Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ttzo unamshabikia Putin na humfuatiliiKana maneno tele mdomoni kama kazaramo,,,,nchi inamegwa tu!
kwavile wamejivamia ?wavaa kobaz akili zpo low snAkili imewakaa vizuri,they're the cause of suffering duniani sasa,Europe,america,Africa kote wanalia,Ukraine effect
Kule kutimka kutoka Afghanistan ndio kwa aibu zaidi.Mbona Marekani aliaibika kwa vinchi kama Afghanistan na Vietnam? Na ukubwa wake akaamua kutimua mbio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mfano nani dhaifu kati ya USA na washirika wake dhidi ya Watalaban,watu wasio na vifaru,airforce,wala navy?Inategemea na uwelewa wako. Wewe una nguvu na unapigana na mtu dhaifu halafu unatmia miezi mitano kupigana na hujui vita itaisha lini? Angepigana na Marekani je?
Labda moscow ya kinondoni,Danganya Toto hii
Putin anapelekewa Moto sio kitoto
Muda sio mrefu watu wanaingia Moscow
Unaongelea Afghanistan kwa wababe .Kule kutimka kutoka Afghanistan ndio kwa aibu zaidi.
Hili taifa sasa ni aibu tupu. Wana mda mrefu hawajapata ushindi kote walikopeleka jeshi.Unaongelea Afghanistan kwa wababe .
USA ilitimka "somalia".
wakupimwa🧠 wewe sio mzima💩💩👌Watu wanataka vita iendelee wewe unaleta mambo Yako. Vita hiyo Putin lazima asalimu amri
Hivi vita kimkakati vitaendelea hadi Putin anaondoshwa madarakani au Urusi ifilisike kutokana na gharama za vita. Gharama za vita Marekani na washirika ni nafuu kutokano kuchangia kwa pamoja washirika zaidi ya Thelathini.Hata kama vita itaisha leo, Urusi ameaibika sana. Ameishadhiirika majigambo yake yote si lolote si chochote.
Ukitilia maanani ushauri wa Henry Kissinger na kusikia kauli za kukata tamaa kwa viongozi wa Ukraine utaona ya kuwa Ukraine imeishiwa nguvu na haina tena wa kuisaidia. Hii inaweza ikawa ni habari nzuri kwa nchi za Ulaya na Ulimwengu kwa jumla kutokana na shida ambazo zimetokana na kuzuka vita hivyo baina ya Ukraine na Urusi. Kauli hizo za Ukraine ni kama hizi hapa chini,kwa hisani ya Aljazeera.Nyongeza kwa lugha ya Kiswahili ni zangu mimi Ami.
- Ukraine appeals for its allies to urgently supply it with multiple-launch rocket systems as fighting rages in the country’s eastern Donbas region.
- (Vita vimepamba moto ndiyo kwanza anaomba silaha}
- Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy accuses Western countries of lacking “unity” over the war, citing differing positions on weapons supplies to Kyiv and disagreements within the NATO military alliance.
- (Kwa kauli hiyo ni kama amewadharau sana NATO na karibu ya kusema kama hamuwezi kusaidia na mimi naondoka zangu)
Unaambiwa katika majasusi ya kremlin Putin ndio mpole. Kuna mrithi wa Putin anatajwa bwana Nikolai Petrushev kuwa ni katili zaidi huyu ndio angekuwa raisi wa Russia basi NATO wangekuwa wamesambaratishwa vibaya mnoHivi vita kimkakati vitaendelea hadi Putin anaondoshwa madarakani au Urusi ifilisike kutokana na gharama za vita. Gharama za vita Marekani na washirika ni nafuu kutokano kuchangia kwa pamoja washirika zaidi ya Thelathini.
Kwahiyo hii ni WWIII?Kwani ulisoma hata historia ya vita 1 au ya pili ya Dunia,vilichukua muda Gani🤔
Nimetaka ufanye rejea ya muda uliotumikaKwahiyo hii ni WWIII?
Mod ondoa hizi propagandaUkitilia maanani ushauri wa Henry Kissinger na kusikia kauli za kukata tamaa kwa viongozi wa Ukraine utaona ya kuwa Ukraine imeishiwa nguvu na haina tena wa kuisaidia. Hii inaweza ikawa ni habari nzuri kwa nchi za Ulaya na Ulimwengu kwa jumla kutokana na shida ambazo zimetokana na kuzuka vita hivyo baina ya Ukraine na Urusi. Kauli hizo za Ukraine ni kama hizi hapa chini,kwa hisani ya Aljazeera.Nyongeza kwa lugha ya Kiswahili ni zangu mimi Ami.
- Ukraine appeals for its allies to urgently supply it with multiple-launch rocket systems as fighting rages in the country’s eastern Donbas region.
- (Vita vimepamba moto ndiyo kwanza anaomba silaha}
- Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy accuses Western countries of lacking “unity” over the war, citing differing positions on weapons supplies to Kyiv and disagreements within the NATO military alliance.
- (Kwa kauli hiyo ni kama amewadharau sana NATO na karibu ya kusema kama hamuwezi kusaidia na mimi naondoka zangu)
Ukiwasikiliza wa Ukraine wa ulaya na marekani utasema Urusi inaenda pinduliwa muda wowote🤸.Kumbe wote wametiwa kwenye kikaango Cha Mrusi wanaiva kama samaki😝Vita ina propaganda nyingi sana, propaganda nyingi zipo kwenye media; ukivisoma vyombo vya habari vya magharibi vilikua vvinaonesha kwamba Urusi/Putin wameelemewa sana na Ukraine, binafsi nilikua siamini propaganda zile, why? Jibu ni rahisi tu, kama kweli Russia alikua kaelemewa, why bandari za Ukraine zote zilikua zimepigwa ban na mshkaji hadi NGANO isisafiri? Why almost all Ukraineans exports zilisimama na nchi ikawa haina cha kuuza nje ya nchi? Why pia vita ipiganwe upande mmoja tu, Moscow watu waendelee na maisha as if nchi yao haipo vitani? Huo ulikua ni mtazamo wangu, now here we go, chombo kingine cha habari ambacho kwa muda mrefu kilikua kimejijengea sana heshima ya kuongea ukweli na chenyewe nacho ni kama kilitekwa na Western culture kuhusu vita hi, sijui ilikua ni kwasababu ya kombe la dunia ambalo linakwenda kufanyikia nchi mwao? Now na wenyewe wamechoka kuongea UONGO, wameanza kuusema ukweli.
My take; Urusi kadhihirisha kwamba kwasasa yeye ndio mbabe wa dunia hi when it comes to the military issues; USA aliyedhaniwa hivo kwa muda mrefu, hajawahi kupigana mwenyewe, kote amekua anaomba kolabo na rafiki zake ambao nao ni matajiri hasa, Uingere, Spain, Italy nk; this time, Russia kapigana na hao wote na kawashinda!
Labda unazungumzia Putin wa BuzaPlans za Putin zimefeli, ameshindwa kuteka ukraine,ameshindwa kumtoa Zelesky na kumweka Rais wake . Kuendelea na vita ameshindwa,kuacha vita ameshindwa pia maana uchumi umedorora na hata akiacha vita vikwazo viko pale pale