Nawapenda sana hao mademuZelensky ni demu wa kizaramo
Una mawazo ya mgando sana.Urusi imeshakalia miji na kila siku anasonga mbele wewe unasema ameaibika.Walioaibika ni NATO na Ulaya wanaolia njaa.Hata kama vita itaisha leo, Urusi ameaibika sana. Ameishadhiirika majigambo yake yote si lolote si chochote.
Dogo angekuwa mjanja angesalimu amri na kunyoosha mikono juu,akiomba vita visite pia ,alichochukua mrusi Hadi Sasa aishie hapo hapo wake mezani wakubaliane.Bila Hivyo ata mshawishi mrusi aichukue Hata Ikulu ya kyvi🤔 akose Hata pakuishi🚶Ukitilia maanani ushauri wa Henry Kissinger na kusikia kauli za kukata tamaa kwa viongozi wa Ukraine utaona ya kuwa Ukraine imeishiwa nguvu na haina tena wa kuisaidia. Hii inaweza ikawa ni habari nzuri kwa nchi za Ulaya na Ulimwengu kwa jumla kutokana na shida ambazo zimetokana na kuzuka vita hivyo baina ya Ukraine na Urusi. Kauli hizo za Ukraine ni kama hizi hapa chini,kwa hisani ya Aljazeera.Nyongeza kwa lugha ya Kiswahili ni zangu mimi Ami.
- Ukraine appeals for its allies to urgently supply it with multiple-launch rocket systems as fighting rages in the country’s eastern Donbas region.
- (Vita vimepamba moto ndiyo kwanza anaomba silaha}
- Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy accuses Western countries of lacking “unity” over the war, citing differing positions on weapons supplies to Kyiv and disagreements within the NATO military alliance.
- (Kwa kauli hiyo ni kama amewadharau sana NATO na karibu ya kusema kama hamuwezi kusaidia na mimi naondoka zangu)
Inategemea na uwelewa wako. Wewe una nguvu na unapigana na mtu dhaifu halafu unatmia miezi mitano kupigana na hujui vita itaisha lini? Angepigana na Marekani je?Nawapenda sana hao mademu
Una mawazo ya mgando sana.Urusi imeshakalia miji na kila siku anasonga mbele wewe unasema ameaibika.Walioaibika ni NATO na Ulaya wanaolia njaa.
Kwani ulisoma hata historia ya vita 1 au ya pili ya Dunia,vilichukua muda Gani🤔Inategemea na uwelewa wako. Wewe una nguvu na unapigana na mtu dhaifu halafu unatmia miezi mitano kupigana na hujui vita itaisha lini? Angepigana na Marekani je?
Mwishowe atakimbilia Poland. aanze kubwka bweka kutokea huko.Na afanye haraka wakati njia za vichchoroni ziko wazi.Dogo angekuwa mjanja angesalimu amri na kunyoosha mikono juu,akiomba vita visite pia ,alichochukua mrusi Hadi Sasa aishie hapo hapo wake mezani wakubaliane.Bila Hivyo ata mshawishi mrusi aichukue Hata Ikulu ya kyvi🤔 akose Hata pakuishi🚶
Kana maneno tele mdomoni kama kazaramo,,,,nchi inamegwa tu!
Zelensky ni demu wa kizaramo
Kana maneno tele mdomoni kama kazaramo,,,,nchi inamegwa tu!
Acheni habari zenu bwana.....😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we' ni Mmatumbi sio bure!Danganya Toto hii
Putin anapelekewa Moto sio kitoto
Muda sio mrefu watu wanaingia Moscow
Mbona Marekani aliaibika kwa vinchi kama Afghanistan na Vietnam? Na ukubwa wake akaamua kutimua mbio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata kama vita itaisha leo, Urusi ameaibika sana. Ameishadhiirika majigambo yake yote si lolote si chochote.
Wamechelewa sanaDanganya Toto hii
Putin anapelekewa Moto sio kitoto
Muda sio mrefu watu wanaingia Moscow
Mleta mada kesha pagawa na hii vita, kila akilala akimka anakuja na alilonalo kichwani anabandika hapa,hii vita haiishi leo wala keshoWatu wanataka vita iendelee wewe unaleta mambo Yako. Vita hiyo Putin lazima asalimu amri
[emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23] hadithi njooZelensky inabidi akubali tu kuwa Marekani na EU walimwingiza mkenge akakubali kuchezea sharubu za Urusi kwa kuahidiwa ahadi nya uongo kuwa Ukraine itaingizwa NATO haraka kwa hiyo Urusi haitothubutu kumshambulia!! Lakini anachokiona sasa ni kuwa NATO haingizwi na wanaishia kumpa tu silaha za mkopo kwa nchi yake!! Ni vizuri akashtuka mapema!!
Umegadhabika hadi ukaharibu wakakutandika na ban shauri ya Putin [emoji23][emoji23]Tulimwambia huyu miss Zelensky hakutaka kusikia akajifanya mtoto Iddi
Sasa ka Zelensky kenyewe kila siku kupiga domo huku nchi inazidi kuangamia tukaiteje?Acheni habari zenu bwana.....😂
Huyu kilaza atakupotezea mudaKwani ulisoma hata historia ya vita 1 au ya pili ya Dunia,vilichukua muda Gani[emoji848]
Moscow ya buza kwa mpalangeDanganya Toto hii
Putin anapelekewa Moto sio kitoto
Muda sio mrefu watu wanaingia Moscow
Huyo Mwenye mbishi kwani marekani na Poland waliokuwa wazi na kumshauri kuwa yeye ndiye atakae amua hatma yanchi yake Tena kupitia mazungumzo ya amani,japo walijiepusha kusema ukweli kama kupitia njia ya mapambano walishaona dalili ya maji kuzidi unga hasa Hali ya kukosekana ushirikiano wa dhati na makubaliano ya pamoja ya Nato ya njia ya kuikabili mgogoro huu🤔Sasa ka Zelensky kenyewe kila siku kupiga domo huku nchi inazidi kuangamia tukaiteje?
Mwanaume ni lazima alete tangible results mezani. Siyo mtu kila kukicha maneno matupu bila kitu kinachoonekana
Tatizo taaluma yake ni uchekeshaji (comedy).Nafikiri zelensky ingawa Ni mzungu ......lkn amekosa baadhi ya misemo ya wahenga mfano ZA KUAMBIWA......CHANGANYA NA ZAKO[emoji23][emoji23]