Ukraine sasa kwisha kazi na vita iko karibu kusimamishwa

Ukraine sasa kwisha kazi na vita iko karibu kusimamishwa

Huyu jamaa hana kauli za heshima kwa watu.Hata NATO wangekuwa wanataka wamsaidie kwa matusi haya watasita na wataogopa kusaidia mtu ambaye akishinda hatawashukuru. Tangu siku ya mwanzo matusi yake ni kama hayo.
Aliwahi kuwaita Cowards
 
Kinacho nisikitisha mimi ni kwamba hata mambo ya kutumia akili ya kawaida tu hatuna? Hatupati habari ambazo ni chanya kwa Urusi ju ya vita hi, nyingi ni zile HASI tu; kitu ambacho hawa wa Ukraine wa kwa mtogole, hawana uwezo hata wa kutafsiri kinacho endelea? India ana nunua mafuta kutoka Urusi todate, means kule kwao maisha yanaendelea kama kawaida, hivi hata hili tunataka hadi tusome au tuambiwe na mtu? Ina udhi sana kua na watu ambao kichwani wapo empty namna hi
Kijiji bila ya Mwehu hakijakamilika
 
Vita ina propaganda nyingi sana, propaganda nyingi zipo kwenye media; ukivisoma vyombo vya habari vya magharibi vilikua vvinaonesha kwamba Urusi/Putin wameelemewa sana na Ukraine, binafsi nilikua siamini propaganda zile, why? Jibu ni rahisi tu, kama kweli Russia alikua kaelemewa, why bandari za Ukraine zote zilikua zimepigwa ban na mshkaji hadi NGANO isisafiri? Why almost all Ukraineans exports zilisimama na nchi ikawa haina cha kuuza nje ya nchi? Why pia vita ipiganwe upande mmoja tu, Moscow watu waendelee na maisha as if nchi yao haipo vitani? Huo ulikua ni mtazamo wangu, now here we go, chombo kingine cha habari ambacho kwa muda mrefu kilikua kimejijengea sana heshima ya kuongea ukweli na chenyewe nacho ni kama kilitekwa na Western culture kuhusu vita hi, sijui ilikua ni kwasababu ya kombe la dunia ambalo linakwenda kufanyikia nchi mwao? Now na wenyewe wamechoka kuongea UONGO, wameanza kuusema ukweli.

My take; Urusi kadhihirisha kwamba kwasasa yeye ndio mbabe wa dunia hi when it comes to the military issues; USA aliyedhaniwa hivo kwa muda mrefu, hajawahi kupigana mwenyewe, kote amekua anaomba kolabo na rafiki zake ambao nao ni matajiri hasa, Uingere, Spain, Italy nk; this time, Russia kapigana na hao wote na kawashinda!
Pesa ya urusi imepanda kwa 40% na imeizidi pesa ya marekani sasa Zelinsky anaomba mazungumzo tena sasa Puttin kasema huyu dogo hata sijui anataka nini! Maana mazungumzo kayaharibu mwenyewe kwa kudanganywa na marekani na eu sasa mwache ahangaike...hapo hapo iran imezindua drone zenye makombora ya masafa marefu! na zinaweza kwenda urusi!
 
Back
Top Bottom