Ukraine sasa kwisha kazi na vita iko karibu kusimamishwa

Sasa ka Zelensky kenyewe kila siku kupiga domo huku nchi inazidi kuangamia tukaiteje?

Mwanaume ni lazima alete tangible results mezani. Siyo mtu kila kukicha maneno matupu bila kitu kinachoonekana
Anaesema mwanaume alete tangible results huwa anakimbizwa na panya road anakimbiza kitambi chake.
 
Hivi vita kimkakati vitaendelea hadi Putin anaondoshwa madarakani au Urusi ifilisike kutokana na gharama za vita. Gharama za vita Marekani na washirika ni nafuu kutokano kuchangia kwa pamoja washirika zaidi ya Thelathini.
Unadhani mpaka anafilisika Ukraine itakywepo?
 
Chanzo cha habar yako?
 
Ukiwasikiliza wa Ukraine wa ulaya na marekani utasema Urusi inaenda pinduliwa muda wowote🤸.Kumbe wote wametiwa kwenye kikaango Cha Mrusi wanaiva kama samaki😝
Kinacho nisikitisha mimi ni kwamba hata mambo ya kutumia akili ya kawaida tu hatuna? Hatupati habari ambazo ni chanya kwa Urusi ju ya vita hi, nyingi ni zile HASI tu; kitu ambacho hawa wa Ukraine wa kwa mtogole, hawana uwezo hata wa kutafsiri kinacho endelea? India ana nunua mafuta kutoka Urusi todate, means kule kwao maisha yanaendelea kama kawaida, hivi hata hili tunataka hadi tusome au tuambiwe na mtu? Ina udhi sana kua na watu ambao kichwani wapo empty namna hi
 
Hamna hata mwanajeshi mmoja wa Russia ameuawa hata kifaru kimoja kimelipuliwa . Putin anaishi maisha Bora kuliko maraisi wote wa dunia
 
Ha ha ha....
Hao maraisi wote watatu Ni chenga tupu
Kimasihara Unaweza shangaa nchi iliyojengwa mamia ya miaka inageuka vumbi na mapagale Kama Syria[emoji28]
 
“NATO as an alliance, as an institution, is completely sidelined and doing literally nothing. I’m sorry to say it,” kwa kauli hio ni bora Zelensky akubaliane na matakwa ya Russia. Vinginevyo hata Kyev itatekwa muda si mrefu
 
Angetaka kuua angeua tu nchi nzima kwa makombora yake ya maamgamizi na hao Ukraine wasingekuwa na muda hata wa kuomba maji
Hivi haya mawazo mnayatoaga wapi? Yaani aangamize tu na dunia ibaki inamwangalia? By the way, Russia ndio yenye silaha za maangamizi pekee?
 
The Polish army has begun deploying its troops along the Ukrainian border to occupy western Ukraine. Belarus's president has said that if #Poland launches a military operation in #Ukraine, #Belarus will launch an offensive in the western part of the country.
#UkraineRussiaWar https://t.co/rVNl4tjzsn
 
“NATO as an alliance, as an institution, is completely sidelined and doing literally nothing. I’m sorry to say it,” kwa kauli hio ni bora Zelensky akubaliane na matakwa ya Russia. Vinginevyo hata Kyev itatekwa muda si mrefu
KYIV nisuala la muda tuuu!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Poland naye anachukua chake kutoka Ukraine.
 
“NATO as an alliance, as an institution, is completely sidelined and doing literally nothing. I’m sorry to say it,” kwa kauli hio ni bora Zelensky akubaliane na matakwa ya Russia. Vinginevyo hata Kyev itatekwa muda si mrefu
Huyu jamaa hana kauli za heshima kwa watu.Hata NATO wangekuwa wanataka wamsaidie kwa matusi haya watasita na wataogopa kusaidia mtu ambaye akishinda hatawashukuru. Tangu siku ya mwanzo matusi yake ni kama hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…