensive in the western part of the country.
#UkraineRussiaWar https://t.co/rVNl4tjzsnView attachment 2242331
Huyu jamaa hana kauli za heshima kwa watu.Hata NATO wangekuwa wanataka wamsaidie kwa matusi haya watasita na wataogopa kusaidia mtu ambaye akishinda hatawashukuru. Tangu siku ya mwanzo matusi yake ni kama hayo.“NATO as an alliance, as an institution, is completely sidelined and doing literally nothing. I’m sorry to say it,” kwa kauli hio ni bora Zelensky akubaliane na matakwa ya Russia. Vinginevyo hata Kyev itatekwa muda si mrefu